Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
]
Kuna mengine nayaleta, nipe muda tu
Mengine hayajatimia tu? Twasubiri kwa hamu mkuu
]
Kuna mengine nayaleta, nipe muda tu
Kama Lusinde alidanganya suala la Elimu yake...hapo hakuna mjadala, atakua amejiaribia mwenyewe kwa kutokua mwadilifu.
Mkuu Mengine niliyaweka hapa:Mengine hayajatimia tu? Twasubiri kwa hamu mkuu
Shibuda hajaondoka CCM bado? Anangoja nini?
Shibuda alishatangaza RASMI kuwa kahamia CHADEMA, nadhani hata hapa JF iliandikwa... Labda kama mimi ndo nasahau ila kishahamia CHADEMA rasmi na akasema atakuja kuyasema yote ambayo yamemtokea ndani ya CCMShibuda hajaondoka CCM bado? Anangoja nini?
March on soldier.....huyu Makamba huyu...am glad he is not in the government now...abaki hukohuko CCM
Mkuu hapa kuna swali la kujiuliza ni kwanini Malecela anaahidiwa nafasi, kama ameshindwa kwanini asibaki pembeni, kwani hawezi kutoa mchango akiwa pembeni? Kama ameonekana hakubaliki jimboni kwake (bila kujali sababu) ambako wanamjua vizuri zaidi kuliko sehemu nyingine za Tanzania, atakubalika vipi kwenye sehemu nyingine? Au ndio dhana ya kufa na uongozi. Mbona watu wa calibre yake kana kima Cleopa David Msuya, Joseph Sinde Warioba na Salima Ahmed Salim, wamekaa pembeni kimya? Ina maana wao hawana umuhimu au hawana uwezo?
This is so sick. Tunamheshimu mzee wetu, lakini uongozi hautakiwa kuwa a tool for apeasement. Watu kama kina Mzee Malecela, Msekwa,Kingunges wanfaa kufuata nyao za kina Warioba na Msuya. Too much.