Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nasema mmemwaibisha lowasa hiyo nikweli kamati ya ccm mlikua mnajua kua hatapita au hana sifa na kwa jinsi alivyo kua gumzo kwa wana nchi wenu japo mngemwacha aingie hata tano bora hata nyinyi pia msingeonekana kua mlikua mnajua nani hapiti nani anapita
 
Wanapiagana kwa kutaka kumkomboa mtanzania wa hali ya chini au wanapigania maslahi yao binafsi?

Walishasema fisadi mkuu asipopitishwa patachimbika. Ngoja tusubiri tuone ukubwa wa shimo lenyewe.
Atafanya yote lakini urais wa Tanzania hatapata.
 
Ni wakati wetu wananchi kutubu juu ya uovu [dhambi],kujitakasa [kifikra,kimawazo,kimaneno] na kuomba sana hekima,rehema na ufahamu toka kwa Mwenyezi Mungu mwingi viwatawale na kuwaongoza viongozi wetu wa kitaifa,vyama,dini na makusanyiko ktk maamuzi,michakato,misukumo,matamanio ya itikadi zao,imani zao,mihemuko yao,kiu zao,falsafa zao vyenye maslahi kwa nchi,taifa na vizazi vijavyo.Mifano ya kilichopelekea yachoendelea South Sudan,Burundi,CAR,DRC,Zimbabwe na kwingineko viwe mwanga wa kutufinyanga kuepuka kukosea kunakoweza kukwaza jitihada,mikakati,mipango,harakati za kudumisha upendo,undugu,amani,mshikamano na maendeleo baina yetu wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tuwaombee viongozi,tuwaombee viongozi,tuwaombee wenye mamlaka..pasipo msaada wa mwenyezi Mungu wanaweza..
 
Hiv sasa vurugu zinaweza kutoke maana taarifa nilizopata si nzuri kwa wanasafari ya matumaini kuachwa kwenye mataa.


hao ni wale waliokuja kwa kuletwa na hawana nauli za kurudi makwao ndio hao wanashinkiza na kupiga kelele ili wajihakikishie kuwa wanarudishwa nyumbani..kwani wewe hujaona tangazo la team lowasa likiwambia bara baada ya jina la losawa kukatwa basi hata mambo ya chakula na malazi wajietegemee na nauli ya kurudi makwao...lowasa kesha kubali yaishe
 
Naona wajumbe wote wa mkutano mkuu wanasoma gazeti la Uhuru...

Halafu kwa maelezo yao inaonekana ni watiifu sana kwa chama na viongozi wao...

Wanasema wanasubiri wakubwa walete majina wenyewe wachague mmoja..

Kwahiyo Mzee Lowassa ajipange sana..
 
FYI, JK yuko close na Asha kuliko Membe. See who he picked as his FM when he first got power, See who picked as pick for UN chance we got from Secretary General, See who he picked as Mbunge wa kuteuliwa mara baada ya kurudi from UN, see who he picked as Minister to oversea all important constitutional changes immediately after that, see who he asked to go around Tanzania with Kinana,see who he specifically keep closest for the last 10 years of his tenure. None other than Asha Rose Migiro. Huyu Asha, JK alipokuwa ankuja UK 2006 mara baada ya kuapishwa ndio alikuwa anamwimba Baba-baba.., Huyu mama asingekuwa na Mume JK angeshamuoa Kama mke wa 3 n.k, wana mahaba ya dhati.ni kama kaka na dada, naamini wanaaminiana kiasi cha kutosha.

Kwa kifupi JK amewaweka mtu kati, mkikimbia NCHALE, mkichimama NCHALE.

Huyo Magufuli mwenyewe ambaye haonekani close na JK ndio Mfuasi wake muaminifu kuliko woooooooooooote. Hajawahi kumkosoa JK hata mara moja. Everything JK can showw off for kafanya Mafuguli. Alipoenda kuchukua au kurudisha fomu Magufuli alisema mapungufu yoyote ya Serikali?NO. MIGIRO je NO...., sasa utasemaje unamkomoa JK kwa kuwachagua hao wawili?

hapa tushaingizwa mkenge kwa miaka mingine 10. Ni kutulia tu wakati tunanyolewa, unless UKAWA do the needful

Uko sahihi Kimweri. Katika hili Jeykey ni kina kirefu; seriously kawaweka mtu kati wapinzani wake.
 
Last edited by a moderator:
Timu Lowassa sio kwamba wanalia na Membe hivi hivi tu, ni kwa sababu wanajua Membe akichukua Urais wamekwisha..Hii inawapa wasiwasi zaidi kwa sababu Usalama wenyewe wamegawanyika. Hii ni hali ya hatari sana kuliko watu wanavyoifikiria lakini nina hakika chama hakiwezi kuchukuliwa mateka na kundi dogo la watu walolelewa na chama. Imefika wakati nchi yetu irudishe UZALENDO wake na pengine imefika tunahitaji Dikteta, mtu wa Usalama wa Taifa kwa sababu hatuwezi kuwa na makundi ndani ya chombo hicho!.

Shukran JK na maadam wewe bado rais wa JMT, Utalindwa. Imefika wakati sheria na kanuni za Uchaguzi wa wagombea Urais na Ubunge zitungwe na kusimamiwa na NEC sio vyama vya siasa.
 
Taifa linakwenda kupiga hatua kubwa kisiasa,kiuchumi,kijamii..Ni wakati wetu wananchi kutubu juu ya uovu [dhambi],kujitakasa [kifikra,kimawazo,kimaneno] na kuomba sana hekima,rehema na ufahamu toka kwa Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi viwatawale na kuwaongoza viongozi wetu wa kitaifa,vyama,dini na makusanyiko ktk maamuzi,michakato,misukumo,matamanio ya itikadi zao,imani zao,mihemuko yao,kiu zao,falsafa zao vyenye maslahi kwa nchi,taifa na vizazi vijavyo.Mifano ya kilichopelekea yachoendelea South Sudan,Burundi,CAR,DRC,Zimbabwe na kwingineko viwe mwanga wa kutufinyanga kuepuka kukosea kunakoweza kukwaza jitihada,mikakati,mipango,harakati za kudumisha upendo,undugu,amani,mshikamano na maendeleo baina yetu wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tuwaombee viongozi,tuwaombee viongozi,tuwaombee wenye mamlaka..pasipo msaada wa mwenyezi Mungu hawataweza...tuwaombee pasipo kuchoka...
 
Acha waunga mkono ufisadi waendelee kusimama ili wahesabiwe. Farasi anapokufa haachi kurusha mateke, ila kesho lugha itakuwa nyingine. Ila kama ni kusafisha nyumba ccm inatakiwa waanzie hapo! Taka zote zimeonekana.
 
Ni wakati wetu wananchi kutubu juu ya uovu [dhambi],kujitakasa [kifikra,kimawazo,kimaneno] na kuomba sana hekima,rehema na ufahamu toka kwa Mwenyezi Mungu mwingi viwatawale na kuwaongoza viongozi wetu wa kitaifa,vyama,dini na makusanyiko ktk maamuzi,michakato,misukumo,matamanio ya itikadi zao,imani zao,mihemuko yao,kiu zao,falsafa zao vyenye maslahi kwa nchi,taifa na vizazi vijavyo.Mifano ya kilichopelekea yachoendelea South Sudan,Burundi,CAR,DRC,Zimbabwe na kwingineko viwe mwanga wa kutufinyanga kuepuka kukosea kunakoweza kukwaza jitihada,mikakati,mipango,harakati za kudumisha upendo,undugu,amani,mshikamano na maendeleo baina yetu wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tuwaombee viongozi,tuwaombee viongozi,tuwaombee wenye mamlaka..pasipo msaada wa mwenyezi Mungu wanaweza..
 
CCM bana wameshindwa kufuata ratiba nyepesi tu ya vikao je wanaweza kuaminika tena kumtoa rais wa awamu ya tano?
 
Back
Top Bottom