Tumain hukosi vijimamboVery interesting, natamani niwe lawyer wao..
Kiranga,
Hapana. Hakuna cha Draconian hapa. Hata Biblia inasema mpe Kaisari kilicho chake. Kama hawa wazungu wanataka watu wasiimbe wimbo wa taifa waanzie kwao. Sio kuwadanganya watoto wetu. Hawa mawitness nakumbuka miaka ya 60 walifukuzwa Tanzania na Malawi kwa uhalifu huo huo.
Jehova Wits is a deadly group of Cults, kila wanapokwenda they normally tend to confront na kupindua culture na kuwafanya watu kuabudu fikra za mwanzilishi wao. Kumbukeni kuwa mwanzilishi wao alisema/tabiri kuwa mwisho wa dunia ungekuwa 1915, 1917, 1945 na 1975. Ni watu hatari kwani they tend kuwafanya watu wasimwabudu Mungu na kutii mamlaka na kuyapenda mazingira yanayowanguka isipokuwa waaabudu wao na wayapende mazingira ya nchi wanakotoka.
Mungu hayupo, napinga huu upuuzi unaoletwa kwa jina la mungu, kuanzia wimbo wa taifa.
Hao ninaowatetea ni Watanzania na wapo kwao Tanzania, au hujui kwamba kuna Mashahidi wa Jehovah Tanzania?
Exposure, exposure tatizo kubwa
Vipi wakiweka maneno usiyoamini katika wimbo wa taifa?
jamaa wanamisimamo sana , yaani acha tu, ndo maaana Julius Nyerere aliwafukuza miaka ya 1970.
Mungu hayupo, napinga huu upuuzi unaoletwa kwa jina la mungu, kuanzia wimbo wa taifa.
Hao ninaowatetea ni Watanzania na wapo kwao Tanzania, au hujui kwamba kuna Mashahidi wa Jehovah Tanzania?
Exposure, exposure tatizo kubwa
Kwani nani kasema wimbo wa taifa ni sala?And how exactly do you know if this national anthem is referring to GOD or some other god? I believe this is a valid reasons for the Witnesses, the god being referred in this secular anthem may not be their god, so why pray to him?
kiranga acha ku-uphold kitu usichokijua eti kwa sababu tu unaweza kuongea kiingereza. arguments zako ni za kipuuzi kabisa. Na si ajabu wewe ni ustadhi au mzee wa kanisa. Unajifanya kutomtambua Mungu.
Soma thread kwanza uelewe kuwa hao watu ni wapuuzi sana kwa sababu ikiwa kosa ni kuimba wimbo wa taifa-na ambako ndani yake kuna kumtaja Mungu. Hayo majumba ya kifalme (makanisa-misikiti) waliyoyaeneza nchini ni kwa ajili ya kumwomba Mungu au kiranga? imani yao si ya mungu huyo huyo anayetamkwa katika wimbo wa taifa. Do you think kujipretend kuwa humjui Mungu it makes you brave. In this contemporary world ambayo hata wakomunist wanakubali uwepo wa Mungu. kumsikia mtz anadai hamjui Mungu it is the highest level of hypocrisy and ignorance. Hizo ni pretence zilizopitwa na wakati katika karne ya 19. Hata kingunge huenda kusali kwa mzee wa upako.
Kuna jamaa hapa ana-swagga kama za Bluray.
Hiyo shule wameijenga wao? wamejenga shule ngapi kuwasaidia vijana wetu kupata elimu? wamesaidia miradi mingapi ya maendeleo kama maji, afya, elimu, barabara nk katika jamii walizokwenda kujenga makanisa yao?
Mandela aliachana na mke wake (sio winnie, kabla ya winnie alikuwa ana mke aliyekuwa anaitwa Evelyn) kwa sababu alikuwa anamshangaa kwa nini anabotha kutafuta uhuru wakati uhuru upo kwa Jehovah na watch tower. hatimae akaamua kuondoka na kumwacha mandela.......these people would turn one into a dumb-ass......kufikiri 0 kabisa.
Unajuaje kama mungu wa wimbo wa taifa ndiye mungu wao? Mungu wao kashawaambia yeye ana wivu, sasa wewe unataka kuwalazimisha waabudu mungu mwingine wapatilizwe wao na vitukuu vyao?
Kuamini mungu ni naivette tu.
Hiyo signature yako 'there is no god, and Kiranga is his prophet' inaonyesha how confused, and confusing you are.
How can you be a prophet of something that does not subsist? Only if you do not subsist.
Na kwa kuandika 'his prophet' una maanisha kwamba yupo, and has got he persona.
Of course, of course.
You are using common sense while I am using uncommon common sense, how can you comprehend.
I am the prophet of a godless world.
Ndugu serikali inahaki ya kusimamia sheria zake inavyotakikana. Hakuna uhuru usio na mipaka kama ndivyo basi kusingekua na rule of order wala governance. To every right there is a responsibility.
Sasa basi sheria ya nchi inasemaje kuhusu ibaada/imani. without direct quotation; kila mtu ana uhuru wa kuabudu nakuamini chochote ili mradi kwa kufanya hivyo havunji sheria za nchi.