Ahmada...!Karume anakunywa pombe?
Mkuu, hakika suala la mzee Jumbe ni gumu kuelezeka. Sijapata kumuona kitambo kwenye matukio ya kitaifa
you are very right!naona kama anatoa mafumbo zaidi ni kama anaipinga rasimu kwa asilimia hamsini.mnaonaje wakuu?
Akisoma kilaza, akiongea bila kusoma amemeza usiku kucha. Hivi JK afanyaje ili aonekane naye kichwa?
Hili bunge la katiba bora livunjwe tu kieleweke tu.
Baba yako vipi?
Haipendi Tanganyika na hataki itokee....Mi ninapo changanyikiwa ni jk kuiongelea zanzibar na haiongelei tanganyika kabisa hii maana yake ni nini?