Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,316
- 677
na tena bagah kakiri anakupenda sana wewe Vivian, kila akikuwaza anamaliza kichane cha ndizi.
Just say Yes.
Raha iliyoje kujumuhika nasi tena.! Karibu na pole kwa yote.
na tena bagah kakiri anakupenda sana wewe Vivian, kila akikuwaza anamaliza kichane cha ndizi.
Just say Yes.
Huwezi amini !
Ama sadiki ukipenda , furaha yangu ya kukuona hapa!
Nasikia na vijichozi vinavinjari kwa mboni zangu.
Pole mkuu, mukashoo au ndumwa si stahili yako kabisa!
Hata hivyo hembu fanya umPm Mh. Maziwa mgando mnong'oneze atukolezee debe kwa agenda iliyo mezani .
pole kwa burn mkuu kong's bunsen burner..
Raha iliyoje kujumuhika nasi tena.! Karibu na pole kwa yote.
Kwa heshima na taadhima kubwa
sisi washenga :-
Judgement
Husninyo (MR & MRS).
ErickB52
Amyner (MR & MRS).
Kwa pamoja tunaichukua fursa ya Thrade hii, kuwasilisha Propasal ya kijana ndugu yetu BAGAH kwako Bi. Vivian wa Jf .
Few hints about BAGAH .
> Kijana wetu amefikia umri wa kupata mwenza.
> Kijana huyu kielemu tumeridhishwa na kiwango chake.
> BAGAH ni mpole, mkarimu, hana majivuno, ni mwenye kujali.
> Ni mwenye kujua wajibu wa majukumu yake .
Aidha ni matarajio yetu Vivian hutotuangusha!
wala hatutegemei utatufedhehesha sisi washenga kwa ujumla wetu.
Tunalisubiri jibu lako la faraja hapa.
Ambavyo tunaamini utatuletea leo leo.
Tunawasilisha.
Nakala - Uongozi Jf.
Nakala- Facebook
Nakala- Twitter
hizi nakala mbona haipo iliyofika home mi dadaake sina taarifa
hizi nakala mbona haipo iliyofika home mi dadaake sina taarifa
hizi nakala mbona haipo iliyofika home mi dadaake sina taarifa
na tena bagah kakiri anakupenda sana wewe Vivian, kila akikuwaza anamaliza kichane cha ndizi.
Just say Yes.
humu ndani kwa ku-fall-iana in love tu hamjambo!!
Asante!
sijui kwanini judgement wangu amekusahau kwenye list ya washenga.
kuna mtu alikudondokea. Nikutajie?
Absolutely Yes!
Inalazimika iwe hivyo mkuu BT, kufoll in politik incridible !
kuna mtu alikudondokea. Nikutajie?
Maoufung hajakwambia?
Alipata nakala na akaambiwa akufikishie.