hassandady
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 201
- 76
Acheni zenu.. Mnataka mtu ambaye Ni fisadi apewe Nchi? Kamanda Wa Anga mbowe, Na wenzio mmetuaminisha miaka nenda rudi kuwa ENL Ni Fisadi, hafai kupewa nafasi ya kutuongoza iweje Leo mumkubali aingie madarakani? Tena kupitia Chama chetu tukufu?
Sawa ni mwizi lakini tumemsamehe tunataka mabadiliko