nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,923
- 1,325
sikutaka kusaini asubuhi hii, ila nimeipenda hiiwapo wanaoamini kabisa kuwa mwezi umentengenezwa kwa cheese!
sikutaka kusaini asubuhi hii, ila nimeipenda hiiwapo wanaoamini kabisa kuwa mwezi umentengenezwa kwa cheese!
Mi nadhani tumuulize Mwanakijiji anamaanisha nini haswa anaposema "Tukishaiong'oa ccm then what?"Kikawaida,chama kinachoshinda uchaguzi ndicho kinachopewa baraka za kuunda serikali na kuongoza taifa kwa mujibu wa sera na itikadi zako walizozinadi kwa wananchi.
MKJJ ni wazi anafahamu vyema,na tumekuwa tukimpa mifano mingi tu hata ya kuhusu kumg'oa mkoloni,nduli nk.
Mwanakijiji swali kwako una maanisha nini unapouliza whats next?What exactly do you mean?Swali lako linaweza kuwa pana sana,je una maanisha mafisadi wafachukuliwe hatua gani nk?Ama unazungumzia mgawanyo wa madaraka?
Weka wazi coz lugha yetu sometimes tunaweza tukapiga kambi kwenye issue moja kisa utafsiri mbovu.
Mwanakijiji
Mawazo yako ni mazuri hila kunatakiwa kuwa na approach, mtoto hawezi kuwa hajazaliwa akafikiria kukimbia, hili haliwezekani. Na hiki ndicho kilichokuwa kikwazo kwa CCJ. Huwezi kumwambia mwenye madaraka kuwa nikikutoa madarakani nitakufunga wakati unataka huruma yake ili uweze kupata madaraka hayo. Tanzania bado ina process katika kufikia hicho unacho kiongea. Huwezi kuwa na Marengo kibao kwa wakati mmoja na ukayafikia kirahisi. Hata jeshini wanakwambia mtambue adui yako kwanza. Hiyo mipango unayoisema ni katika second stage.
Haaa haa haaa Mzee Mwanakijiji nataka nikukumbushe yafuatayo. Katika biblia Yesu aliwaambia wanafunzi wake 'UTAFUTENI KWANZA UFALME WAKE NA HAYO YOTE MTAZIDISHIWA'. Wakati wa kupigania uhuru wa taifa la Ghana, Baba wa taifa hilo Kwame Nkrumah alitoa usemi maarufu unaofanana na ule wa Yesu, akasema 'UTAFUTENI KWANZA UHURU NA MENGINE YOTE YATAFUATA'. Hapa Nkrumah hakutaka kupoteza muda kufikiri eti baada ya uhuru atafanya nini, wala wananchi wake hawakumkataa eti kwa vile hajawaambia baada ya kupata uhuru atawafanyia nini. Sasa haya ya kutaka Chadema iseme ikiing'oa CCM kitafuata si hoja ya msingi, cha msingi saa hizi ni kuiing'oa CCM na mengine yatafuata.
Naanza kwa kukupa pole Mzee Mwanakijiji, najua you are wounded, kwa vile mimi pia naelewe what wounded means, hujakubali kuwa umejeruhiwa hali inayopelekea kujua wazi utashindwa ila inajifariji kwa maswa mengi tuu mengine ya kutokubali kutoa sababu ya kipigo. Hiyo ni despair.Kundi zima la wabunge wa CCM wanaweza kutoka baada ya bunge kuvunjwa na kujiunga na Chadema na kutoka hao akapatikana mgombea wa Urais wa Chadema kama inavyotarajiwa. Hii inaweza kuwa habari kubwa sana na mtikisiko kwa jukwaa la siasa. Kwa wengine hilo laweza kutosha kabisa kufanya waamini kuwa saa ya mabadiliko imefika. Kwangu mimi bado nitaangalia kwa macho ya shuku hadi nijue wanataka kufanya nini. Wakisema wanataka tu KUINDOA CCM MADARAKANI au KUONGEZA IDADI WA WABUNGE, nitawaangalia halafu nitacheeeeeeeka!
Chadema kinaweza kabisa kuwa chama ambacho kitachukua uongozi wa nchi mwaka huu, endapo tu KITATAKA.
MM
Naanza kwa kukupa pole Mzee Mwanakijiji, najua you are wounded, kwa vile mimi pia naelewe what wounded means, hujakubali kuwa umejeruhiwa hali inayopelekea kujua wazi utashindwa ila inajifariji kwa maswa mengi tuu mengine ya kutokubali kutoa sababu ya kipigo. Hiyo ni despair.
Mzee Mwanakijiji, war has only two sides, the winner and the looser. Katika ile vita ya usajili wa CCJ ili mshiriki uchaguzi wa October, sio lazima mkubali mmeshindwa kwa kutoa tena press release au kufanya press conference pale Maelezo, kunyamaza tuu kimya na manahodha kuhamia Chadema, ni taarifa tosha. Katika hali kama hiyo, wote walioamini on CCJ watakuwa wamejeruhiwa, hivyo Mzee Mwanakijiji, ukubali usikubali, utakuwa pia umejeruhiwa, unless ulikuwa uko kazini tuu, then ni kazi as usual, ndio maana nikaanza na pole,very wrong.. wounded I'm not. Ila watakaokuwa wounded watakuja na kuonekana. Kama katika mapambano ingekuwa ni kila mmoja anasimama na kubembelezana na kushangiliana mapambano yasingefaa kupiganwa.
Mzee Mwanakijiji, war has only two sides, the winner and the looser. Katika ile vita ya usajili wa CCJ ili mshiriki uchaguzi wa October, sio lazima mkubali mmeshindwa kwa kutoa tena press release au kufanya press conference pale Maelezo, kunyamaza tuu kimya na manahodha kuhamia Chadema, ni taarifa tosha. Katika hali kama hiyo, wote walioamini on CCJ watakuwa wamejeruhiwa, hivyo Mzee Mwanakijiji, ukubali usikubali, utakuwa pia umejeruhiwa, unless ulikuwa uko kazini tuu, then ni kazi as usual, ndio maana nikaanza na pole,
Pole Mzee Mwanakijiji, Poleni CCJ wote, kujikwaa na kuanguka sio mwisho wa safari, unaamka, inajifuta vumbi, unatafuta chombo kingine cha kukufikisha mwisho wa safari yako, ndio maana baadhi wameamua kupanda jahazi la Chadema, wengine watapanda CUF, na wale wenye kazi zao, watarejea ngamani, CCM, kama mwenda tezi na homo, hurejea ngamani!.
Luteni, sio lazima kila anayeulizwa swali ajibu haswa 'men in mission', huangalia tuu kutekeleza mission, once the mission is accomplished, the rest is nothing, CCJ is over, dead and no more! unamuuliza Mzee Mwakijiji nini kifanyike ili awape njia ya kufika msikotakiwa kufika ili iweje?.Tafadhali MKJJ usikwepe swali karibu watu mia kwa wewe mmoja 100/1 wanakuuliza swali lile lile 'NINI MAWAZO YAKO AU NINI KIFANYIKE KABLA YA KUING'OA CCM' hutaki kuwajibu. Tatizo ninaloliona ni inawezekana hata wewe huna jibu au hujaandaa jibu.
Haiwezekani mkusanyiko wa mawazo ya watu zaidi ya mia kutoka sehemu mbali mbali duniani na elimu mbalimbali waliyonayo kukosa kukuelewa wewe unataka nini, basi utakuwa na mawazo ya kitume maana hata Yesu na Muhamad hawakueleweka kwa wengi walichokuwa wanahubiri.
Nafikiri swali lako linajibiwa na SERA na strategies za chama (short and long term plan).
Ukiniambia chama fulani hakina sera hapo nitakuelewa, kinataka madaraka ili kiyafanyie nini. Na kama unataka sera za vyama mimi huwa na bank ya sera na ilani ya kila chama nitakubandikia, labda tuanze kuchambua udhaifu wa sera hizo na strategies za kila chama zinavyotofautiana.
Basi Mzee, nimekubali, sorry sio najisikia vizuri, naumia sana, with nothing to do naishia kupiga makelele,well kama inakufanya ujisikie vizuri "asante"..
Kubali tu Mwanakijiji kwamba CCJ ilianza kwa kujimaliza mapema na wewe kwa kuwa hauko Tanzania ulishauriwa vibaya kuhusu hawa jamaa haukuligundua hili. Na sio wewe tu katika hili. Hata Mpendazoe ambaye tunaye hapa nchini sielewi alipiga mahesabu gani ikiwemo kuachia milioni 43 ambazo wenzake wameanza kuzichota tangu Julai mosi. CCJ waliohamia CHADEMA jana hawana chao. Hawatapata hata Udiwani.well kama inakufanya ujisikie vizuri "asante"..
Luteni, sio lazima kila anayeulizwa swali ajibu haswa 'men in mission', huangalia tuu kutekeleza mission, once the mission is accomplished, the rest is nothing, CCJ is over, dead and no more! unamuuliza Mzee Mwakijiji nini kifanyike ili awape njia ya kufika msikotakiwa kufika ili iweje?.
Mambo mengine ni kazi za watu, nyie endeleeni kuuliza tuu!
Msiulize ulize maswali mengi kwenye kazi za watu!. Wata wanauliza tuu, wanauliza tuu, wanauliza tuu na hawajibiwi, hivi hamuelewi tuu!.pasco pasco unataka kusema nini?