Yanga vs Mtibwa/Simba vs JKT Ruvu - Sept 19, 2012 (Updates)

Teh te te te, kumbe mnacheza mpira wa magazetini

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Haabri zilizotufikia hivi punde timu ya yanga imefungwa bao 3 bila na mtibwa na kuhitimisha ukweli swala si kocha wa kigen bali ni aina gani ya bunduki unazotumia
nawatakia kila kheri yanga wenzangu msikate tamaa hata madread wameanza hivi hivi

innalilah rajuun
 
Mpira umeisha morogoro, yanga wamekosa penati dk za mwisho. Mtbiwa 3-0 Yanga
 
mechi ya simba vipi wakuu,haijaisha tu? make mpaka sasa tumemchapa mtu mbili bila na tupo pungufu......raha sana kushabikia timu hii
 
Kuna haja ya kuunda tume huru kuchunguza tukio hili la aibu kwa mashabiki wa yanga.
 
Back
Top Bottom