amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,372
Ni kudelete ccm tu October maana hakuna namna
October CCM tupa kuleeee
R.I.P CCM
Ni kudelete ccm tu October maana hakuna namna
Hatushtushwi kabisa, tulivyomkata tulijuwa ana uchu wa madaraka na atahama kwani hilo alishasema siku nyingi.
CCM haitishwi na mtu ambae hafai.
Hivi watu wanafikili Lowasa tu ndio anayezijua siri za Serikali ila serikali hawamjui Lowasa? tutakuwa tunakosea sana katika hili .Kwa uelewa wangu wa kawaida tu ni kwamba wote hawa wanaelewana vizuri sana, juu ya kubakwa kwa Democrasia ndani ya CCM mbona hata Zitto naye anadai CDM wamebaka democrasia? hakupewa nafasi ya kuhojiwa juu ya tuhuma zake.
CCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.
Simshangai Lowasa, Lowasa ni mfa maji haishi kutapatapa, nnamshangaa Mbowe aliyekula matapishi yake.
Wasalaam wanaBodi.
Tumekuwa tukimsikia Mara kwa Mara katibu mwenezi wa ccm akijaribu kujibizana na Mhe Edward Lowassa katika vyombo vya habari huku Lowassa akimpuuzia kijana huyu mdogo asiyeijua vyema hata historia ya nchi hii lakini kutokana na nafasi yake ya Uenezi anajaribu kuvuka mipaka ya majukumu yake na kujaribu kujibizana na Lowassa kitu ambacho hata bosi wa Nape hawezi kukifanya.
Nichukue nafasi hii kumuasa Nape siyo kila jambo ana mamlaka ya kulizungumzia hivyo wakati mwingine ajaribu kukaa kimya ataonekana wa maana kuliko kuropoka na wale waliomzidi akili na umri pia La sivyo atakuwa Mtu wa kupuuzwa tu na huenda baadaye akaishia pabaya kama atashindwa kuzungumza Ukweli na kuwa na hakika wa kile anachokizungumza badala ya kukubali kutumika kama chambo au sadaka ya kuteketezwa ndani ya ccm kuzima baadhi ya Hoja ambazo zingine hazizimiki kibabe bali kwa mazungumzo ili kufikia muafaka wa kweli na hakika..
Wasalaam...
[/IMG]
hapo wanamchana laivu lowasa
October CCM tupa kuleeee
R.I.P CCM
Makumbusho ndio itakuwa pahala pake pa kupumzishiwa .
Wasalaam wanaBodi.
Tumekuwa tukimsikia Mara kwa Mara katibu mwenezi wa ccm akijaribu kujibizana na Mhe Edward Lowassa katika vyombo vya habari huku Lowassa akimpuuzia kijana huyu mdogo asiyeijua vyema hata historia ya nchi hii lakini kutokana na nafasi yake ya Uenezi anajaribu kuvuka mipaka ya majukumu yake na kujaribu kujibizana na Lowassa kitu ambacho hata bosi wa Nape hawezi kukifanya.
Nichukue nafasi hii kumuasa Nape siyo kila jambo ana mamlaka ya kulizungumzia hivyo wakati mwingine ajaribu kukaa kimya ataonekana wa maana kuliko kuropoka na wale waliomzidi akili na umri pia La sivyo atakuwa Mtu wa kupuuzwa tu na huenda baadaye akaishia pabaya kama atashindwa kuzungumza Ukweli na kuwa na hakika wa kile anachokizungumza badala ya kukubali kutumika kama chambo au sadaka ya kuteketezwa ndani ya ccm kuzima baadhi ya Hoja ambazo zingine hazizimiki kibabe bali kwa mazungumzo ili kufikia muafaka wa kweli na hakika..
Wasalaam...
[/IMG]
Sipendi kuona mtu akiabika na sipendi .
Nashauri watumie busara zaidi. Sio kukurupuka na kujibu shutuma. Wakati mwingine kukaa kimya kunasaidia pia.
na muda pia hutoa majibu.
Kama EL karusha kombora wasijibu hovyo hovyo kwa vile naye atajibu pia kuprove yupo right.Then wataaibika zaidi.
Makosa kama haya yalizaa ukawa na yakampeleka EL ukawa.
Na wasipoangalia yatawaondoa madarakani.Be smart acheni kukurupuka.Nashauri tu
Hahahaaaaaleteni pepeta nile
CCM ijifunze kwa mtini, kama maandiko matakatifu yanavyosema, KWA MTINI JIFUNZENI!
Kisa cha LOWASSA kimefanywa makusudi na baadhi ya watu wasioitakia mema CCM ili kuivunjilia mbali CCM, akiwemo Rais Kikwete!