Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

Akiwa anahutubia wananchi wa mwanza leo hii tindu lisu amesema kuwa kabila la magufuli ni ccm
 
Kumbe mwanza kuna wamachinga wengi kuliko dar naona vijana wa kijiweni tupu kwenye mkutano huu wa historia kufanywa tanzania sioni hata wamama wazee na watu wazima wenye heshima zao nadhani bora usingerushwa LIVE

Ina maana hao vijana hawana heshima?wewe unataka heshima gani?au unataka wavae suti na tai?
 
Atakusamehe usijali ukitubu kwa dhati hakika utasamehewa...ulisoma vzuri...ukaishi vzuri na mpaka sasa unaishi vzuri kwa dhaluma ya watanzania...sijui kama ulishawai lala njaa..mimi nimeshalala njaa mara nyingi tu...ukishaenda shule pekupeku wewe...sidhani...watanzania wengi sana walishapitia hayo maisha....ulishaweka kiraka kaptula ya shule...sidhani...wengine walishaweka mpaka kitambaa halisi kikatoweka...muombe Mungu akusamehe wakati unakula raha kwa jasho letu tuliotoa hilo jasho tulikuwa tunashindia uji na kulalia kipande cha jimbi pori....mungu akusamehe kwa sababu umetambua dhambi iliyofanywa na mzazi wako....nakuomba umwambie na yeye akitubu kqa dhati baba yetu mwenye huruma atamsamehe....angalie aaije akafa na hiyo dhambi...

Mkuu utatuliza achia hapo na tunajiandaa kuwaondoa hawa magamba
 
Hapa ni Golden Crest Hotel baada ya kusindikizwa kutoka uwanja wa mkutano..
 

Attachments

  • 1437583925512.jpg
    1437583925512.jpg
    88.8 KB · Views: 331
  • 1437584155149.jpg
    1437584155149.jpg
    74.9 KB · Views: 312
swali lako nimelipenda sana. mkuu mimi sina chama ila siku zote siipendi chadema. chuki zangu zilianza pale nilipoona chama kimekuwa cha majungu na miungu watu na hasa baada ya kuwaundia zengwe akina Zitto, Mwigamba, mkumbo na Kafulila na kuwafukuza. CUF walimfukuza Hamad lakini walimpa nafasi ya kujitetea, hata kama alikataa kwenda kuhojiwa na baadhi ya vikao lakini walimpa hiyo nafasi. hicho sijakiona wakati chadema wakimfukuza Zitto. hata mwigamba alinyimwa hiyo nafasi baada ya kupangiwa siku ya jumamosi huku wakijua fika ni msabato na sote tunajua taratibu za wasabato zilivyo siku ya j'mosi.
Nikajiuliza chadema pale ilipo huwezi kuitenganisha na michango ya watu wawili (na watatu) kwa maana ya Zitto na Slaa (na Kikwete-hilo nitalieleza upon your request). lakini Zitto kutumia haki yake kikatiba kugombea uongozi ndo iwe nongwa na kumtukana humu mitandaoni na baadaye kumuundia zengwe na kumfukuza? tunaambiwa humu kuwa hata yule dogo aitwaye ben saa8 alipewa hata kazi ya kumwekea sumu. nikajiuliza inawezekana kabisa hata yule dogo aitwaye deus malya alipewa jukumu la kumwahisha chacha wangwe ahera nini?!
Mbona CCM wanamakundi mengi sana tena mengine hata siyo mazuri lakini wameweza kuhandle, imekuwaje kwa chadema tena kwa watu potential kama Zitto na mkumbo wanafukuzwa kama mbwa bila sababu za msingi?
nikajisema kimoyomoyo kuwa hiki chama ni kiini macho na kuna miungu watu pale. itakuwa makosa sana kama kikipewa mamlaka ya dola maana haitachukua muda tutatumbukia kwenye machafuko. kwa hiyo siko CCM wala ACT. na wala hata kadi sina. japo nina kadi yangu ya kura mkononi kama ninavyofanyaga miaka ya nyuma. na oktoba nitapiga kura.
Najua wewe ni mwanachadema kindakindaki lakini tuvumiliane tu kwa hilo.

we hujielewi tu kamuulize zitto aliwahi jibu yale alioundwa zengwe we ni ccm na ujitambui ndio mana mafisadi ccm hayafukuzwi kwa sababu ndio yenye chama sasa wewe unaleta propaganda na bado
 
Halaf bado wanakuja na ahadi hizo hizo miaka hamsni ya uhuru,bado unawaambia watu utalete maji,utajenga daraja,SHAME ON YOU
Mimi mpaka sasa nashauku kubwa nataka kujua sababu zilizopelekea ilani ya ccm na ahadi lukuki za kikwete kwa nini hazijakamilika wangeanza hapo halafu waendelee pia kama walitoa ahadi ambazo fika walijua haziwezi kukamilika vipi tuwaamini sasa.CCM NI CHAMA KINACHOLAGHAI WATU LAKINI SIO CHAMA MAKINI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom