Elections 2010 Yanayoendelea chinichini ndani ya CCM...

Mizengwe inayofanyika ndani ya CCm inaonyesha sura halisi ya CCM. Inathibitisha Ushindi wanaoupata ni wa wizi kila sehemu. Sasa wanaibiana wao kwa wao. Ubabe mwingine hauna maana kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Vita vya panzi.............................................

Tusubiri mwisho wao wa aibu
 
Nani anakumbuka USSR ya Gorbachev????

Every time i see my president smile, i feel soo sad because sijui kama anajua amebeba time bomb
 
Kwa ufupi:

  1. Mzee Malecela amehakikishiwa nafasi na Lusinde katupwa nje vibaya sana na kudaiwa kuwa alidanganya suala la Elimu yake, Lusinde kakasirika sana kwa hali hii na huenda akachukua hatua ambayo haikutarajiwa ndani ya CCM, si tetesi hizi!
  2. Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba amewapigia simu mkoa wa Manyara akitaka kura za maoni huko Simanjiro ambako alishinda Ole Sendeka zirudiwe (nia ni kumng'oa Sendeka) lakini wao wakamwuliza mbona hakukuwa na malalamiko hata chembe wala kasoro yoyote? Wana CCM kule Simanjiro wanashangaa kule Bumbuli ambako Januari aligombea hawajarudia japo kulikuwa na malalamiko kadha wa kadha lakini wao wanalazimishwa kurudia, wanaonekana kukasirishwa na maamuzi ya kulazimishwa.
Kuna mengine nayaleta, nipe muda tu

Chanzo chako cha hii habari ni wapi?
 
Hivi Mzee Malecela anataka kungangania hilo jimbo hadi lini awe na busara awaachie wengine ama aliambiwa hilo jimbo ni lake milele (Mbunge wa Maisha Mtera).

Hii ni Jimbo lake alikatiwa baada ya kuwa anashindwa lile jimbo lake la......Chilonwa sikumbuki sawawa
 
Mzee akubali kushindwa afanye shughuli zake nyingine...
 
watakuja tu! waende wapi?

Kwa chadema ni hatari kumkubali Lusinde! mwaka 2005 ndiyo aliwatosa chadema baada ya kununuliwa na mzee marechela!! Chadema kuweni makini kupokea watu wanaojiengua ccm baada ya kutupwa katika kura za maoni.
 
Tingatinga linaamini kwamba UONGOZI SI KUBEBA ZEGE - bali ni kutumia ubongo na ubongo bado upo fiti.
 
Kwa ufupi:

  1. Mzee Malecela amehakikishiwa nafasi na Lusinde katupwa nje vibaya sana na kudaiwa kuwa alidanganya suala la Elimu yake, Lusinde kakasirika sana kwa hali hii na huenda akachukua hatua ambayo haikutarajiwa ndani ya CCM, si tetesi hizi!
  2. Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba amewapigia simu mkoa wa Manyara akitaka kura za maoni huko Simanjiro ambako alishinda Ole Sendeka zirudiwe (nia ni kumng'oa Sendeka) lakini wao wakamwuliza mbona hakukuwa na malalamiko hata chembe wala kasoro yoyote? Wana CCM kule Simanjiro wanashangaa kule Bumbuli ambako Januari aligombea hawajarudia japo kulikuwa na malalamiko kadha wa kadha lakini wao wanalazimishwa kurudia, wanaonekana kukasirishwa na maamuzi ya kulazimishwa.
Kuna mengine nayaleta, nipe muda tu

Kama Lusinde alidanganya suala la Elimu yake...hapo hakuna mjadala, atakua amejiaribia mwenyewe kwa kutokua mwadilifu.

Huyu Makamba hana tofauti na JK, wamelewa madaraka. Japo ni haki January na Ridhiwan kugombea nafasi katika siasa, kimaadili
, sio sawa kwa wao kuingia wakati wazee wao wako kwenye nyazifa nyeti, kwa sababu moja kwa moja wanakua wanabebwa, source: IKO SIKU FAMILIA ZA VIONGOZI ZITAHAMIA BUNGENI
 
Hivi kama NEC ndio ina nguvu ya kumfanya aliyeshinda kwa kura halali za wanachi kuwa mshindwa na aliyeshindwa kuwa mshindi kuna haja gani sasa ya kuwa na uchaguzi?
 
Nipo kikaoni hapa dom,hakuna kitu hicho.huo ni uzushi wa watu wasiompenda bw.lusinde!
 
Kwa ufupi:

  1. ................
  2. Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba amewapigia simu mkoa wa Manyara akitaka kura za maoni huko Simanjiro ambako alishinda Ole Sendeka zirudiwe (nia ni kumng'oa Sendeka) lakini wao wakamwuliza mbona hakukuwa na malalamiko hata chembe wala kasoro yoyote? Wana CCM kule Simanjiro wanashangaa kule Bumbuli ambako Januari aligombea hawajarudia japo kulikuwa na malalamiko kadha wa kadha lakini wao wanalazimishwa kurudia, wanaonekana kukasirishwa na maamuzi ya kulazimishwa.

Kuna mengine nayaleta, nipe muda tu

Ivi bado tuuu hawa viongozi wanataka kujitahidi kuwa hapakuwa na makosa au wanataka kujisafishaaaa. mbona sasa wanataka kujivua nguo zaidi na kujionyesha walivyo dhaifu katika utendaji wao wa kaziii jamani hwa viongozi wa CCM sasa ndio wanakivuruga chama kuliko wale walio pita, hawa wana mtandao wanatupeleka pabaya sana ati

Back
Top Bottom