afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Kwa hili Chadema mmechemsha kwa kweli .
Huwa napenda kuwatetea lakini sasa nikae
Nakuangalia sinema.
Mlitumia nguvu nyingi mno kumtangaza Lowasa
Fisadi, mkapata na wanachama kibao mlipotoa
Majina ya wala rushwa Lowasa included . Leo hiibadala ya kutangaza mtafanya nini kama
Mkikamata nchi nyie mtakuwa busy kumsafisha
mliemchafua . Kazi mnayo.