You should have told me guys....!kwanin mmenifanyia hivi?.........

Usisahau tu kuireference mkuu! Bado hujatoka makambako?
Mkuu sio Makambako, si unajua kazi za Ma-Capitalists hata material zikiisha mnaambiwa ziko njiani zinakuja, its very bad kweli natamani shule, so far Geoff amejitahidi kwakweli hata kama wengine tumekuwa wasemaji kupita vitendo but i always pray so that things will be gud kila siku
 
........hilo ni la muhimu zaidi kwangu!linatosha
 
GEORGIEPORGIE...!dah!pamoja na lift zoote za tukutuku mbado uliamua kukaa kimya?.....dah haya bwana........
mpwazzz,
kabla ya tarehe 2 february nitakutafuta!!.
niko tight mbaya, JF imekua kama kituo cha polisi kwa sasa.
 
geoff
usikatetamaawalausiogope
Nduguyonafaidi na ndoayapili
baadayakusahaukilakitu ndoaya kwanza

KARIBU CHAMA CHA WALALA UC***
 
GEORGIEPORGIE...!dah!pamoja na lift zoote za tukutuku mbado uliamua kukaa kimya?.....dah haya bwana........
mpwazzz,
kabla ya tarehe 2 february nitakutafuta!!.
niko tight mbaya, JF imekua kama kituo cha polisi kwa sasa.
 
Usilie Kijana.Mbona hizo ni chalenji ndogo tu katika maisha.Ukitoka hapo utakuwa ushakuwa mkomavu na utazisaka pesa kwa juhudi zote.Ndio mwanzo mzuri huo wa ujasiriamali.Yani umejifunza kwa matendo.
Kwa hiyo mie nakwambia Songa Mbele,hakuna kurudi nyuma.Kila jambo linawezekana.
 
usilie kijana.mbona hizo ni chalenji ndogo tu katika maisha.ukitoka hapo utakuwa ushakuwa mkomavu na utazisaka pesa kwa juhudi zote.ndio mwanzo mzuri huo wa ujasiriamali.yani umejifunza kwa matendo.
Kwa hiyo mie nakwambia songa mbele,hakuna kurudi nyuma.kila jambo linawezekana.

tusimpe moyo sana asije akawa kakutana na

videmu vya"mizinga""

am kiddin
geoff songa mbele kaka ndio mpira umeanza
 
KARIBU CHAMA CHA WALALA UC***
ahahahahaha ila am sure hiki chama kina wanachama wengi ambao hawana kadi na ndio wengi kuliko walio na kadi na wako imara na makini kuliko wenye kadi. hahahahahaahah
 
tusimpe moyo sana asije akawa kakutana na

videmu vya"mizinga""

am kiddin
geoff songa mbele kaka ndio mpira umeanza

afu mbona hapo ni mwanzo tu.tunaweza sema ndo kwanza anaanza nnursery,sijui akifika mapihechidii itakuwaje
 
Mwenyewe tu umeamua kuifanya iwe costly mngechukuzana na mamsap haoooo kijijini mkirudi mna pete vidoleni- asingekuuliza Fidel wala mwanajamii1 hapa.
 
Mwenyewe tu umeamua kuifanya iwe costly mngechukuzana na mamsap haoooo kijijini mkirudi mna pete vidoleni- asingekuuliza Fidel wala mwanajamii1 hapa.

hahaha tena hiyo ingekuwa poa sana ..honeymoon mambo ya uswazi ,madafu ,mihogo ,karanga ..mradi mambo yanakuwa saaaaaaaaaaafi kabisa
 
hahaha tena hiyo ingekuwa poa sana ..honeymoon mambo ya uswazi ,madafu ,mihogo ,karanga ..mradi mambo yanakuwa saaaaaaaaaaafi kabisa
hehehehe!duh!....
masista duu ukuwafanyia hivyo wanaelewa?
 
.......we mzee wa Kyela bana...siku hizi kule kny jukwaa la wakubwa hata chekechea wanaingia.....huyu ungesema niende naye kule uani.......!

Vipi nasikia mpemba karibia akuchoropoke? don't worry JF limekuja ''re-rice''...kuna sredi yake hot huku........ha!hahahahaha!

ni wapi huko???? (we na masanilo siwachukulii literaly)
 
Back
Top Bottom