Zanzibar: Meli mpya yawasili!

Mambo ya PPP. Hii serikali ya aina yake aisee
Si lazima kila kitu Ifanye yenyewe. Ni mambo ya PUBLIC -PRIVATE PARTNERSHIP ..............
 
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi Zanzibar

attachment.php

Kampuni ya Azam Marine inayomiliki boti ziendazo kasi hapa nchini, leo imeingiza meli mpya na ya kisasa itakayochukua zaiidi ya abiria 1500 na magari 200. Meneja Mkuu wa Kamuni ya Azam Marine, Bw. Hussein Mohammed Saidi, amesema leo mjini Zanzibar kuwa meli hiyo ambayo itafanya safari zake kati ya Dar es Salaam, zanzibar na Pemba itatoza nauli nafuu kwa abiria wake.

Amesema meli hiyo ambayo inatarajiwa kuanza safari zake mara baada ya kukamilisha taratizo za mamlaka mbalimbali. Meli hiyo inayoitwa AZAM SEALINKI ni ya kisasa katika ukanda huu wa Mwambao wa nchi za Kusini na Pembe ya Afrika.

Bw. Hussein amesema Meli hiyo ambayo imetengenezwa nchini Ugiriki na inatayarishiwa eneo maalumu litakalotumika kwa kupakia na kushusha abiria na mizigo yakiwemo magari. Amesema meli hiyo itasafiri kwa muda wa saa tatu kutoka Dar es salaam na Zanzibar na saa 4 kutoka Zanzibar na Pemba ama saa 7 kutoka dar es salaam na Pemba.

Amesema pamoja na kuwasili kwa Meli hiyo, Kampuni ya Azam pia inatarajia kuleta meli nyingine ya abiiria inayojulikana kama Kilimanjaro namba 4.

Kwa upande wao, baadhi ya wananchi wa Visiwa vya zanzibar wamepongeza ujio wa meli hiyo lakini wakaitaka serikali kuendelea kudhibiti uingizwaji wa meli chakavu na kukuu ili kuepuka uwezekano wa kutokea ajali za mara kwa mara.

Bwana Rajabu Khamisi mkazi wa Pemba na Bi. Rehema Omari wa mjini Zanzibar, wamesema kuna haja ya Serikali kusimamia ukomo wa nauli ili kila mwananchi aweze kusafiri kutoka sehemu moja na nyingine kwani wamesema vipato havilingani.

Azam anatakiwa kuwa na several DSPA 5 kwenye engine room kwa ajili ya ulinzi in case of the fire out break .DSPA 5 initially was for the fire in the engine rooms kabla ya kuwa developed na kuwa ya kuzima moto kwenye majumba pia .
Wanaweza kuwasiliana na wenye vifaa hivi vya kisasa kabisa kwa namba

0685 252525 au 0767 554433
 
Sasa wachome tena na kanisa jingine alafu ndipo wataona nini atawafinyia huyu Mungu mkuu wa Israel kama ktk zile meli 2 zilizopita.

Enewei, God is good all the time and all the time God is good.

Duh!! upo nje ya mada mkuu...mtu mwenye choyo huwa hawezi kujificha
 
Fantastic... Sasa itakuwaje MUUNGANO UKIVUNJIKA ? HIYO MELI ITAKUWA INAFANYA

ZIARA kati ya PEMBA na
ZANZIBAR ?

Yaani uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo, kweli we kilaza, meli zinatoka japan zinakuja tz sembuse znz? au tumeungana na japan?
 
Kaa zanzibar ni ketu hawawezitoka kwani wakati muungano unafanyika waliulizwa hata leo waseme wanataka talaka? kama Mbeya, Kyela.
 
Yaani uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo, kweli we kilaza, meli zinatoka japan zinakuja tz sembuse znz? au tumeungana na japan?

HICHO Kivuko kitakwenda JAPAN ? au Kwenda ARABUNI ? Kwanza Arabuni kilivyo OPEN - Maharamia wa

KISOMALI Watawabeba wote waliomo na kuomba DAU ...
 
Ferry ni meli/ boat ya abiria...What matters is the built and capacity... Yes, not all ferries built for high seas but some are. Remember that ferry sailed from Greece to Zanzibar.
Ferry = (Transport / Nautical Terms) Also called ferryboat a vessel for transporting passengers and usually vehicles across a body of water, esp as a regular service but not in deep seas.

Ship =
A vessel of considerable size for deep-water navigation.

Source:
http://www.thefreedictionary.com/ship and http://www.thefreedictionary.com/ferry
 
Natambua ni FERRY hiyo mdau kwa jinsi ilivyo tu inaonekana na ndio maana nikasema mwingine ataita FERRY japokuwa mara nyingi mamlaka zinazohusika hupenda kuziita meli kwa kuwa zinasafirisha abiria umbali mrefu ndio maana nikakuambia kibongobongo ni meli japo mwingine ataita ni FERRY (na huyo mwingine ndio mie hivyo sijakremu ni namna tu ya nilivyofikisha ujumbe)
 
Yes FERRY, because iko Qualified kuitwa ivo..usikremu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Natambua ni FERRY hiyo mdau kwa jinsi ilivyo tu inaonekana na ndio maana nikasema mwingine ataita FERRY japokuwa mara nyingi mamlaka zinazohusika hupenda kuziita meli kwa kuwa zinasafirisha abiria umbali mrefu ndio maana nikakuambia kibongobongo ni meli japo mwingine ataita ni FERRY (na huyo mwingine ndio mie hivyo sijakremu ni namna tu ya nilivyofikisha ujumbe)
 
Hii ni dalili ya serekali iliyokolea kwa rushwa haingii akilini kampuni kubw akama VODA, TIGO NA AZAM, zina zidiwa kulipa kodi na CHIBUKU.

Una akili wewe maana wanywaji wa KIBUKU (nadhani sio CHIBUKU) wapo limited in number na wengi wao wapo Dar na sie Dar yote bali kwenye maeneo flani ya sie wazalendo lakini mitandao kama ya simu na huyu mzee wa unga ni sehemu ya kila siku ya watz na wanatukamua kweli lakini kodi hakuna kitu, UKIULIZA SWALI KAMA HILI KWA VIONGOZI WETU UTAAMBIWA Umetumwa badala ya kutafuta solution
 
HIVI NA HII NI HABARI YA KISIASA?????

attachment.php

Kampuni ya Azam Marine inayomiliki boti ziendazo kasi hapa nchini, leo imeingiza meli mpya na ya kisasa itakayochukua zaiidi ya abiria 1500 na magari 200. Meneja Mkuu wa Kamuni ya Azam Marine, Bw. Hussein Mohammed Saidi, amesema leo mjini Zanzibar kuwa meli hiyo ambayo itafanya safari zake kati ya Dar es Salaam, zanzibar na Pemba itatoza nauli nafuu kwa abiria wake.

Amesema meli hiyo ambayo inatarajiwa kuanza safari zake mara baada ya kukamilisha taratizo za mamlaka mbalimbali. Meli hiyo inayoitwa AZAM SEALINKI ni ya kisasa katika ukanda huu wa Mwambao wa nchi za Kusini na Pembe ya Afrika.

Bw. Hussein amesema Meli hiyo ambayo imetengenezwa nchini Ugiriki na inatayarishiwa eneo maalumu litakalotumika kwa kupakia na kushusha abiria na mizigo yakiwemo magari. Amesema meli hiyo itasafiri kwa muda wa saa tatu kutoka Dar es salaam na Zanzibar na saa 4 kutoka Zanzibar na Pemba ama saa 7 kutoka dar es salaam na Pemba.

Amesema pamoja na kuwasili kwa Meli hiyo, Kampuni ya Azam pia inatarajia kuleta meli nyingine ya abiiria inayojulikana kama Kilimanjaro namba 4.

Kwa upande wao, baadhi ya wananchi wa Visiwa vya zanzibar wamepongeza ujio wa meli hiyo lakini wakaitaka serikali kuendelea kudhibiti uingizwaji wa meli chakavu na kukuu ili kuepuka uwezekano wa kutokea ajali za mara kwa mara.

Bwana Rajabu Khamisi mkazi wa Pemba na Bi. Rehema Omari wa mjini Zanzibar, wamesema kuna haja ya Serikali kusimamia ukomo wa nauli ili kila mwananchi aweze kusafiri kutoka sehemu moja na nyingine kwani wamesema vipato havilingani.
[/QUOTE]
 
Wabara ndio watachukua 95% pamoja na upande wa dereva maana wako over 40M na visiwani wako less than 5M wengi wape au unadhani kutakuwa na majambia??

LOL... We Mbaya kweli Mnunuzi ni wa VISIWANI na anatupatia AZAM ICECREAM BARA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom