Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?
Upo sawa kabisa, tatizo ni kwamba hakuna uhusiano wa yaliyosemwa huko zamani na hali halisi inayoendelea uraiani. Watu wameamua kumchagua ENL bila ya kujali aliitwaje na nani na sasa anaitwaje na nani. Ukiendelea kubishana na hali halisi utaumia moyo wako bure na utajikuta unashindwa kuendesha maisha yako. Heri kubaki kimya usipige kura kuliko kubishana na hali halisi
 
Shule ya Msingi Mukendo, shule yangu
Hongereni sana watu wa Musoma
 
Tulimtega MAKUSUDI Na Kufanya Delaying Tactics ILI Yeye Aanze Kwenda Mwanza Na Kweli Kajaa Mwenyewe Ktk FRAME Na Kesho Anatangulia Sasa Angalia CCM Inaenda KUFANYA Kitu Gani Mkoani Mwanza Wakati Rais Wako Mtarajiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na TEAM Yake Nzima WAKIENDA Huko. Watanzania Na Wapiga KURA Karibia 70% WATAENDA KUBADILI MAWAZO YAO NA KUMPIGIA KURA Zao Dr. MAGUFULI Baada Ya KITU CHA KUVUNJA REKODI Na PENGINE KITAKACHOACHA GUMZO KUBWA Kitakachofanyika Huko Mkoani Mwanza. CCM TUMEFURAHI MNO MFAMLE NJOZI a.k.a Mr. TOILET PAPER Kesho KUANZA KUTANGULIA Mkoani Mwanza KWANI MTEGO WETU AMEUVAGAA Na SASA Ndiyo KAJIMALIZA. Mikakati Yetu Hii Ya Hizi Siku 13 au 12 Tu ZILIZOBAKI Dr. Magufuli Asipokuwa Rais NIWEKWE BARABARANI GARI YA KUGANDAMIZA KOKOTO au KIFUSI INISAGESAGE NISIBAKI Na NIPOTEE KABISA.
We mtu unachekesha. Bado wiki 2 unadhani akipenda anashindwa kurudi hata mara 3. Au unadhani anaenda kwa mkokoteni
 
Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?

Kamusi ya kiswahili Sanifu inataja fisadi ni mtu anayefanya ngono na wake za watu au mwizi wa wake za watu,kama hivi ndivyo ni nani kati ya Dr mihogo na mpendwa Edward lowasa ambaye ni dhahiri pasipo shaka amethibitika kuiba mke wa MTU?
 
Tulimtega MAKUSUDI Na Kufanya Delaying Tactics ILI Yeye Aanze Kwenda Mwanza Na Kweli Kajaa Mwenyewe Ktk FRAME Na Kesho Anatangulia Sasa Angalia CCM Inaenda KUFANYA Kitu Gani Mkoani Mwanza Wakati Rais Wako Mtarajiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na TEAM Yake Nzima WAKIENDA Huko. Watanzania Na Wapiga KURA Karibia 70% WATAENDA KUBADILI MAWAZO YAO NA KUMPIGIA KURA Zao Dr. MAGUFULI Baada Ya KITU CHA KUVUNJA REKODI Na PENGINE KITAKACHOACHA GUMZO KUBWA Kitakachofanyika Huko Mkoani Mwanza. CCM TUMEFURAHI MNO MFAMLE NJOZI a.k.a Mr. TOILET PAPER Kesho KUANZA KUTANGULIA Mkoani Mwanza KWANI MTEGO WETU AMEUVAGAA Na SASA Ndiyo KAJIMALIZA. Mikakati Yetu Hii Ya Hizi Siku 13 au 12 Tu ZILIZOBAKI Dr. Magufuli Asipokuwa Rais NIWEKWE BARABARANI GARI YA KUGANDAMIZA KOKOTO au KIFUSI INISAGESAGE NISIBAKI Na NIPOTEE KABISA.

labda mwanza nyingine siyo mwanza hii ninayoijua mimi.Magufuri hapa hawezi shinda
 
Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?

Hilo ni NJE YA MADA
 
Yaaan kla siku mafuriko yanaongezeka
Vichinjio tunavyo. Kazi imebaki kwetu tu tarehe 25.
Viva ukawa viva
 
Ccm vichwa sana ukawa kwisha kabisa..kwa hii press ya leo magufuli anajiongezea ushindi tuuu....ccm oyeee
 
Tulimtega MAKUSUDI Na Kufanya Delaying Tactics ILI Yeye Aanze Kwenda Mwanza Na Kweli Kajaa Mwenyewe Ktk FRAME Na Kesho Anatangulia Sasa Angalia CCM Inaenda KUFANYA Kitu Gani Mkoani Mwanza Wakati Rais Wako Mtarajiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na TEAM Yake Nzima WAKIENDA Huko. Watanzania Na Wapiga KURA Karibia 70% WATAENDA KUBADILI MAWAZO YAO NA KUMPIGIA KURA Zao Dr. MAGUFULI Baada Ya KITU CHA KUVUNJA REKODI Na PENGINE KITAKACHOACHA GUMZO KUBWA Kitakachofanyika Huko Mkoani Mwanza. CCM TUMEFURAHI MNO MFAMLE NJOZI a.k.a Mr. TOILET PAPER Kesho KUANZA KUTANGULIA Mkoani Mwanza KWANI MTEGO WETU AMEUVAGAA Na SASA Ndiyo KAJIMALIZA. Mikakati Yetu Hii Ya Hizi Siku 13 au 12 Tu ZILIZOBAKI Dr. Magufuli Asipokuwa Rais NIWEKWE BARABARANI GARI YA KUGANDAMIZA KOKOTO au KIFUSI INISAGESAGE NISIBAKI Na NIPOTEE KABISA.

Vipi bosi aliyekuwa anawatunza BSS wakati hajakulipa mshahara ameshakulipa!? Na umeshapata uraia wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom