Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

Nje ya Mada;
Kama aveta yako isemavyo, weye kila kitu ni nje ya mada. Sasa kamwambiye huyo Mbowe hayo yako ila wengine weshaamua. Hata angeletwa Shetani kugombea, tungempa kura. Tunachotaka ni MABADILIKO tuuuuuu. Yaletwe na nani si hoja hapa. Hoja ccm out tuuuu. Awe fisadi, awe shetani, awe mgonjwa mahututi lakini amtoe ccm madarakani

Aisee! Sijui umejuaje na mimi nilitaka kumpa jibu kama lako!
Viva Lowasa viva!
#L4P #
 
Jamani Kila Siku Naweka Humu Jina Langu Kamili Huwa Mnakuwa Wapi MAPOPOMA Nyie MLIOTUKUKA? Leo Najitaja Kwa Mara Ya Mwisho Naitwa Mr. Kalemera Rwigyema Mazimpaka Ni MNYARWANDA NILIYETUKUKA Lakini Nimejikuta Tu Nawapenda WAZANAKI Wa Mkoani Mara Na WAMAKUWA Wa Mkoani Mtwara. Kwa Sasa Nipo Kwetu Nchini Rwanda Hapa Jijini Kigali Kwa Takribani Mwaka Wa 11 Sasa Nafanya Tu Shughuli Zangu Binafsi Na KUWATAFUTIA WAAFRIKA VIONGOZI BORA, WAZURI Na Wenye MAADILI. Nimefanya Hivyo Kwa Mzee Wangu MLEZI Wa Uganda Yoweri, Homeboy Wangu Joseph Kabila Na KIPENZI Changu Paul Kagame Na Sasa NAMALIZIA Kwa WATANZANIA Kwa Kuwawekeeni Rais MWEMA, MCHAPAKAZI, MPIGANAJI Na SHUJAA Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI. WATANZANIA MSIPOMCHAGUA Dr. MAGUFULI Nitawaona Kweli MAPOPOMA Na Nchi Zote WASHIRIKA Wa JUMUIA YA AFRIKA YA MASHARIKI TUTAWATENGA ILI MUONGOZWE NA FISADI Na MPIGA DILI Wenu MAMVI.

Kwa hiyo kura unapigaje au ndo mamluki!?
 
wewe Jamaa utakuwa Bogus! thread zako hazina kichwa wala miguu , eti umeshauri Uganda,na Rwanda, hauna lolote
Team Lowassa
 
Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?

acha unafki
 
sisemi chochote, sema wewe!!!
 
Attachments

  • 1444578454435.jpg
    1444578454435.jpg
    50.7 KB · Views: 3,463
  • 1444578474178.jpg
    1444578474178.jpg
    49.4 KB · Views: 2,993
  • 1444578501399.jpg
    1444578501399.jpg
    51.4 KB · Views: 3,015
"Ahsanteni sana watu wa musoma mmedeki barabara,mmenipa mapokezi kama yale aliyopewa OBAMA pale Dar es salaam" Edward Ngoyai lowassa
 
Attachments

  • 1444578677288.jpg
    1444578677288.jpg
    64.6 KB · Views: 364
Yesu alipoingia yerusalemu watu walitandika nguo zao chini ili apite, huku wakiimba hosana! hosana! mwana wa Daudi. but siku yesu yuko mbele ya pilato hao hao walipiga kelele wakisema asurubiwe! asurubiwe! so hao watu wanaenda kwenye mikutano yake is not issue siku ya hukumu ni oct 25 lowasa kwisha
 
Back
Top Bottom