Wako wapi waliokuwa source of information kwa Dkt. Slaa na Said Kubenea enzi za Mwanahalisi?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Moja ya vitu vilivyokuwa vikinivutia enzi hizo nikiwa nasoma,ni uhandishi wa habari za uchunguzi ULIOKUWA unafanywa na Said Kubenea KUPITIA GAZETI lake la Mwanahalisi.

Nakumbuka enzi hizo nikiwa nafanya field Kwenye ofisi za GAZETI la Mwanahalisi pale kinondoni nawakumbuka washikaji fulani fulani walikuwa very good source of information dhidi ya ubadhilifu wote ULIO kuwa unafanyika serikalini.
Wajua ilikuwa inakuaje?

Katika utawala wa Jakaya bhana, hao washikaji walikuwa wanashiriki vikao vya kupiga Dili serikalini katika kushiriki kwao KUTOKANA na elimu zao kuwa sio kiwango hicho walikuwa wanajikuta wanasainishwa posho hewa dheni mambo yanapita hivi.
Yaani walikuwa wananyooshwa sanaaaaaaa

Mwisho wa shoo wale washikaji walikuwa ni wazalendo kweli wanapeleka zile news Kwa mabos zao mwishowe unashangaa unae enda kumweleza yakuwa Kuna mpunga unapigwa kesho,uliye mwambia anamuita mpigaji anamwambia "aise ujue nimeisha jua yakuwa kesho unapiga Dili fulani usje nisaau Kwenye ufalme wako."

Aliyepeleka Dili anabakia kapa aliyepelekewa news anapiga mpunga life linasonga!

Binafsi sitosahau wakati fulani nikiwa field nilipata chansi ya kwenda ofisi moja ikulu pale enzi hizo Kwa kuwa nilie mfata alikuwa ni mchizi wangu, uwezi amini alinibebesha ndoo zilizokuwa zimejaa pesa Kwa kuzishusha kutoka Kwenye kilikuu zaidi ya ishirini ndoo kubwa zilikuwa zmeletwA na bwana mmoja muhindi baada ya kuzishusha yule bwana alifungua ndoo moja na kutoa burungutu Moja na kunipa nirifurah jamaniiiiii nilijikuta namwambia yule mwamba wangu, nipo tayari kuacha Chuo kuwa mbeba mizigo wa ikulu(ofisi Ile ipo nyuma ya ikulu,kabla ya kufika wama)sijui Bado zipo mpk wa Leo au la!ila wapo nyuma wao.

Nakumbuka baada ya tukio lire Kuna mshikaji mmoja alikuwa akifanya kazi mule idarani kumbe ni nyoka,alishuhudia nilivokuwa nashusha mindooo ya hela, akashudia nilivyopewa burungutu Ile nachomoka tu naenda zangu home,Ile namaliza ofisi za Makamu wa Rais tu maana ule upande mwingine ni ikulu watenbea Kwa miguu haturuhusiwi kupita.

Nilimwoma yule mwamba anakuja Kwa haraka sana nikaisi Huyu ananikimbiza Mimi ghafla ilikuja bajaji nikaipanda na kusepa.

Yule mchizi hakukubali alinikimbiza mpaka mbezi ya kimara paspo Mimi kujua Ile naingia ndani naanza kuesabu ule mburungutu,laaaura mlango unagongwa kufungua ni mchizi anaomba ajue nimepewa bei gani Ili tupige pasu!

Nilifunga mlango akabakia nje nikaesabi nikatoka, hakuwepo Tena nje alisepa, mwisho wa yote jamaa nilikuja KUKUTANA nae ofisi za Mwanahalisi akiwa na bahasha ya kaki uku akicheka na Said Kubenea kuanzia pale nilikosa amani na said Kubenea ndo nilipojua yakuwa said alikuwa akipewa news tps na machizi wa kwenye idara!

Mwishowe nakumbuka nikiwa sehemu nimejibanza niliwai muona Dr Silaa akiaa na Kubenea na yule mwamba pahala wakibadilishana mawazo ila kwa vificho nilishangaa sana mwisho wa yote nilitambua yakuwa taarifa nyingi za ubadhilifu kipindi hicho tulikuwa na vijana Waziri kwenye sistemu walio kataa RUSHWA ila walikuwa na mabosi wao wara RUSHWA.

Swali fungishi je wale vijana wapo wapi waliokuwa wanatoa taarifa nyeti za wizi WA Mali ya umma Kwa Kubenea na Dr Silaa enzi hizo?
Au ndo msemo wa if you can't fight them, join them, Sasa nao wameamua kuungana nao?

Je tunao wanahabari wa kupewa news nao wasizitumie visivyo?

Au tuna wahabari mithili ya Kubenea na Pascally Mayalla wa Sasa ambao wamebakia kuwa chawa Sasa wanaitumia kalamu zao kutaka watanzania wote tuwe chawa?

Saidi Kubenea angelikuwa tajiri hasingekuhali kuingia kwenye siasa kuliko alivyo sasahivi Imani yetu wasomaji imepungua sana baada ya kuwa kinyonga hata habari nyeti akiipata anaweza iandika kwenye toilet paper na kuitawazia ila sio kuifkisha Kwa jamii

Karbuni nyoooote.
 
Mjinga kabisa unaweka hadithi ya kutunga ukidhani utatuokota. Muandishi gani wa habari ww usiye na uwezo wa kuandika kwa usahihi?
 
Back
Top Bottom