You should have told me guys....!kwanin mmenifanyia hivi?.........

Pole sana Geoff, yatakwisha soon na utasahau machungu ya pesa na kubaki na kumbukumbu nzuri za tukio...

Angalizo: Gharama hizi zielekezwe kwenye kukufurahisha wewe na mshiki, wengi huingia gharama kubwa ili kuwafurahisha zaidi wahudhuriaji badala ya wao wahusika wakuu...

Annina
 
Geoff mbona karibu nifaint...hiii sredi mmmnh imenipa ka BP kidogo...wacha ninormalize halafu nitarudi. we togetha in this ma broda.... wala usifikirie hayo ya mapesa ...u have one weding day and it shd be memorable..unless una mipango ya 2nd...3rd etc... if it takes money to make it memorable so be it!!! and stop scaring me...u know what i mean!!;)
 
......Pole sana Geoff, harusi gharama ndugu yangu.Ila hakuna tatizo sana, utakuwa umepata michango ya kutosha japo na wewe lazima ujitoe..........ndio ukubwa huoooo!!
 
hahahahha!
UNDERSTOOD!.......
nimeifile hii kwa future use...!
 
......Pole sana Geoff, harusi gharama ndugu yangu.Ila hakuna tatizo sana, utakuwa umepata michango ya kutosha japo na wewe lazima ujitoe..........ndio ukubwa huoooo!!
ahsante kwa ushauri mzito kabisa mamii!
unajua nin,mimi sikulifahamu hili...!
 
unajua nin,mimi sikulifahamu hili...!
Ukimaliza harusi yako itabidi uje na analysis ya harusi na cost implications zake. Nafikiri itasaidia wale ambao hawajaoa wala kuolewa hili wawe rational kutumia milioni 12.5 kwa harusi wakati za mhusika hapo ni 8.2 milioni au kununua kiwanja au kununua mkoko au whatever. Ila Geoff harusi ni muhimu sana kwako hizi nyingine ni changamoto za kawaida sana na kwa wale wataalamu wa kumbukumbu na matukio harusi ni mojawapo ya vitu muhimu sana. So dont regret man
 
Thanks PAL!.....
 
Oyaaaa...ebu uko naona njaa imekuzidi mchana huu kapate lanchi kwanza!

Kizuri lazima ugharamie sasa unataka tu mtelemko! mttoto mwenyewe mshiki!? wapi na wapi!

Ukivulia nguo maji shurti uyaoge

habari ndo hiyo

ON a serious note harusi imeshaisha hiyo acha presha!
i will put this post in my guinness book record book. I hope it will halp me in the near future
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom