Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,092
Mkuu sipati picha,ndo huyo Fatma Said Alli alikuwa na huyo Amina wizara moja ya michezo na utamaduni. enzi hizo Mkwasa bado anacheza National Team Ukwaju
siku hiyo nilikuwepo jirani katika hizo nyumba karibu na uwanja wa ndege lakini sikuambulia wahusika wote wa NMC leo ndio umenifungua
funika kombe ...