THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Kwani mkeo humuamini?Kweli Mungu uchunguza moyo jamaa angeukwaa urais sijui wake zetu tungewaficha wapi.
Kama humuamini sio lazima mtu awe rais ndio amshughulikie.
Kwani mkeo humuamini?Kweli Mungu uchunguza moyo jamaa angeukwaa urais sijui wake zetu tungewaficha wapi.
Kwani ndugu yangu yule jamaa si sawa na pad (zile sijui alwayz zile)......unatumia tu ukiwa kwenye hedhi kisha haina maana tena na unatupa
Labda tuwaulize magamba walipomaliza walitupa wapi, chooni au walifukia chini
Mkuu mi nilijua wewe ni mwanaume kumbe ni mwanamke! lol, samahani kwa kukufananisha na mwanaume, nahisi nilikudhalilisha.
au ni kama k.o.n.d.o.m, baada ya ku do hawatamani hata kukushika.
Jamaa kala mshiko wa kutosha kutoka kwa mtuhumiwa. Kaona bora pesa kuliko mke. Si alikuwa mchaga yule au mmesahau?
we k.o.n.d.o.m,huku kwe2 2nazifua and then 2nauza
Kijana haikosi una matatizo kwenye njia ya mkojo....haiwezekani baba wa mtoto mmoja na mimba uniite mwanamke....pambafu zako
Wapi post yangu imesema me mwanamke? kwani wanawake tu ndo wanajua juu ya pads.......kijana angalia vizuri ntakugeuza chura
Kwakweli mnajitafutia matatizo. Mbona zipo zilizoletwa na serikali kwa kubadilisha na dhahabu ya Nyamongo na zinagawiwa kwa kila anayezitaka.we k.o.n.d.o.m,huku kwe2 2nazifua and then 2nauza
Kaamua kujiingiza moja kwa moja kwenye UsHoGa, Baada ya mke kumkimbia kwa ajili ya tabia hizo!Watanzania tunapenda kuchezewa akili sana,nakumbuka yule jamaa alipewa promo sana kwenye media kuliko ata ajali ya meli,cha ajabu hizo media ata hazimtafuti sasa baada ya uchaguzi.Kajidhalilisha na sijui kama hii hali ngumu ya maisha inampata kwa upuuzi aloufanya.