Zantel internt

babumufty

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
223
77
Kwanini niki connect internet na line ya zantel ina kataa,wanamatatizo gn hawa
 
Mbona mimi nilikuwa nikitumia mpaka hii saa kumi jioni ya leo?

Labda laptop yako ina matatizo au ikiwa unatumia ttcl haziko compatible lazima moja uiondoe
 
Back
Top Bottom