Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022

Kesi za kubambika hizi huwa hazifiki mbali zinachuja.
Kulipua Vituo vya Mafuta bila Vifaa vya Kulipua!

Kuweka Magogo Barabarani Nchi nzima Watu wanne bila hata Mundu wa Kufyekea nyasi!

Kuandamana Nchi nzima kwa Wakati Mmoja Watu Wanne!

Jana Kaulizwa Hbr za Luteni Dennis Urio!

Leo amebanwa Juu ya Sheria ya Mtoa Taarifa Hajui Chochote!

Anaulizwa Sasa Kwa nn mnaendelea na Kesi Wkt Hakuna Statement ya Lt Urio Hajui Chochote!

Yaani Huyu Shahidi Ni BOGUS! Kiazi Kabisa!
 
Mwenyezi Mungu kampiga shetani kwa upofu
 
Napenda nijue jina lake, kituo cha kazi, elimu yake etc .... anaonekana ni kichwa design ya vile alivyozungumzia waziri wao Simbachawene!!
 
Hii kesi ni ya aibu sana sielewi kwa nn mpaka wakati huu bado ipo mahakani..
Jinsi inavyoendelea ndio jeshi la police linazidi kuvuka nguo itafika wakati hata raia watapoteza utii kwa hili jeshi kinachoonekana ni kikundi cha uwarifu km vikundi vingine vya uwalifu ...shame
 
Hana ujembe wowote wanamuwekea boya ili amalize vitu vya kuhoji......
Judge anaandika hayo hayo ya huyo shahidi unayemuita "boya" hata wakija mashahidi wengine ambao unafikiri ni wazuri (ambao hawapo), tayari huyu atakua amesababisha damages kwenye ushahidi wao. Ametengeneza doubts nyingi sana. Kubali tu mkuu kwamba kesi haiendi kama ulivyotegemea.
 
Kinachoshangaza, aliyewapa information ya mpango wa ugaidi Afande Urio, sio shahidi kwenye hii kesi na mahakama haina maelezo yake...

Huyu Urio angekuwa mtu muhimu sana mahakamani kwenye hii kesi
Urio huenda ni jina la kusadikika amamtu fulani iviii amepachikwa jina hilo kwa maana ya kuficha identity hahaaaaa
 
Back
Top Bottom