Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

Mkutano wa dharula hauta wasaidia kitu nafuu wangeitisha mkutano wa milele na milele pengine ungeweza kuwasaidia.
 
Kama atagusia ishu ya richmond na uchafu wa lowasa basi najua muda wa kuwajua wezi wa tanxania umefika maana ukitaka kujua kasoro za mke au mume ngoja ndoa ivunjike raha ilioje: Nape ni mmachinga mwenzangu tafadhali usimguse lowasa mtaharibikiwa bvr wamejiandikisha watu wasiowapenda jiulize kwann watu wanapanga hadi mawe ili iwe foleni.wanajiandikisha kwa malengo mtashindwa kuzuia mafuriko kwa mkono wananchi wamechoka.ongea kuhusu chama na kumtakia maisha mema alikohamia ushauri.
 
kaka ujinga wa Lowasa mnaukubali ninyi vindaki ndaki tu-wenye akili na wana vijiji hawatoweza kuukubali ujinga huo wa kumkaribisha mwizi na kumbatiza haraka na kumkabidhi nchi
 
Kama ni huyo jamaa ambaye mdomo wake haunaga break ya kuongea ndo atakuwa msemaji wa leo,msubirie komedi ya mwaka ambato haijawahi kutokea!
 
kaka ujinga wa Lowasa mnaukubali ninyi vindaki ndaki tu-wenye akili na wana vijiji hawatoweza kuukubali ujinga huo wa kumkaribisha mwizi na kumbatiza haraka na kumkabidhi nchi

uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo, yaani bado tu una propaganda, kauli yake jana hujaielewa?
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    15.8 KB · Views: 280
Back
Top Bottom