Yanga vs Mtibwa/Simba vs JKT Ruvu - Sept 19, 2012 (Updates)

Kama naona mtibwa wakiimba

kwetu pazuri tumeshapakumbuuuuuuuuuuuuukaaaaa tunalo.......
 
Mnhhh...masihara hayo..mtibwa 2 yanga 0??..kwani hiyo yanga yanga ipiii? Sio ile ya muyu twite? Kelvin yo ndani?

Halafu hii timu inanipaga presha kweli na sijui kwanini naishabikia, najitahidi kutoishabikia kwa sababu ina rangi ya magamba lakini nashindwa, nipigie hata kumi tu
 
wana yanga msipaniki kutokana na matokeo mabaya ya timu tukumbuke kuwa bado mapema sana kutoa tathimin kwani ligi bado, mwaka jana si mnakumbuka tulivyowapa presha waganga wa kienyeji mpaka wakatutafutia hila za kumchezesha mchezaji mwenye red card dhidi ya costal
 
  • Thanks
Reactions: SMU
crashwise akifatilia vipindi vya michezo hatimae yebo yebo wamesawazisha na sasa ni mtibwa 3 na yanga 3..
 
simba nawashangaa bdala nkasirike kisa tnafungwa coz tkifungwaga huwa kombe linabak jangwan mnapiga domo haya ila rejea kagame
 
Yebo Yebo safari hii msijidanganye, timu zote Ligi Kuu ni nzuri sana msidhani hizi point mnazopoteza sasa mtakuja kuzi-recover kirahisi. Mna timu dhaifu sana! Nimetoka Jamhuri Stadium sasa hivi. Barthez amepigwa bao la umbali wa mita 40! Huyo Twite hamna kitu kabisa; alikuwa njia ya mkato mpaka kocha akalazimika kumtoa. Msikimbilie kusajili wachezaji kutoka nje na kutumia pesa kibao. Wachezaji wapo hapa hapa Bongo. "Ohh tumewapiga bao Simba kwa kumtwaa Twite." Kiko wapi sasa?
 
wana yanga msipaniki kutokana na matokeo mabaya ya timu tukumbuke kuwa bado mapema sana kutoa tathimin kwani ligi bado, mwaka jana si mnakumbuka tulivyowapa presha waganga wa kienyeji mpaka wakatutafutia hila za kumchezesha mchezaji mwenye red card dhidi ya costal
Mkuu sawa, lakini tutaongozwa na historia mpaka lini, tunahitaji ushindi na siyo kufuata historia, tambo za viongozi wetu, magazeti nayo yalivyopamba timu yetu na mbwembwe za kocha wetu, sikutegemea tupate kipigo kama hiki, ama wachezaji wetu wamechoka safari ndefu? Inatia uchungu sana, kumbuka tukifungwaga , huwa tunafungwa mfululizo mpaka kuzinduka, naogopa hili, nadhani imefikia wakati tusicheze magazetini, maana inaafanya timu pinzani kujiandaa. Kumbuka ni 3-0 , inatia uchungu sana
 
Ni kweli jamani tusijifariji kipigo kikubwa sana hiki goli 3, tatizo ni nini, mashuti ya akina Bahanuzi yameenda wapi kweli kazi tunayo mwaka huu na skina twite wetu
 
He...! 3 bila? Au laana ya kula rambi rambi ya mafisango imeiingia hadi yanga? Iliwahi kuhusishwa na kuboronga kwa simba kwenye bonanza la kagame
 
Kombe litarudi tu Jangwani msimu huu, hivi vimechi vya majiribio visiwape mchecheto bhana!
 
Ni kweli jamani tusijifariji kipigo kikubwa sana hiki goli 3, tatizo ni nini, mashuti ya akina Bahanuzi yameenda wapi kweli kazi tunayo mwaka huu na skina twite wetu

Jipe moyo, kaza buti, safari bado...............tutashinda tu
 
mhhhh i kanti bilivu zis.... Yaani kerere zooote kumbe timu ya wizi wa hela za EPA na ufisadi, ya jamaa ambaye juzi juzi kahonga wabunge HAMUNA KITU...??

Na yule bloga wa kujikomba-komba, OHHH REKODI ZA MTAKATIFU KUIFUNGA TIMU YA ZANAKI, mara ohh mtakatifu sijui nini kumbe kweli kagame mlinunua...!!!! Sasa huyo Mbuyu Twetwe amerudi kwao au ..?? Kudadek soka uwanjani sio ktk magazeti na blogu za waandishi njaa..............!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom