Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Nadhani Wewe Utakuwa Ni Mgeni Kwangu Na Kama Siyo Basi Utakuwa Ni Bonge La POPOMA Tena LILILOTUKUKA. Hakuna Ambaye Hajui Humu JF Kuwa Mimi Si Mtu Wa Lowassa au Membe Na Tokea Mwanzo Nilikuambia Na Hadi Nikaweka Nadhiri Humu JF Kuwa Lowassa Hatopita au Kupitishwa Na Nikaenda Mbele Zaidi Kusema Kuwa Mgombea Wa CCM Lazima Atatoka Kati Ya Dr. Magufuli au Professor Muhongo au Professor Mwandosya Na Maprofesa Wawili Wameshakatwa Na Kabaki Mtu Wangu Mmoja Tu Dr. Magufuli Na Ndiyo Huyo Huyo Atapitishwa Na CCM Tena Kwa Kura Nyingi Tu. Ukitaka Kuamini Haya Jaribu kupitia Posts Zangu Ujiridhishe. Na Kumtetea Lowassa Kama Kwanini Amekatwa Yawezekana Kwakuwa UELEWA Wako Ni Ndogo Pengine Kama Punje Za Mchanga Hukunielewa ILA Nilichokuwa Nakisisitiza Katika Hoja Yangu Ni Kitu Kiitwacho Political Equilibrium Ambapo Walitakiwa Ama Wote Wabakishwe ILI Waje Kuchinjiwa Katika 5 Bora au Basi Wote Wasiwepo Ili Kuwamaliza Kinguvu Lakini Kumwacha Mmoja Akipeta Ni Kuleta Hatari Na Mpasuko Mkubwa Ndani Ya Chama. Ni Imani Yangu Kwa Maelezo Haya Ya Kiufafanuzi Basi UPOPOMA Wako Sasa Utakuwa Ni Historia Na Tutaenda Sawa.
Mkuu achana nae huyo. Watu wengi humu ndo walivo ukipinga hiki kilichofanyika tu wanajua kuwa wewe ni Team Lowassa. Hawajui kuna watu humu hawatiliwagi mashaka post zao coz ni watu wa facts na sio ushabiki.
Watu wanashindwa kuelewa kuwa sio kwamba tunapinga Lowassa kukatwa la hasha tunachopinga ni kumkata Lowassa na kumuacha Membe wakati wote ni watu wale wale na uthibitisho ni kwamba chama kilekile juzi tu waliwafungia kwa mda kutokana na mambo yao yaleyale wanayoyafanya.
Wanashindwa kujifunza tu kwenye scenario ndogo iliyotokea wakati wa uchaguzi wa TFF pale Malinzi alikwatwa na mwishowe akaishia kupata public sympathy na kushinda uraisi.

Jambo kuu hapa ni kuwa wote Lowassa na Membe walitakiwa wakatwe, sasa kumkata mmoja na kumuacha mwingine yale maneno kuwa hizi ni fitna yanapata nguvu na siku ya mwisho public sympathy inamnyanyua mtu hata kama kiuhalisia sio msafi.
 
Yaani EL anashangaza kweli, katika makada wote wa ccm kamuona hiki kikongwe kwamba kitaweza kumbeba mgongoni?
 
Sawa.

Wameonyesha ushupavu kwa kufanyia maamuzi maazimio ya Kamati ya Maadili tu bila sauti ya Kamati Kuu ya Chama,

kuogopa kivuli?

Tusubiri kitakachoendelea baada ya hapo.

Maamuzi yametolewa usiku,tusubiri kupambazuke, iwe mchana, jioni kisha tuhesabu siku ya kwanza, ya pili hadi uchaguzi

utakapofanyika....
 
Goma Linogile, Huyo muhindi ni wa Rostam, members anabebwa na kaka yake ilibidi na yeye akatwe ili mambo yapoe kidogo
 
Huyo Mburushi ni mtumishi wa Caspian ya Rostam Aziz. .. wanaonekana pichani wamo Fadhili Ngajiro; Ole Porokwa; Omar Ng'wanang'wala na hapo ni hotelini St Gasper kambi ya Lowassa ambapo Leo waliwaita wajumbe kuwapa pesa wasusie NEC ama kufanya fujo na plan B awe Magufuli. Same place Kingunge alifanya press
Porokwa Katibu CCM Manyara na msaidizi wa Lowassa.
HAYO NDIYO MAELEZO YA ZILE PICHA ZA MUHINDI ALIYEKAMATWA NA MIHELA. Team Lowassa wanajipanga kumsupport Magufuli. Hili movie ni kiboko.


Hawa jamaa bwana,,,,, yani hongo kwao nikama usingzi Shame on them
 
Nilikuwa namuelewesha Member katika Post yake kuwa huko St Gasper kulikuwa na fujo kuanzia asubuhi na lengo la hao watu ni kugawa mlungula watu wamkatae Mkiti kwa kutokuwa na imani naye ili wamvurugie Membe na Magufuli
ndio maana nikasema mpango uliobaki ni kuvuruga tu NA HILO HAWATAAMBULIA
WANAUMBUKA km sasa wamekamatwa na ,apesa na Membe kakanusha
attachment.php
Wamechapisha noti nyingi ndiyo maana Shilingi imesuka thamani ... huku wanatudanganya dola imeimarika ...
 
kaka Wa taifa alishasema Uganda hakumuona na kama alienda nibaada ya vita kwenda kuburudisha tu

Nakumbuka alisema walikua wengi sana so Si rahisi kumuona na kuufahamu, Kumbuka wakati huo hawakua wanasiasa so hawakufahamiana. Acha Mambo hayo bhana babaangu nae alienda Uganda Mako alimwona?????
 
Tuliliona hili mapema na kusema ukweli i was really dissapointed. Hivi tuseme chama cha mapinduzi na wazee wote hawa hawakuforesee hili eti unamtoa Lowassa alafu unamuacha Membe??????
Hivi walitegemea nini????
Kama umemtoa Lowassa lazima Membe nae atoke ili nchi itulie. Ila if it happens Membe anabaki basi its either of the two system i collapse au yatokee machafuko na basi nchi wapewe wapinzani.

Kikwete anatakiwa ajue kuwa muda wa kuweka mazingira mazuri na ya amani kwa kustaafu kwake ni huu. Yaani leo huku kila sehemu napita watu wanasema Lowassa kakatwa Membe kabakishwa na wanaamini ni influence ya Familia ya MKUU kwa sababu Membe na Migiro wote ni watu wa karibu na familia ya mkuu.

Honeslty hali sio nzuri ndugu yangu, hawa jamaa maamuzi yao yanaliangusha taifa rasmi. Tuombeni.
Yanaiangusha CCM siyo Taifa,CCM ikianguka Taifa linasonga mbele chini ya UKAWA.
 
haya uliyoyaandika ya kweli au ni hadithi uliyojitungia? kama ni kweli toa chanzo cha hii hadithi yako.ninachokijua lowasa ameshakatwa na hawezi kufanya lolote la sivyo apelekwe segerea

Wee nae unatuchosha kuquote thread yote.
 
Hapo tungekuwa tunamteua MWENYEKITI wa bodi ya uhasibu tungesems;Balance sheet ya Bodi(CCM) imegoma ku-balance,yaani LIABILITY IS GREATER THAN ASSETS.CCM Asset was MAKONGORO while Liability was Membe and Lowassa.

Capital hakuna mkuu?
 
Back
Top Bottom