Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

Leo haikuwa ni siku yake ya kutoa maoni!!! Wakati maoni yanatolewa yalishusisha watanzania na taasisi nyingi za serikali ikiwemo Ikulu, PM, Makamu wa Rais, Mipango, na nyingine nyingi!!! Yeye hakutoa ya kwake au alikuwa safarini? Isitoshe hata kama alitoa hayakuonekana maana yalikuwa ni minority!!! Katika tafiti au au qualitative research tunaangalia key issues ambazo zimejitokeza!!! CCM wajue kuwa issues zao hazikuwa key ndiyo maana hazikuonekana!!! Sasa wanalazimisha zionekane!!! Udikteta!!!!
 
ila kumbuka Obama huwa hapotei katikati ya hotuba kama ilivyotokea leo, bora angeandika mambo ya kuongelea,,
 
Hivi siku hizi hadondoki huyu, haya tumeshasikia maoni yako na genge lako mliokaa mkayapanga kama Tanzania ni yenu nyinyi genge la watu wachache.
Hizo porojo hata hao waliolipwa kukushangilia wamekuchoka.
 
Pamoja sana Mkuu. Hilo suala la Muungano hakika ni kaa la Moto. Wengine wanataka turekebishe matatizo yaliyojitokeza ikiwa ni pamoja na hilo ulilosema ili tuboreshe muungano uliopo wakati wngine wakitaka tuende kwenye mfumo mpya kabisa.

M naona bora muungano usiwepo coz aliyemix udongo kama ishara ya muungano alikuwa mmoja, hio inaonyesha huu muungano ni wa kisanii tu..
 
Kwa jinsi alivyoongea nadhani mjadala utakuwa mkali sana,watu hawawezi kukubali kupitisha mawazo ya nec ya ccm,la kushangaza hata mawaziri kutokuwa wabunge amelipinga!!!!
 
Hana moja la maana kazi kumpinga jaji warioba na kumuona muongo kwa aliyoyawasilisha,anapiga kampeni wabunge wakubali serikali mbili.
 
Kwa jinsi alivyoongea nadhani mjadala utakuwa mkali sana,watu hawawezi kukubali kupitisha mawazo ya nec ya ccm,la kushangaza hata mawaziri kutokuwa wabunge amelipinga!!!!
Hapa tutashuhudia ngumi laivu bungeni.
 
Kama amedanganya
1.Angeivunja tume iundwe tume nyingine.
2.Angetoa majibu sahihi ya anachopinga na sio kusema "WAO WANASEMA",
3.Anaweza vp toa pongezi kwenye kazi isiyo ya kweli.
4.Mbona hajatoa majibu ya maswali yaliyoulizwa kwenye rasimu yanayoikabili serekali kwa sasa kuhusu Muungano.
We mzima kweli mkuu hivi unamsikiliza kweli wewe rais?
 
Hivi siku hizi hadondoki huyu, haya tumeshasikia maoni yako na genge lako mliokaa mkayapanga kama Tanzania ni yenu nyinyi genge la watu wachache.
Hizo porojo hata hao waliolipwa kukushangilia wamekuchoka.

Nasikia amepata mganga qa ukweli huko bagamoyo. Tatizo lake lumepungua
 
Anasema kuwa suala la mafuta nangesi lipo mbioni kuondolewa kutokana na sababu zifuatazo
  1. Serikali kwa sasa haiagizi mafuta na badala yake private sector ndo inaagiza
  2. mafuta namgesi ni suala la uchumi. Kwa vile suala la uchumi si la muungano, basi ni vema suala la mafuta likaondolewa kwenye jambo la muungano
 
JK kasema mafuta yatolewe kwenye orodha ya mambo ya Muungano. Sababu, moja mambo ya uchumi si ya muungano na mafuta yanaangukia huko na pili serikali sasa haiagizi mafuta. Kaomba wajumbe walione hili.
 
Yaani acha tu dada yangu, hii Tanzania kuna kundi la watu wachache ndio wanaiendesha hii nchi. Sasa badala ya watanzania wafumbe macho wamekalia vyama tu, watanzania wengi wanapenda sana vitu vya ubabaishaji ndio tumefika hapa.

Inaudhi kweli vyama hivi ni upuuzi mtupu tunataka katiba ya nchi na sio ya chama chochote cha Siasa tunaumia kulipa kodi wanafaidi wanaobishana hovyo Dodoma na sasa tume iliyoundwa kukusanya maoni na tulitoa maoni yetu yanaonekana hapana hayana maslahi sasa why did they had this tume in the first place???? I wish someone could just see this jamani
 
Mi ninapo changanyikiwa ni jk kuiongelea zanzibar na haiongelei tanganyika kabisa hii maana yake ni nini?
 
Back
Top Bottom