Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,844
Leo haikuwa ni siku yake ya kutoa maoni!!! Wakati maoni yanatolewa yalishusisha watanzania na taasisi nyingi za serikali ikiwemo Ikulu, PM, Makamu wa Rais, Mipango, na nyingine nyingi!!! Yeye hakutoa ya kwake au alikuwa safarini? Isitoshe hata kama alitoa hayakuonekana maana yalikuwa ni minority!!! Katika tafiti au au qualitative research tunaangalia key issues ambazo zimejitokeza!!! CCM wajue kuwa issues zao hazikuwa key ndiyo maana hazikuonekana!!! Sasa wanalazimisha zionekane!!! Udikteta!!!!