Yehova witness kutimuliwa kwa kukataza wanafunzi kuimba wimbo wa taifa!

Nafikiri lipo tatizo hapa. Mungu hayupo sawa sasa tunabishania nini hapa ? Hawa unaowatetea wanafanya nini hapa Tanzania?
Unajuwa kama hujaamuwa akilini mwako hii thread inazungumzia nini basi bora utulie.

Mungu hayupo, napinga huu upuuzi unaoletwa kwa jina la mungu, kuanzia wimbo wa taifa.

Hao ninaowatetea ni Watanzania na wapo kwao Tanzania, au hujui kwamba kuna Mashahidi wa Jehovah Tanzania?

Exposure, exposure tatizo kubwa
 
"Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wake, hekima, umoja na amani....."

Mungu wa kwenye wimbo wa Taifa ni mungu gani, wawakristo, waislam au wapagani.?

Serikali ya Tanzania siyo ya kidini, huyu mungu kwenye wimbo wa Taifa ni mungu yupi, au Tanzania kama Taifa lina mungu wake?

Kwanza wimbo wa taifa wenyewe uko discriminatory.

Unaanza kwa kusema "Mungu ibariki Tanzania"

Sasa na sisi tusioamini mungu si tutaona huu wimbo ni kichaa kitupu, tukisema hatutaki kuimba on this ground utatulazimisha?

Hizi mbili ni very strong point ya hawa jamaa kuishinda serikali, Yes I do believe in God, ila hatujajua sababu ya hawa mashahidi wa Yehova kukataa kuimba wimbo wa TAIFA. They may have good point.

USA hawa jamaa wanasifika kusababisha uhuru na haki katika jamii. Wimbo wa TAIFA la TANZANIA haukutungwa na Mtanzania , usije ukashangaa aliyeutunga ni freemasons, kumbe yeye alimaanisha mungu mwingine na sio tunayemuamini.

as s result tunashangaa kila siku tunaimba wimbo wa taifa ndio unasababisha umaskini, ukichaa, ufisadi, ujinga na maradhi yafananayo na hayo!!!

Lastly, I do believe Taifa la Tanzania ni la waislamu na wakristo na ndio wanaoongoza katika kila kitu, wapagani na dini zingine mlie!!

Yes, founders wa taifa hili ni akina Nyerere na Kawawa unategemea nini hapo!!

Karanga you need to revisit your beliefs, God is alive!
 
There is no god, and Kiranga is his prophet.
 
Kwani wangapi humu mnaimba wimbo wa taifa? Mimi mara ya mwisho niliimba nikiwa chipukizi - na sidhani nitaimba tena wimbo wa taifa ktk maisha yangu tena.
Kwa hili ni kama Mwantumu Mahiza (hivi yeye ndiyo serikali?) is hopelessly lost in an "ignorance stupor". Hao mashaidi kwani wameanza kutoimba wimbo wa taifa (i.e taifa lolote - siyo wimbo Tanzania tu) leo? Watu wenyewe hao hata kura huwa hawapigi, hawafanyiwi blood transfusion, etc. Ashughulikie mambo ya msingi ya elimu - madawati, upungufu wa waalimu, nk.
 
Thanks,

Ndiyo maana kila siku nakazania, exposure ni muhimu.Ukiwajua hawa watu na historia yao wala hutashangaa, utawaacha tu waendelee na mambo yao. Watu wanafikiri hii issue wameianzia Tanzania, wakati watu wame persevere religious persecution from before World War I in the USA huko.

Sasa sie kwa kukosa exposure tunaingia katika list ya oppressive regimes hivi hivi, kesho keshokutwa tunaandikwa katika ripoti za "Human Rights Watch" na "Amnesty International" tunakuwa pariah tunalundikwa pamoja na North Korea, kwa sababu za kitoto tu.

Kuna watu wengine ndiyo kwanza wanasikia kuna kitu kinaitwa Mashahidi wa Yehova katika this very thread, halafu hata bila kuji familiarize na history yao, na mchango wao katika kuleta freedom of worship duniani, wanarukia.

Hawa jamaa wameishtaki serikali ya Marekani kwenye mahakama zake yenyewe for atoms sake, na kuishinda, kwa sababu Mmarekani anajua "freedom of worship" ni nini.

Mmarekani na kujifanya patriot kichizi lakini kwa Witnesses kafunga breki, mpaka kesho witnesses kusema pledge of allegiance na ku salute US flag si lazima, na libertarians wanaopigania haki za individual as opposed to collectivism za ki Borg wanawashukuru kwa kuwafanyia kazi hii.

Leo mnaanza kuwasema waimbe wimbo wa taifa, kesho Kikwete atasema msiende kanisani na msikitini mumsujudie yeye, pole pole hivi hivi.

Kama serikali inataka ku maintain image nzuri ya freedom of worship wawaaache hawa jamaa, wako very apolitical kama mkuu Cynic alivyosema so it's not like wanataka kupindua serikali au kuanzisha uasi, hawaamini kuisujudia serikali tu, vingine vyote wanafanya kama kawaida na ni miongoni mwa raia watiifu sana katika kulipa kodi kama alivyowaamuru masiha wao.

Badala ya kushika wasiolipa kodi na mafisadi wa EPA, mnaenda kuwacharukia hawa watu hata hawana mpango na mambo ya kiserikali.

Where are our priorities?

hii michezo ya kuigiza kuwa distract watu kutoka kwenye real issues tu.

Rostam kashalipa kodi? CCM inalipa kodi?
 
as s result tunashangaa kila siku tunaimba wimbo wa taifa ndio unasababisha umaskini, ukichaa, ufisadi, ujinga na maradhi yafananayo na hayo!!!

Hahahaha.....Tanzania haina maendeleo kwa ajili ya wimbo wa Taifa.

Mkuu napeleka mbavu zangu muhimbili.
 
shauri yako! muhimbili tena, vaa helmet kichwani! na overall la bati wasiguse miguu!

To chirstians to worship god other than GOD will lead you to curse, thats why I said that
 
And how exactly do you know if this national anthem is referring to GOD or some other god? I believe this is a valid reasons for the Witnesses, the god being referred in this secular anthem may not be their god, so why pray to him?
 
hivi tanzania tuna separation of church and state?

What's next, mtataka tuombe kwa jina la kikwete?

Kama mtu dini yake haiamini kuimba wimbo wa taifa mwacheni.

This is a clear issue of draconian religious persecution.

the metamorphosis of one bluray....into a bigger butterfly called kiranga
 
His eminent the blu one is on a working vacation, he left me his papal ring until he is back.

Hm, I find that rather hard to believe. So you are both prophets of this non-existent god? My forensic skills lead me to the conclusion that you are one and the same...
 
Kuna kujichanganya katika sheria na kanuni zinazotuongoza ama kwa makusudi au pasipokujua. Mfano serikali kusema haina dini bali viongozi wake wakiapishwa kushika madaraka na vitabu vya dini. Pili kusema mtu anaruhusiwa kumwabudu mungu wake atakavyo bila kuvunja sheria za nchi. Hapa ndipo kuna utata kwani maana yake ni kwamba serikali ni juu ya dini na miungu yao. Wengine tunajichanganya kwa usemi kwamba ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe mungu, mantiki ya hili ni kwamba kama kaisari atakulazimisha kumpa sehemu ya utukufu wa Mungu usifanye hivyo hata kama itakulazimu kufa na ufe shahidi. Na hivi ndivyo ilivyowalazimu manabii wengi wa Mungu kuuwawa na kaisari. Mashahidi wa jehova hawastahili kukataa wimbo wa taifa maana haki hiyo hawana ni watu walioanguka tayari kwa sheria moja na hivyo kuwa na hatia juu ya zote. Nimesema hivyo kwa sababu hawa jamaa wanakata kalauri(pombe) kwa kwenda mbele na nyimbo za dunia kama kina kifii olomide ndizo wamejaza nyumbani mwao na hata ktk sherehe zao ndizo zinazochezwa na kusindikizwa na kileo. Ni kipi kibaya hapa kati ya kileo, miziki hii ya unenguaji wa kupromoti ngono na kuuimba wimbo wa Taifa? Ndio maana nimesema haki ya kuukataa hawana!!
 
Thanks,

Sasa sie kwa kukosa exposure tunaingia katika list ya oppressive regimes hivi hivi, kesho keshokutwa tunaandikwa katika ripoti za "Human Rights Watch" na "Amnesty International" tunakuwa pariah tunalundikwa pamoja na North Korea, kwa sababu za kitoto tu.

Kuna watu wengine ndiyo kwanza wanasikia kuna kitu kinaitwa Mashahidi wa Yehova katika this very thread, halafu hata bila kuji familiarize na history yao, na mchango wao katika kuleta freedom of worship duniani, wanarukia.

Hawa jamaa wameishtaki serikali ya Marekani kwenye mahakama zake yenyewe for atoms sake, na kuishinda, kwa sababu Mmarekani anajua "freedom of worship" ni nini.

Mmarekani na kujifanya patriot kichizi lakini kwa Witnesses kafunga breki, mpaka kesho witnesses kusema pledge of allegiance na ku salute US flag si lazima, na libertarians wanaopigania haki za individual as opposed to collectivism za ki Borg wanawashukuru kwa kuwafanyia kazi hii.

Leo mnaanza kuwasema waimbe wimbo wa taifa, kesho Kikwete atasema msiende kanisani na msikitini mumsujudie yeye, pole pole hivi hivi.

Kama serikali inataka ku maintain image nzuri ya freedom of worship wawaaache hawa jamaa, wako very apolitical kama mkuu Cynic alivyosema so it's not like wanataka kupindua serikali au kuanzisha uasi, hawaamini kuisujudia serikali tu, vingine vyote wanafanya kama kawaida na ni miongoni mwa raia watiifu sana katika kulipa kodi kama alivyowaamuru masiha wao.

From http://en.wikipedia.org/wiki/Jehovah's_Witnesses

''Doctrines of Jehovah's Witnesses are established by the Governing Body, which assumes responsibility for interpreting and applying scripture.[63][114][115] Prior to the reorganization of the Governing Body in 1976,[116] matters of doctrine were decided by the President of the Watch Tower Society.[117][118] Watch Tower publications claim that doctrinal changes and refinements result from a process of progressive revelation, in which God gradually reveals his will and purpose.[119][120][121][122][123] Watch Tower literature has suggested such enlightenment results from the application of reason and study,[124] the guidance of the Holy Spirit, and direction from Jesus Christ and angels.[125] However, the Governing Body makes no claim of infallibility or divine inspiration.''

''Watch Tower literature warns that "independent thinking", such as questioning the counsel it provides, is dangerous[302] and warns Witnesses against studying the Bible without the aid of the Society's literature.[303][304] The Watch Tower Society's firm discouragement of members to read criticism of the organization[305][306] or scriptural material published by other religions[307][308] has led critics, including Raymond Franz, to accuse the society of causing mental isolation with the intent of mind control.''

''The leadership of Jehovah's Witnesses claims to be the sole visible channel of Jehovah and asserts that the Bible cannot be understood without associating with the Watch Tower organization.''

''The Governing Body is described as the "spokesman" for God's "faithful and discreet slave class" (the approximately 10,800 remaining "anointed" Jehovah's Witnesses),[100][101] and is said to provide "spiritual food" for Witnesses worldwide on behalf of the "faithful and discreet slave". In practice it seeks neither advice nor approval from any "anointed" Witnesses other than high-ranking members at Brooklyn Bethel when formulating policy and doctrines or when producing material for publications and conventions.''

sasa hawajaamaa sijui wanapromot freedom ipi ya worship...
according to the stated examples nimeziweka hapo juu, sioni wat they prACTISE KAMA INATOFAUTI NA KULAZIMISHA KUIMBA WIMBO WA TAIFA AU SALUTING NATIONAL FLAG. THATS TOTAL CONTRADICTORY TO THEIR TEACHINGS..
 
I am talking in a bigger context.Libertarians wa Marekani wanawaheshimu hawa watu kwa sababu juhudi zao za kuishitaki serikali ya Marekani zinawafaidisha wapenda uhuru wa kuabudu wote.

Dini zote zimejaa kamba tu, na mungu mwenyewe hayupo, lakini hawa watu kwa kukataa kukubali dictation za serikali wamewezesha wengine wengi kupata precedents za kuabudu wanavyotaka, ni kwa sababu ya hawa na Quakers ndio maana watu kama kina Muhammad Ali na Malcolm X wakawa na urahisi kukataa kupigana vita vya Marekani kama "conscietious objectors" kwa sababu by the time waislam wa Marekani walivyoanza kuexplore conscientious objection on war hawa watu walikuwa washaipeleka serikali mahakamani hata kabla ya WWI.

http://en.wikipedia.org/wiki/United_States_Supreme_Court_cases_involving_Jehovah's_Witnesses

Former Supreme Court Justice Harlan Stone jokingly suggested "The Jehovah's Witnesses ought to have an endowment in view of the aid which they give in solving the legal problems of civil liberties."[2] "Like it or not," observed American author and editor Irving Dilliard, "Jehovah's Witnesses have done more to help preserve our freedoms than any other religious group."
"The cases that the Witnesses were involved in formed the bedrock of 1st Amendment protections for all citizens," said Paul Polidoro, a lawyer who argued the Watchtower Society's case before the Supreme Court in February 2002. "These cases were a good vehicle for the courts to address the protections that were to be accorded free speech, the free press and free exercise of religion. In addition, the cases marked the emergence of individual rights as an issue within the U.S. court system."
 
watimuliwe tu wasitake kuletea sheria zao hapa ..
kuimba wimbo wa Taifa ni dhambi? kwani huo wimbo ndio hautakufikisha mbiguni?
 
Back
Top Bottom