Uzoefu wa 20yrs wa kimzoea. Watumishi wengi ktk sekta za umma. Wana uzoefu wa kukaa miaka mingi kazini lakini ujuzi na maarifa ni yale yale kama ndio katoka chuoni leo.Huyu polisi anayetoa ushahidj mbona kama hajui mambo mengi sana?
Kesi za kubambika hizi huwa hazifiki mbali zinachuja.Case imeisha mvuto.
Kulipua Vituo vya Mafuta bila Vifaa vya Kulipua!Kesi za kubambika hizi huwa hazifiki mbali zinachuja.
Mwenyezi Mungu kampiga shetani kwa upofuKulipua Vituo vya Mafuta bila Vifaa vya Kulipua!
Kuweka Magogo Barabarani Nchi nzima Watu wanne bila hata Mundu wa Kufyekea nyasi!
Kuandamana Nchi nzima kwa Wakati Mmoja Watu Wanne!
Jana Kaulizwa Hbr za Luteni Dennis Urio!
Leo amebanwa Juu ya Sheria ya Mtoa Taarifa Hajui Chochote!
Anaulizwa Sasa Kwa nn mnaendelea na Kesi Wkt Hakuna Statement ya Lt Urio Hajui Chochote!
Yaani Huyu Shahidi Ni BOGUS! Kiazi Kabisa!
Napenda nijue jina lake, kituo cha kazi, elimu yake etc .... anaonekana ni kichwa design ya vile alivyozungumzia waziri wao Simbachawene!!Kulipua Vituo vya Mafuta bila Vifaa vya Kulipua!
Kuweka Magogo Barabarani Nchi nzima Watu wanne bila hata Mundu wa Kufyekea nyasi!
Kuandamana Nchi nzima kwa Wakati Mmoja Watu Wanne!
Jana Kaulizwa Hbr za Luteni Dennis Urio!
Leo amebanwa Juu ya Sheria ya Mtoa Taarifa Hajui Chochote!
Anaulizwa Sasa Kwa nn mnaendelea na Kesi Wkt Hakuna Statement ya Lt Urio Hajui Chochote!
Yaani Huyu Shahidi Ni BOGUS! Kiazi Kabisa!
Hana ujembe wowote wanamuwekea boya ili amalize vitu vya kuhoji......Kibatala ni jembe
Kongole sana sana mkuu na Big up kwa sana, vita na shetani sio ya kitoto.
Basi kazi ipoUzoefu wa 20yrs wa kimzoea. Watumishi wengi ktk sekta za umma. Wana uzoefu wa kukaa miaka mingi kazini lakini ujuzi na maarifa ni yale yale kama ndio katoka chuoni leo.
Jaji michongo nae kapandishwa cheo.Basi kazi ipo
Afu askari wote waliohusika na ukamataji wa watuhumiwa, jamaa amekiri wamepandishwa vyeo....
Judge anaandika hayo hayo ya huyo shahidi unayemuita "boya" hata wakija mashahidi wengine ambao unafikiri ni wazuri (ambao hawapo), tayari huyu atakua amesababisha damages kwenye ushahidi wao. Ametengeneza doubts nyingi sana. Kubali tu mkuu kwamba kesi haiendi kama ulivyotegemea.Hana ujembe wowote wanamuwekea boya ili amalize vitu vya kuhoji......
Tumuulize IGP Siro aliyesema wana ushahidi mzito.Huyu polisi anayetoa ushahidj mbona kama hajui mambo mengi sana?
Hadi mimi nafikiria kwamba, huenda hii kesi ipo kwaajili ya ku expose lile kundi la wasiojulikana ambalo sasa linaonekana Director alikua ni General Lengai Ole Sabaya. Hii kesi inafukua mengi sana.Hii kesi iliharibika tangu siku ile Sabaya anafungwa.
Inaonekana yeye ndiye alikuwa Director wa hii movie.
Kinachoshangaza, aliyewapa information ya mpango wa ugaidi Afande Urio, sio shahidi kwenye hii kesi na mahakama haina maelezo yake...Tumuulize IGP Siro aliyesema wana ushahidi mzito.
Urio huenda ni jina la kusadikika amamtu fulani iviii amepachikwa jina hilo kwa maana ya kuficha identity hahaaaaaKinachoshangaza, aliyewapa information ya mpango wa ugaidi Afande Urio, sio shahidi kwenye hii kesi na mahakama haina maelezo yake...
Huyu Urio angekuwa mtu muhimu sana mahakamani kwenye hii kesi