Mkuu sio Makambako, si unajua kazi za Ma-Capitalists hata material zikiisha mnaambiwa ziko njiani zinakuja, its very bad kweli natamani shule, so far Geoff amejitahidi kwakweli hata kama wengine tumekuwa wasemaji kupita vitendo but i always pray so that things will be gud kila sikuUsisahau tu kuireference mkuu! Bado hujatoka makambako?
........hilo ni la muhimu zaidi kwangu!linatoshaMkuu sio Makambako, si unajua kazi za Ma-Capitalists hata material zikiisha mnaambiwa ziko njiani zinakuja, its very bad kweli natamani shule, so far Geoff amejitahidi kwakweli hata kama wengine tumekuwa wasemaji kupita vitendo but i always pray so that things will be gud kila siku
mpwazzz,GEORGIEPORGIE...!dah!pamoja na lift zoote za tukutuku mbado uliamua kukaa kimya?.....dah haya bwana........
mpwazzz,GEORGIEPORGIE...!dah!pamoja na lift zoote za tukutuku mbado uliamua kukaa kimya?.....dah haya bwana........
usilie kijana.mbona hizo ni chalenji ndogo tu katika maisha.ukitoka hapo utakuwa ushakuwa mkomavu na utazisaka pesa kwa juhudi zote.ndio mwanzo mzuri huo wa ujasiriamali.yani umejifunza kwa matendo.
Kwa hiyo mie nakwambia songa mbele,hakuna kurudi nyuma.kila jambo linawezekana.
ahahahahaha ila am sure hiki chama kina wanachama wengi ambao hawana kadi na ndio wengi kuliko walio na kadi na wako imara na makini kuliko wenye kadi. hahahahahaahahKARIBU CHAMA CHA WALALA UC***
tusimpe moyo sana asije akawa kakutana na
videmu vya"mizinga""
am kiddin
geoff songa mbele kaka ndio mpira umeanza
Mwenyewe tu umeamua kuifanya iwe costly mngechukuzana na mamsap haoooo kijijini mkirudi mna pete vidoleni- asingekuuliza Fidel wala mwanajamii1 hapa.
.......we mzee wa Kyela bana...siku hizi kule kny jukwaa la wakubwa hata chekechea wanaingia.....huyu ungesema niende naye kule uani.......!
Vipi nasikia mpemba karibia akuchoropoke? don't worry JF limekuja ''re-rice''...kuna sredi yake hot huku........ha!hahahahaha!
Kwani wewe unaoa sista duu?hehehehe!duh!....
masista duu ukuwafanyia hivyo wanaelewa?
hehehe!
swali gumu sana!inawezekana sielewi ninachokitamka....
enewei!...
hehehe!
swali gumu sana!inawezekana sielewi ninachokitamka....
enewei!...