New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,313
- 2,428
ebane saiv nimepnda bus scania ya Ottawa ni noma wakuu Utong zinapepea tu..
Kwa barabara ya mwanza hakuna aliyekwa anagusa ALLYS Sport na ni scania,uliza utaambia,ukiona yutong inachomoka wanafunga injini,gear box na diff za scania,kwa kuwa body yake ni nyepesi lazima ipepee,inakuwa na body ya yutong but injini ,gearbox na diff ni scania
Mkuu, kabla hajaahirisha kwa muda safari za Dar - Mwanza, hakuna mtu aliyekuwa anagusa huu moto! Sio Yutong, UD, Nissan...walikuwa wanaunga tela...kabla ya tochi na ratiba maalum za muda wa safari, ngoma hii Dar saa 12 na kwenda mwanza saa 1 usiku... SCANIA is another thing boss, yutong, they are trying.
kuna mtu anasema ulaya hamna yutong,hii ni nin?
ebane saiv nimepnda bus scania ya Ottawa ni noma wakuu Utong zinapepea tu..
Haya sasa,kumbe mpaka ifungwe difu ya scania!nilitaka kushangaa scania inyanyaswe na yutong!labda huko mwanza,manake route ya mbeya happynation huwa anafanya kuzitanguliza greenstar,muro,saibaba,new force na super Feo kwa kuhofia kupigwa torch na trafiki wanoko wa Iringa,ila akiingia stand ya makambako akichomoka anawatoroka yaani mnaingia mbeya yeye ndo anatoka kuosha gari kwa ajili ya safari ya kesho.
Hapo kwenye DIFF ndipo tatizo lilipo , zaidi ya hapo hakuna tatizo jingine cha muhimu ni kuzipumzisha tu, na service kwa wakati, safari ndefu hizi gari haziwezi.
Upuuzi mwingine bana, misuli ya shingo imewatoka kisa mnabishania aina ya magari yenye mbio! Khhhaaaaaaaaa!:nimekataa
Hii ni sehemu ya kuelimishana kwa hoja topic ziko nyingi sana unachangia unayoona ina tija kwako , usidharau hoja za wenzako kama wewe unaona ni upuuzi kwa wenzako vina maana!Upuuzi mwingine bana, misuli ya shingo imewatoka kisa mnabishania aina ya magari yenye mbio! Khhhaaaaaaaaa!:nimekataa
kwanza Mombo to mlalo sio lami tupu, lami inaishia magamba, pili Isizu ndo zenyewe kwenye kupanda milima, utafikiri manyani,...Kwa hiyo kwa mujibu wa JF nikitaka kupeleka basi kwetu Lushoto ambako kutoka Mombo hadi Mlalo unapanda mlimatu japokuwa ni lami tupu, natakiwa kuchukua Scania ama Yutong??
Best Buses by ranking:
Mercedes Benz
Scania
MAN
UD
DAF
Iveco
Yutong or Zonda
kwanza Mombo to mlalo sio lami tupu, lami inaishia magamba, pili Isizu ndo zenyewe kwenye kupanda milima, utafikiri manyani,
wakuu naombeni mnisaidie Scania bus zenye engine nyuma zinaweza fanya kazi kwetu? kama naleta kwa kuuza inawezekana nikauza kama pesa ngapi? labda tuseme basi ya abiria 49, choo ndani, nitashukuru kwa majibu yenu mazuri
wakuu naombeni mnisaidie Scania bus zenye engine nyuma zinaweza fanya kazi kwetu? kama naleta kwa kuuza inawezekana nikauza kama pesa ngapi? labda tuseme basi ya abiria 49, choo ndani, nitashukuru kwa majibu yenu mazuri