Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

If you enumerate and delineate the metrics you used to reach that conclusion then I won't make a big deal out of it.

If it was a shallow mind asking for this i would have done so... But i believe you can do that yourself...
 
mama blanca anasoma na kucheka hapa.....anasema hili darasa lina mapungufu mengi na upotoshaji mkubwa......
 
Kuna watu siku zote wanapenda kuonekana wao bora tu kuliko wenzao, wasemacho wao ndio bora zaidi, naona tu mtu anaweza kusaport kitu immoral kabisa kwenye thread ingine , ila wakimwona mtu mpole, mnyonge wao au anayeshine kiaina always wanajifanya kucritisize,mbona hizo point hata kwenye gazeti la true love zilikuwepo na watu wakatoa comment zao,mwandishi alikuwa mjinga?

Na ashadii pale uliposema gaijin ni bora kuliko gaga ulimaanisha nini? kwa kutumia vigezo gani? jamani sijaona ubaya wa thread wala wa mtoa mada saidi ya chuki binafsi, nimejisikia vibaya sana leo , namwona mdada wa watu huwa hana makuu
 
If it was a shallow mind asking for this i would have done so... But i believe you can do that yourself...

First, you need to get off your high horse.

Second, I take it that you can't defend your own claims and that is why you are deferring it to me.
 
Kuna watu siku zote wanapenda kuonekana wao bora tu kuliko wenzao, wasemacho wao ndio bora zaidi, naona tu mtu anaweza kusaport kitu immoral kabisa kwenye thread ingine , ila wakimwona mtu mpole, mnyonge wao au anayeshine kiaina always wanajifanya kucritisize,mbona hizo point hata kwenye gazeti la true love zilikuwepo na watu wakatoa comment zao,mwandishi alikuwa mjinga?

Na ashadii pale uliposema gaijin ni bora kuliko gaga ulimaanisha nini? kwa kutumia vigezo gani? jamani sijaona ubaya wa thread wala wa mtoa mada saidi ya chuki binafsi, nimejisikia vibaya sana leo , namwona mdada wa watu huwa hana makuu

Gaga ni mpole... hivo hata techniques zake za attack ni hafifu... Gaijin ni attacker (tena kiintelligensia) hivo ana technique zoote za attacking... Sina maana kua yey ni bora kuliko Gaga... ila nina maana yeye (Gaijini ) ni bora kuliko Gaga katika sector hio ya Ubishani... naona nimekua misinterpreted... mbona hio iko wazi... Au ndo ile niseme tu kuonekana na ponda moja kwa moja?? Sababu tu niko upande wa Gaga na siku zoote iko hivo...
 
Hii sredi naona itakuwa salama zaidi tukiichakachua. Naomba idhini wakuu!

nakuhakikishieni nitachakachua bila kuvunja sheria za JF.

nataraji ombi langu litafikiriwa na kukubaliwa (source: mwalim wangu wa Insha)

Klorokwini naomba uchakachue as fast as you can...
 
Huo ushauri wa kwenda gym halafu unarudi na kuanza kusifia watu wenye six pack una ahueni kuliko huo wa kumsifia fundi bomba kwamba kazibua mtaro vizuri.

But all in all, you have to ask yourself first, what do you want to achieve?
 
Hii sredi naona itakuwa salama zaidi tukiichakachua. Naomba idhini wakuu!

nakuhakikishieni nitachakachua bila kuvunja sheria za JF.

nataraji ombi langu litafikiriwa na kukubaliwa (source: mwalim wangu wa Insha)

Usichakachue tafadhali....Wengine tunachukua Advanced English course hapa toka kwa NN na Asha Dii........!!
 
Mi nafikiri ungebadili kichwa cha habari ungeandika"namna ya kuboresha uhusiano wako"hiyo ndo ingekua poa,wivu ni kwa wanaume wajinga na wasiojua maana ya kupenda!
 
Usichakachue tafadhali....Wengine tunachukua Advanced English course hapa toka kwa NN na Asha Dii........!!
Halaf ukitaka kujua kwamba Bongo tuko very advanced katika kufatilia habari. sibitisha hapa
There are currently 66 users browsing this thread. (26 members and 40 guests

Ndio ujue sasa kwamba topiki iko hot.....Hadi daughter ndani ya nyumba anafuatilia kwa makini kabisa, mstari kwa mstari.
 
Back
Top Bottom