upo sawa kabisa tena wanaweza wakanyang'anywa hati za kusafiria
Naona bado mna furaha kumpokea fisadi wenu?Mkutano wa dharula hauta wasaidia kitu nafuu wangeitisha mkutano wa milele na milele pengine ungeweza kuwasaidia.
Wanajifariji kumpokea fisadi, subiri sasa watandikwe mwezi Oktoba.Mkutano wa chama na hati ya kusafiria wapi na wapi??!!!
Mkutano wa chama na hati ya kusafiria wapi na wapi??!!!
Nahisi lengo la mkutano huo itakuwa kuwazuia vigogo watakaofuata
Dr Slaa-anarudi CCM
Kama atagusia ishu ya richmond na uchafu wa lowasa basi najua muda wa kuwajua wezi wa tanxania umefika maana ukitaka kujua kasoro za mke au mume ngoja ndoa ivunjike raha ilioje: Nape ni mmachinga mwenzangu tafadhali usimguse lowasa mtaharibikiwa bvr wamejiandikisha watu wasiowapenda jiulize kwann watu wanapanga hadi mawe ili iwe foleni.wanajiandikisha kwa malengo mtashindwa kuzuia mafuriko kwa mkono wananchi wamechoka.ongea kuhusu chama na kumtakia maisha mema alikohamia ushauri.
kaka ujinga wa Lowasa mnaukubali ninyi vindaki ndaki tu-wenye akili na wana vijiji hawatoweza kuukubali ujinga huo wa kumkaribisha mwizi na kumbatiza haraka na kumkabidhi nchi
nadhani richmond ndiyo agenda maana ile ya mkuu wa kaya kutajwa siyo ishu ndogo.