TFF na Bodi ya Ligi wapo kimkakati zaidi katika upangaji wa ratiba

Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
2,283
3,011
Ni jambo lililowazi kabisa TFF na bodi ya ligi wanataka kuhakikisha Simba inabeba ubingwa msimu huu. Upangaji wao wa ratiba unatia mashaka sana kwanini nimesema haya?

1) Raundi ya kwanza waliiweka Yanga fixture ngumu back to back hadi kuja kukutana na mechi ya derby dhidi ya Simba na bado hapo hapo bila kupumzika anatakiwa aende Mkwakwanu Tanga lakini uzuri Yanga hawakunasa kwenye huo mpango wao.

2) Jambo la pili ni hiki kiporo cha Simba kisichochezeka, TFF walikuja na ratiba ya viporo na mechi za raundi ya pili, lakini cha kushangaza Yanga asiyekuwa na viporo vingi akacheza idadi sawa na Simba mwenye viporo vingi zaidi.

Yanga alicheza mechi tano dhidi ya Kagera, Dodoma jiji, Mashujaa, Prisons na KMC huku alkadhalika Simba akacheza mechi tano dhidi ya Mashujaa, Tabora, Azam, Geita, JKT Tanzania

Baada ya ratiba hiyo, timu zote mbili zikaenda kwenye michezo ya kimataifa hivyo wakasimama kucheza michezo ya ligi kuu. Ila jambo la kushangaza ni kuona baada ya kutoka kwenye michezo ya CAF, TFF na bodi ya ligi ya ligi wakipanga ratiba ya kuendeleza kiporo kwa Simba badala ya kuhakikisha Simba na Yanga na Azam wanakuwa na idadi sawa za mechi.

Kiusahihi kulikuwa hakuna sababu ya kuwepo mechi ya Azam vs Yanga tarehe 17.

Azam mpaka sasa ameshacheza mechi 20 sasa kuna sababu gani ya Azam akacheze raundi ya 21 wakati bado timu ingine inaingia mapumzikoni wakiwa hawajacheza raundi ya 20? Kwanini Yanga aingie mapumzikoni ya ligi kwa kucheza mechi ya raundi ya 20 wakati Simba inaenda mapumzikoni wakiwa wamecheza mechi pungufu kuliko wote?

Leo baada ya hii mechi ya Simba vs Mashujaa, mechi za ligi ilitakiwa ihitimishwe na timu zote ziende mapumziko kwa Simba na Yanga wote kucheza michezo 19 kila mmoja huku Azam wakiwa na michezo 20 hivyo ni tofauti ya mchezo mmoja.

Kama lengo ni kumaliza viporo basi kiporo cha Simba dhidi ya Mtibwa kingemalizwa March18 huku Yanga akimaliza kiporo chake dhidi ya JKT Tanzania tarehe 17 March. Kwa kufanya hivyo, ligi ingesimama kwa timu ya Yanga, Simba na Azam kuwa sawa sawa kimchezo wote wangekuwa wamecheza michezo 20. Ila kwavile mmeamua kutengeneza ratiba ya kutaka timu fulani iwe nyuma kwa idadi ya mechi na fulani ziwe mbele haya endeleeni na mkakati wenu
 
Wazee wa kulialia tulijua hii tabia mmeiacha.

Mnaongoza ligi kwa gape la point 7 bado mnalia lia kudai TFF inaipendelea Simba?

Unasema ratiba inaibana Yanga, umeangalia Simba mpaka sasa imecheza mechi ngapi ndani ya siku ngapi?

Tarehe 6 tumecheza na Prisons tukapoteza kwa kufungwa 2-1

Kumbuka hiyo ni mechi tuliyocheza mkoani wachezaji wanabidi wasafiri kurudi Dar na pia wapate muda wa kupumzika.

Lakini walikuwa wana siku mbili tu, ndani ya siku hizi mbili walitakiwa wapumzike na pia waingie kwenye mazoezi kwa ajili ya mechi inayofuata ambayo ilikuwa ni tarehe 9 dhidi ya Coastal ambayo nayo inawalazimu wasafiri kwenda mkoani.

Kesho yake tarehe 10 timu inatoka Tanga inaelekea Dar hapo tayari unakuwa na siku 1 ya kujiandaa kwa ajili ya mechi ya tarehe 12 dhidi ya Singida.

Timu inaenda kukutana na Singida ambayo imepumzika kwa muda wa siku 10 bila mechi yeyote.

Kwa hapo mnajijua wenyewe mna balance vipi muda ili muweze kupata muda wa kupumzika na uchovu wa safari, lakini vile vile kwenye muda huo huo unabidi uutumie na kufanya mazoezi kwa ajili ya kucheza mechi hiyo dhidi ya Sangida.

Baada ya kumaliza mechi dhidi ya Singida unakaa siku mbili tena kwa ajili ya kujiandaa na mechi nyingine. At least round hii mechi ya Singida imechezwa Dar hivyo wachezaji watakuwa wameepuka uchovu wa safari.

Jana tarehe 15 Simba kaingia tena dimbani kumenyana na Mashujaa ambao mechi yao ya mwisho walicheza tarehe 6. Mashujaa wamekaa almost siku 9 bila kucheza mechi yeyote.

Ebu eleza tena kwa ratiba hii ya Simba TFF inaibebaje Simba?

Simba inanufaika vipi na ratiba hii?
 
Kesho yake tarehe 10 timu inatoka Tanga inaelekea Dar hapo tayari unakuwa na siku 1 ?

Mechi mliyopoteza 2-1 mlipoteza kwa ujinga na uzembe wenu kilichowafanys mpeleke mechi Jamuhuri Morogoro ni kipi na kuacha uwanja wa Chamazi, nyie ndio mlikuwa mpo nyumbani na mechi tatu mlikuwa mpo nyumbani sasa wajinga ni nani kama sio nyie wenyewe mliopeleka mechi Morogoro kisha mkaona mambo magumu mkarudi Dar Chamazi
 
Wazee wa kulialia tulijua hii tabia mmeiacha.

Mnaongoza ligi kwa gape la point 7 bado mnalia lia kudai TFF inaipendelea Simba?

Unasema ratiba inaibana Yanga, umeangalia Simba mpaka sasa imecheza mechi ngapi ndani ya siku ngapi?

Tarehe 6 tumecheza na Prisons tukapoteza kwa kufungwa 2-1

Kumbuka hiyo ni mechi tuliyocheza mkoani wachezaji wanabidi wasafiri kurudi Dar na pia wapate muda wa kupumzika.

Lakini walikuwa wana siku mbili tu, ndani ya siku hizi mbili walitakiwa wapumzike na pia waingie kwenye mazoezi kwa ajili ya mechi inayofuata ambayo ilikuwa ni tarehe 9 dhidi ya Coastal ambayo nayo inawalazimu wasafiri kwenda mkoani.

Kesho yake tarehe 10 timu inatoka Tanga inaelekea Dar hapo tayari unakuwa na siku 1 ya kujiandaa kwa ajili ya mechi ya tarehe 12 dhidi ya Singida.

Timu inaenda kukutana na Singida ambayo imepumzika kwa muda wa siku 10 bila mechi yeyote.

Kwa hapo mnajijua wenyewe mna balance vipi muda ili muweze kupata muda wa kupumzika na uchovu wa safari, lakini vile vile kwenye muda huo huo unabidi uutumie na kufanya mazoezi kwa ajili ya kucheza mechi hiyo dhidi ya Sangida.

Baada ya kumaliza mechi dhidi ya Singida unakaa siku mbili tena kwa ajili ya kujiandaa na mechi nyingine. At least round hii mechi ya Singida imechezwa Dar hivyo wachezaji watakuwa wameepuka uchovu wa safari.

Jana tarehe 15 Simba kaingia tena dimbani kumenyana na Mashujaa ambao mechi yao ya mwisho walicheza tarehe 6. Mashujaa wamekaa almost siku 9 bila kucheza mechi yeyote.

Ebu eleza tena kwa ratiba hii ya Simba TFF inaibebaje Simba?

Simba inanufaika vipi na ratiba hii?
Hiyo gap ya muda ilikuwa kote kote sio kwa Simba pekee hata kwa Yanga ilikuwa wanacheza kila baada ya siku mbili Yanga imecheza tarehe 8 kisha 11 kisha 14 kisha tarehe 17.
Na kwenye ratiba ni mechi moja pekee Simba ndio alikuwa away dhidi ya Coastal union sasa wapi Simba ilipoonewa hapo? Mmejionea wenyewe kwa upuzi wenu kupeleka mechi ya nyumbani Morogoro.

Hoja Yangu ipo hapa, kuna ulazima gani Azam na Yanga wacheze tarehe 17 wakati timu zote mbili hizo zina michezo mingi kuliko Simba.

Swala la kuongoza ligi sio hoja, kwahiyo ukiongoza ligi ndio hauna haki ya kukosoa makosa ya upendeleo wa upangaji wa michezo. Hiki kiporo cha Simba ni tokea mwaka jana lakini cha ajabu mpaka leo hakichezeki.

Hoja Yangu sio ratiba ngumu, kwanini Simba amalizi hiko kiporo chake, badala yake waliojuu yake wanaendelezewa tu kupangiwa michezo?
 
This is well known . Time table ya league 23/24 ipo designed to favor SIMBA in all aspect . Sijui lini this non sense will stop 🚮 . Allow AZAM or coastal to be favorable . Not the big 2
Tangu Yanga iaanze kuchukua ubingwa misimu miwili mfululizo viingereza vya kizaramo vimeongezeka hapa jukwaani.Halafu MASHABIKI wa YANGA mna muda wa kujitafutia hata mkate wenu wa kila siku kila siku Yanga Yanga au wengi wenu mnalelewa na dada zenu waliokwapuliwa na minjemba fulani hivi
 
Yeah tuliona kabisa jana simba kanyimwa goli la wazi kisa offside
Huu uzi hausiani na mapungufu ya waamuzi. Bali ni uzi unahusu chombo kinachosimamia ligi na kinachosimamia mpira wa miguu Tanzania kwa kuifanya timu moja iwege nyuma kwa idadi ya mechi na huku aliyejuu yake waendeleege tu kucheza mechi.
 
Wazee wa kulialia tulijua hii tabia mmeiacha.

Mnaongoza ligi kwa gape la point 7 bado mnalia lia kudai TFF inaipendelea Simba?

Unasema ratiba inaibana Yanga, umeangalia Simba mpaka sasa imecheza mechi ngapi ndani ya siku ngapi?

Tarehe 6 tumecheza na Prisons tukapoteza kwa kufungwa 2-1

Kumbuka hiyo ni mechi tuliyocheza mkoani wachezaji wanabidi wasafiri kurudi Dar na pia wapate muda wa kupumzika.

Lakini walikuwa wana siku mbili tu, ndani ya siku hizi mbili walitakiwa wapumzike na pia waingie kwenye mazoezi kwa ajili ya mechi inayofuata ambayo ilikuwa ni tarehe 9 dhidi ya Coastal ambayo nayo inawalazimu wasafiri kwenda mkoani.

Kesho yake tarehe 10 timu inatoka Tanga inaelekea Dar hapo tayari unakuwa na siku 1 ya kujiandaa kwa ajili ya mechi ya tarehe 12 dhidi ya Singida.

Timu inaenda kukutana na Singida ambayo imepumzika kwa muda wa siku 10 bila mechi yeyote.

Kwa hapo mnajijua wenyewe mna balance vipi muda ili muweze kupata muda wa kupumzika na uchovu wa safari, lakini vile vile kwenye muda huo huo unabidi uutumie na kufanya mazoezi kwa ajili ya kucheza mechi hiyo dhidi ya Sangida.

Baada ya kumaliza mechi dhidi ya Singida unakaa siku mbili tena kwa ajili ya kujiandaa na mechi nyingine. At least round hii mechi ya Singida imechezwa Dar hivyo wachezaji watakuwa wameepuka uchovu wa safari.

Jana tarehe 15 Simba kaingia tena dimbani kumenyana na Mashujaa ambao mechi yao ya mwisho walicheza tarehe 6. Mashujaa wamekaa almost siku 9 bila kucheza mechi yeyote.

Ebu eleza tena kwa ratiba hii ya Simba TFF inaibebaje Simba?

Simba inanufaika vipi na ratiba hii?
Hujaelewa na hutaelewa kwasababu uko kishabiki zaidi.
Kwa nini koporo cha Yanga vs JKT na Simba vs Mtibwa kisimalizwe kwanza Machi 17 na 18 mtawalia?
Je hapo pana sababu ya kuvitunza viporo vya namna hiyo?
 
Sema mashabiki wa yanga tunazingua. Simba kacheza mechi nne (tarehe 6, 9, 12, 15) baada ya kumalizana na J. Galaxy. Sisi yanga tumecheza mechi tatu (tarehe 8, 11, 14) baada ya Al Ahly. Ebu tuambie sasa tucheze tarehe ngapi ili twende sawa na simba
 
Wewe nawe umesoma mada ukaelewa au umekurupuka tu?
Kwani mpaka jana Simba na Yanga walikuwa na idadi ya mechi ngapi kama sio mpaka jana wote walikuwa na mechi 19 huku Azam ana mechi 20? Sasa wewe unataka Yanga acheze tarehe ngapi ili iweje amzidi Simba mchezo au?
Unaendaje sawa na Simba wakati yeye Simba ndiye aliyeko nyuma?
Yanga anacheza kesho tarehe 17 na ni mechi ambayo ilikuwa haina sababu ya kuchezwa kwasababu Azam na Yanga watakuwa wanaendelea kumzidi Simba idadi ya mchezo.
Ratiba sahihi ilikuwa tarehe 17 Yanga acheze dhidi ya JKT Tanzania huku Simba acheze dhidi ya Mtibwa. Hivyo ligi ingesimama kwa timu zote Simba, Yanga na Azam kucheza idadi sawa (michezo 20)
 
Sema mashabiki wa yanga tunazingua. Simba kacheza mechi nne (tarehe 6, 9, 12, 15) baada ya kumalizana na J. Galaxy. Sisi yanga tumecheza mechi tatu (tarehe 8, 11, 14) baada ya Al Ahly. Ebu tuambie sasa tucheze tarehe ngapi ili twende sawa na simba
Mzee hujasoma ukaelewa au inawezekana hujafuatilia msimamo wa ligi. Simba huwa yupo nyuma kwa idadi ya mechi tokea mwaka jana kabla hata ya AFCON. Lakini pamoja na hilo bado Yanga anapangiwa ratiba ya idadi sawa za mechi na Simba. Na bado Azam nae wanamuendelezea kucheza mechi.
 
Back
Top Bottom