You should have told me guys....!kwanin mmenifanyia hivi?.........

sasa mpwaa ungenishtua mapema ili nijue kwamba niyaoge au ninawe...pengine nisingeyavula nnguo,labda ningeamua kunawa tu
Kiasi cha moto kwenye kikombe cha chai kina vary on a person's lips/tongue sensitivity. Mimi ninaweza sema chai hii ina moto lakini wewe ukasema poa tu.
Hivyo inakuwa vigumu mtu kukushauri. Raha yake uonje tu. sis wengine wote ni wapiga debe tuu. Gharama gani ambazo umetumia kaka ?? wakati sasa una mwandani ambaye ukimkuta amekaa vibaya na njemba yeyote yule una haki ya kupata "temporary insanity status" na kumnyuka utakavyo???? Kwa GF huwezi kaka.
Inawezekana babu yako alimuoa bibi yako kwa kutoa ngombe 200 na haikuwa gharama kipindi hicho iwe gharama leo wakati washikaji kibao wamekuunga mkono bwana?
 
noted!...........
thanks bana
 
eeeh hivi kumbe ndo zimebakia 2 weeks only bwana harusi any update pls ?
hehehe!
imebaki pledge yako tu!......:D

natarajia kuonana na carmel kwa ajili ya mambo mambo ya pamba za send-off!ingawa weekend nitasafiri,sijui itakuwaje
 
Whats happening here?...... Any way, ngoja niendelee na kilichonileta huku. Ukumbi fresh....MC tushamalizana. Ahaaa.... Yule mama wa mapambo siyo? Ntakutana naye kwenye ulanzi jioni..... Misosi?..... Ntaenda kuwacheki badae. Kwa sasa ngoja nikakamate mshkaki wa wow! Wow! Wow! Haka kabaridi ka hapa makambako.... Wapwaz msisahau kuja na makoti. Nawakilisha kwa sasa. Kama sitalewa ulanzi ntarudi hapa kuwapeni updates..... Ni mimi mtumishi wenu project february 13th Manager.
 
hehehehe!
umekosekana siku moja jukwaa limetetereka!...
haya tuna msiba sasa leo
ndugu yetu pakajimmy kafiwa na mzazi
 
zimves.jpg
 
Hongera kaka! Mengine yataisha! La muhimu umeshalimaliza hayo mengine mapito tu. Ukilalamika sana unatutisha sisi ambao bado!!!
 
hehehe!
imebaki pledge yako tu!......:D

natarajia kuonana na carmel kwa ajili ya mambo mambo ya pamba za send-off!ingawa weekend nitasafiri,sijui itakuwaje

kwani unashughuulikia vyote wewe mwenyewe? i mean send off na wedding.
 
Back
Top Bottom