Yawezekana Rais amevunja sheria ya Mchakato wa Katiba kwa kuwaapisha kina Baregu?

Nadhani kwa kauli yake alisema aliteua wajumbe wa tume kwa kushauriana na rais wa Zanzibar. Hivi huko zenji nako washauri wa rais ni kama wa huku bara? Yaani mwanasheria mkuu Tz na yule wa Zenji bar (woote huwa wanaamka na hang over?????)

Wakati mwingine najiuliza kama mwanadamu yupo kama vile tunavyoambiwa!
 
Napenda kuwaomba cdm mhakikishe mkataba uliosainiwa kati ya makanisa na serikali unaletwa bungeni ujadiliwe kwa uwazi
Sidhani km wanahitaji hivyo, hapa ni km unasema wale wazee wa kisomali waliojaa, pale selian ,KCMC etc ,pamoja na wasio wa makanisa wengine ambao wana magonjwa sugu km Kisukari, BP etc nao wajadiliwe kabla hawatibiwa.

Serikali yenu haina uwezo wala hela, simply imefulia ,unachodai hapa ni kile kinachofanya baadhi ya jamii kukosa maendeleo kwa kufanya kila kitu chanzo cha vurugu.Wenzio huwa wanapewa msaada ila wa kusimamia huwa ni shida hadi msaada unapotea.wenyewe wanaita hizi tabia kwa maringo "mwaga mboga ,nimwage ugali".

Mfano rahisi
[ Ni km siku za sikuku lets say Idd, una ndugu kibao halafu budget yako ni ndogo, then ukapiga,ukamfuat jamaa yako, ukampa hali halisi na kumowmba umpatie ulichonacho km mchango.Halafu wanafamilia wako na wengine waende sheherekea kwa rafikiyo.( ambaye pia kutokana jamii husika pia naye alistahili kushiriki huo mchango wako-Kwani mchango wako ni sehemu ya urithi wa wote).

Kwa vile unawafahamu ndugu zako tabia yao ya kuona kila kitu wamepunjwa ukaon ani vyema uwaambie hali halisi.Ila bado waliporudi pembeni wakapanga mbinu,ktk ile sherehe waende kuuliza huo mchango wako kidogo ulitumika vipi na kwa makubaliano yapi?how embarassing?
]
 
Sasa m2 anayekosea na kuvunja sheria kila siku na wenye taaluma hiyo mpo kwa nini msisimame kUtengua uhalali wake wa kuongoza watanzania?

Nanyi wanasheria kwa kutotumia elimu mloipata tuwafanyeje?
 
Mwanakijiji,

Hii ni argument nzuri sana, na umegusa panapotakiwa haswa. Pengine sheria hiyo imerekebishwa lakini kama bado imesimama vivyo hivyo inabidi maelezo ya kina maana nakumbuka walisema kwamba sheria hii sio msahafu wala Biblia inaweza kurekebishwa..
 
Ninaamini kwa kuwaapisha baadhi ya watu kuwa� wajumbe wa Kamati ya rais ya Maoni kuhusu Katiba Mpya Rais Kikwete amevunja sheria ambayo yeye mwenyewe aliisaini. Sheria ya kusimamia mchakato huu inasema wazi kuhusu wajumbe wa Tume kuwa pamoja na mambo mengine kuwa:



[SIZE=-1]tuangalie:

Akimuapisha Mbunge

[/SIZE]View attachment 51717
[SIZE=-1]
Hapa anamwapisha Mwakilishi (baraza la wawakilishi)

[/SIZE]View attachment 51718
[SIZE=-1]
Hapa akimwapisha Prof. Mwesiga Baregu - Mjumbe wa Kamati Kuu ya CDM na Mkuu wa kampeni yake 2010

[/SIZE]View attachment 51719
[SIZE=-1]
Hapa chini anamwaipsha Dr. Sengodo Mvungi ambaye ni Mjumbe wa kamati kuu ya NCCR Mageuzi[/SIZE]

View attachment 51720

[SIZE=-1]My Take:

a. Yawezekana labda natumia kipengele siyo sahihi kwa hiyo kama nakosea niko tayari kusahihishwa. Kama ni makosa basi hoja za hapa chini zipuuzwe.
b. Kama sheria inakataza kabisa na waziwazi kuwa wabunge na wawakilishi au viongozi wa kisiasa wasiwe wajumbe wa Tume na hakuna exception ni kwanini tuwaone wajumbe hawa kuwa ni halali?
c. Kama kweli watu hawa walipaswa kuwemo ndani ya tume hii kwanini sheria isingebadilishwa kwanza? au sasa wameshaingia ndio sheria itabadilishwa kuhalalisha?
d. Je, kama rais ameshindwa kuzingatia sheria aliyoipigia debe yeye mwenyewe watu wengine wakivunja sheria inakuwaje? Je,yawezekana Bungeni likaulizwa swali kupata maelezo juu ya uhalali wa wajumbe hawa?
e. Sheria inaposema asiwe kiongozi wa chama cha siasa "of any category" siyo kwamba it is too vast kiasi kwamba hata mwanachama wa kawaida tu anaweza kuhesabiwa kuwa ni kiongozi wa "category" fulani? yaani hata mshauri tu wa chama anaweza kuqualify kuwa ni kiongozi?


HANSARDI YA BUNGE FEB 8, 2012
[/SIZE]

Ni kweli amevunja sheria; nilikuwa siajsoma thread hii, ila kulingana na kifungu hicho cha sheria kama kilivyo iwapo hakifanyiwa ammendment yoyote ni wazi kavunja sheria. Ila nina wasiwasi na sheria zetu zinavyojikanyaga; unaweza kushangaa kuwa huenda kuna sheria nyingine inayomruhusu rais kumteua mtu yeyote kushika wadhifa wowote kulingana na matakwa yake rais.
 
Ni kweli amevunja sheria; nilikuwa siajsoma thread hii, ila kulingana na kifungu hicho cha sheria kama kilivyo iwapo hakifanyiwa ammendment yoyote ni wazi kavunja sheria. Ila nina wasiwasi na sheria zetu zinavyojikanyaga; unaweza kushangaa kuwa huenda kuna sheria nyingine inayomruhusu rais kumteua mtu yeyote kushika wadhifa wowote kulingana na matakwa yake rais.
nilishasema huko nyuma, jamaa huwa hasomi chohcote anachopewa, anaangalia a moment with flare na kuchukua ili a-shine

You hhheaaarrrdddddddddd
 
Hapana Mr. Mwanakijiji, mabadiliko/marekebisho ya Mapitio ya Sheria ya Katiba ya 2012 sura ya 83 yaliyofanywa tarehe 28 februari, 2012 hayaruhusu watu wafuatao tu kuwa kwenye Tume ya Katiba, nanukuu:- "SECTION 6 (5) Notwithstanding subsection (3), a person shall not qualify for appointment as a member of the Commission if that person is:
(a) a member of security organs;
(b) a person who has been convicted of, or is the subject of proceedings in the court of law for an offence involving dishonesty or moral turpitude; or
(c) a non- citizen of Tanzania"
(Msisitizo ni wangu).

Hivyo basi, Mbunge au Mwakilishi wa Baraza la Mapinduzi, Diwani au Kiongozi yeyote yule wa kisiasa au Mwanachama wa chama cha kisiasa au chama chochote anaruhusiwa kuwa kwenye Tume ya Katiba endapo atateuliwa na Rais, kama ilivyotokea kwa Prof. Baregu, Dr. Mvungi na wengineo. Lakini sheria ya kwanza ndiyo ilikuwa inakataza watu hao uliowasema kuwa wajumbe kwenye ya Tume ya katiba katika kifungu hichohicho cha 6 (5)

Lakini huu ndio uelewa wangu mdogo wa sheria na kuhusiana na kifungu hiki cha sheria. Hivyo, Rais hajakiuka kifungu chochote katika uteuzi wa wajumbe wa Tume ya Katiba kulingana na Sheria iliyofanyiwa Marekebisho mwaka 2012. Na kama nimekosea naomba nisahihishwe ili nijifunze zaidi juu ya sheria. Jally Wa Salome Jr.
 
hapo kwenye red mimi mwenyewe hoi........kwahiyo angekuwa siyo mchumi basi nchi hii ingekuwa imefirisika kama ugiriki!! Maana nchi inaongozwa na mchumi na uchumi uko hoi vipi ingeongozwa na fundi mchundo.

nashauri somo la uchumi lifutwe kwa sababu limeprove failure through jk!
 
Sasa hapo kama bwana mkubwa kaza vituko mapema hivvi, kuna dadali za yale Jaji Kisanga kujirudia
 
Kabla hatujafika huko kote napenda kujurishwa watanzania wangapi waliridhia kwa kutoa maoni kuwa wanataka katiba ibadirike?Watanzania wangapi wameshiriki kutoa maoni kuhusu muundo pamoja na uwitaji wa kamati ya raisi ya kuhusu katiba mpya?Ni serikali ya chama gani ambayo katika sera zake angalau kwenye manifesto ya chama imetaja au kuwaidi katiba mpya?
 
Back
Top Bottom