Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

Mbona JK anaongea kama bunge limeshapitisha utaratibu wa kuendelea na muundo wa serikali mbili, maana naona kama anatatua kero za muungano wa serikali mbili.
 
Hapa mwisho wa cku hatutapata katiba. Kuna hatihati ya bunge kuvunjika muda wowote ule. Hakuna anaeweza kuukubali huu ujinga wa ccm
 
He never takes responsibility, just passing it to other people, ili likiharibika asilaumiwe, and this is not a good quality in a leader.

Sio kazi ya Kikwete kuamua katiba yetu ni katiba ya Tanzania sio ya Jk , tumechagua watu 600 tunawalipa kila mmoja sh 300,000 kwa siku sh 180,000,000 kwahiyo Jk hana haja ya kuamua wacha waamue hao wabunge wa bunge maalum. Tusimtwike rais mzigo asiostahili.
 
JK got points... Misukule inayopenda serikali tatu bila kuanisha muundo ni wafuata upepo
 
Kazi kubwa anayofanya mkuu wetu hapa ni kujibu hoja za Tume ya kurekebisha katiba. Nadhani ndio sababu alitaka aongee mwisho. Haya mambo kwa mtazamo wangu yalitakiwa kuwa yanafahamika kwa wananchi kabla hata ya hili bunge. Na hapa ni ktk kuipalilia sera ya chama serikali 2. Ngoja tuone hatima yake, maana naona sasa mkulu anavutia kichama zaidi!
 
hapo nimemuelewa sasa ... kasema kashasema kabisaaa ..
yote yanawezekana bila kuikubali serikali ya tatu ..
 
Kuhusu Zanzibar kujiunga na mashirika ya kimataifa kama OIC amesema kuwa mazingira yanaandaliwa ili Zanzibar wapate fursa hiyo. Anasema kuwa mchakato huu wa Katiba utumike kurahisisha mazingira ya Zanzibar kujiunga na mashirika hayo
 
....huyu mtu kila siku ni kutoa ahadi tu!,je ni lini atazitekereza wakati hata hizo alizokwisha toa hajazitekereza?...
 
JK Suala lingine ni Zanzibar kupata ufadhili wa kujitegemea, tuiache iwe huru kuweza kupata mikopo ya kitaifa.
 
Back
Top Bottom