DOKEZO Kinachoendelea NHIF ni reflection ya Incompetence za Viongozi, Wivu na Ushauri Mbovu kwa Waziri wa Afya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi.

Katika maelezo ya waziri, amesema NHIF ni muhimili mkubwa wa kugharamia huduma za afya hapa nchini na kuwa takribani asilimia 70-75% ya mapato ya hospitali za uma na binafsi yanatokana na malipo "Reimbursments" za NHIF.

Kwangu mimi naona hii hoja haina mantiki kwa sababu majority ya wanachama wa NHIF ni wafanyakazi wa serikali na mashirika yaliyolazimishwa kujiunga na mfuko wa NHIF kisheria tofauti na zamani ambapo mtu alikuwa na uhuru wa kujiunga na mfuko wowote wa bima ya afya, sheria liyolazimisha wafanyakazi wote wa serikali pamoja na mashirika mengine mfano NMB, BoT, TANESCO bila hiari inamaanisha kuwa wateja wa NHIF watakuwa ni wafanyakazi na familia za watu kutoka serikalini na mashirika niliyotaja na kwahivo haishangazi kuwa mifuko mingine ya bima ya Afya ambayo kimsingi ilikuwa ikitoa vitita rafiki kulingana na mtu anavuìyo changia kwa sasa haiwezi kuchangia mapato mengi ya hospitali kwa sababu wanachama wote walihamishwa kwa nguvu kuhamia NHIF ambako huduma wanazopata hazizingatii kiwango cha unachochangia wala status ya muhusika.

Hapa nieleweke kuwa lengo la kuleta wafanyakazi wote kuwa chini ya NHIF kwa upande fulani lilikuwa zuri japokuwa kwenye uetekelezaji na mipango ya muda mrefu wa mfuko ilikuja kupoteza maana. Mfano, akili ya kawaida ingekuwa kuwa unaleta watu wote chini ya mfuko wa NHIF ili kuwa na idadi kubwa ya watu wanaochangia mfuko upate mapato yatakayo uwezesha kutoa huduma kwa watu wa kipato cha chini na makundi maalum kama watoto wenye umri chini ya miaka mitano, wajawazito na watu wenye magonjwa ya muda mrefu kama Kisukari, pressure na figo.

Kwa kufanya hivi unaelenga kuleta usawakatika jamii kwa style ya kubebana kati ya wenye nacho na wale wenye vipato duni kupata huduma sawa za afya kwa sababu obviusly wale wanaochangia hela nyingi ambao walitakiwa kupata huduma bora zaidi wanajitolea kupata huduma za kawaida au wakati mwingine huduma za ubora wa chini ili kuwabeba wenye kipato cha chini.

Sasa katika utekelezaji wa mfumo huu kilichotokea ni kuwa wenye nacho wanachangia hela nyingi ila wasio nacho na makundi maalum hawapati huduma mfano kuondolewa kwa "Toto card" amabayo ilikuwa msaada mkubwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano hasa wenye magonjwa ya muda mrefu. Hoja ya kuondoa huduma ya Toto afya card ilikuwa ni kuwa mfuko unazidiwa kwa sababu watoto wanachangia hela kidogo elf 54 kwa mwaka.

Hii hoja inashangaza kwa sababu hali hii ya watoto kuchangia kidogo ilitegemewa tangu awali Card hizi zilivyo anzishwa kwa mantiki kuwa wanachangiwa na watu wengine wanao changia hela nyingi na wale wasioumwa mara kwa mara. Kama hili halikutarajiwa basi ndio maana inabidi tujiulize kama watalaam wetu wa mambo ya bima wana huo utaalaam in the first place na kama wanao je wanautumia katika kuweka mipango ya mfuko?

Sasa naomba kwa hoja hiyo hapo juu niongelee kichwa cha habari hii: "Incompetence, Wivu, "Ushauri mbovu"

Waziri wetu wa afya ana ujuzi wa mambo ya afya kwa ujumla na hili swala la bima ya afya?

Nadhani ki muundo sio lazima Waziri wa afya awe mtaalam wa mambo ya afya kwasababu yeye ni msimamizi wa Sera na mabo ya juu ya kiundeshaji wa Wizara kwa kushauriwa na "wataalam" waliosomea mambo ya afya waliopo wizarani, sasa mnyoge anyongwe lakini haki apewe Ummy Mwalim amoenyesha uwezo mkubwa katika uongozi wa wizara pamoja na kuwa yeye eneo la afya sio taaluma yake ya msingi na hii imejidhihirisha wa kurudishwa wizara hii baada ya kutolewa hapo awali.

Kwa kifupi ni kuwa Ummy sio mtaalaam wa mambo ya afya kwa kusomea lakini ana uwezo kiuongozi kuongoza wizara hii kama utaratibu wa nafasi ya uwaziri unavyosema. Hatutegemei awe mbobezi kwenye haya mambo, hivyo akifanya maamuzi yenye makosa au ukakasi kama hili la kitita cha NHIF tunaweza kumuelewa yeye binafsi na kulazmika kushuka ngazi ya chini yake ambako ndio kuna washauri wa kitaalam

Tukishuka chini yake tutamkuta katibu mkuu, naibu wake, Mganga mkuu wa Serikali na wakurugenzi kadhaa, hawa muda hauruhusu kuwa chambua mmoja mmoja lakini katibu mkuu ni mpya kwenye nafasi hii na utaalam wake kwenye mambo ya afya japo inasemekana ana uzoefu wa mifumo ya afya kuanzia ngazoi ya msingi lakini hajasomea core health cadre. Na yeye pia kuna uwezekano mkubwa kuwa anahitaji kushauriwa na wataalam wa chini yake.

Lengo la pointi hii nikujaribu kuweka kwneye context mifumo yetu ya upatikanaji viongozi, wataalam wa kuweka mipango yenye tija kwa ustawi wa jamii na sio kudharu uwezo wa mtu binafsi kuongoza lakini kama nchi au. jamii ifike wakati tukubali kuwa uwezo/akili biafsi hauwezi kutumika kutuvusha kwenye kwenye changamoto serious kama huduma za afya bila kuwa na elimu/utaalam unahitajika katika eneo hilo. Kama "Commonn Sense" ingekuwa inaweza kumfanya mtu kuwa engineer kusingekuwa na umhimu wa kuwa na vyuo vya kusomea Engineering. Mtu anasema "huyu ana kipaji cha kuzaliwa" kuwa waziri au katibu mkuu wizara ya madini alafu tunategemea "akili ya kuzaliwa" itupangie mipango yeneye tija na endelevu kwenye changamoto za jamii?

Pale NIHIF, Huyu mkurugenzi mkuu NHIF, Amesomea mambo ya Bima? ana uzoefu nayo? CV yake inatosha kuwa kwenye hiyo nafasi? vigezo vya kumuweka kwenye nafasi hiyo vilitimia? au amewekwa na mtu/watu au kwa sababu ni mtoto wa fulani? watu wanaointeractt nae kila siku wanajua uwezo wake wa kujenga hoja na mijadala yake kwa ujumla ilivyo dhaifu. anaogozwa na mihemko tu.

Wataalam wa afya walioko hapo NHIF wana uzoefu na uelewa mpana wa mambo ya tiba na Bima? wana uzoefu? kuwa madaktari, wafamasia, Manurse na wataalam waandamizi wa mambo ya afya wangapi NHIF?
Kama mfano tu, madaktari wanao ajiriwa na mfuko kupitia madai ya watoa huduma asilimia 98 ni junior Drs waliomaliza vyuo ndani ya mwaka mmoja au miwili, tena walio wengi ukiwafuatilia record zao huko vyuoni hawakuwa na uwezo au interestya kujihusiha na kutibu, walipata shida kufaulu mitihani yao ya udaktari (ningetaja majina hapa lakini niwatunzie heshima).

Sasa, mfuko umejaza watu wa aina hii ambao wanapewa jukum kubwa la kupitia na kuamua nani atibiwe vipi na wapitie mpango wa matibabu uliotolewa na daktari bingwa mwandamizi na mzoefu eti waamue kama matibabu yako sahihi? hapa kuna weledi kwenye mipango yetu kweli? utashaanga ukisikia kila siku kuna kelele na sintofahamu kati ya NHIF na wato huduma? na hapa ieleweke tu kuwa sintofahamu ipo sio tu kwa Hospitali binafsi bali hata hospitali za Serikali ni vile tu Vituo vya Serikali havina nguvu au jukwaa la kulalamikia.

Kuhusu wivu na visasi, nina mifano mingi ya miongozo na maamuzi yaliyofanywa na NHIF kwa ku"target" watu au vituo binafsi kwa sababu binafsi za wafanyakazi walioko NHIF, Mfano kuna daktari bingwa mmoja alikuwa anafanya kazi Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kumaliza masomo yake ya magonjwa ya mfumo wa chakula, akawa anafanya kazi kwenye kitengo hicho pale Muhimblli baadae akahamia NHIF sasa kwa sababu alivokuwa pale hospitali hakuwa na wagonjwa wengi kulinganisha na madaktari wenzie hasa kliniki ya private alipfika NHIF akatunga muongozo kuzuia NHIF kulipa gharama za uchunguzi wa mfumo wa tumbo " GI endoscopes" mgonjwa akipewa huduma hii klinik ya private kwa kisingizio kuwa "sio salama" wakati hakujawahi kuwa na kisa chochote kilichoripotiwa.

Maamuzi na miongozo mingine mingi (nawea kuitaja) imefanywa kulenga kudhibiti vituo au watu binafsi na sio kuboresha huduma, Watu wenye kliniki binafsi maarufu kama "Polyclinics" wamekatwa madai yao mengi na NHIF na wengi wao kufungiwa kwa kisingizio cha "kutofuata miongozo" au Udanganyifu " Fraud" lakini kimsingi unakuta ni watu wa NHIF kuona kama watoa huduma hawa wanapata faida na kufanya maendeleo tofauti na wao!

Tatizo kubwa linalotufikisha hapa leo ni kuipa NHIF upekee (Monopoly) ya kuwa mfuko wa Bima ya afya kuan kuua mifuko mingine na hvyo NHIF kuwa na nguvu wasizo paswa kuwa nazo kwenye kulipia gharama za afya na kuishia kuwa mlipaji wa huduma, mtunga miongozo, msimamia miongozo, mtoa adhabu na mpaga bei, hii imezalisha viburi na ubinafsi wa viongozi na wafanyakazi wa NHIF kiasi kwamba wanaweza kutunga na kuanza kutekeleza mipango bila kushirikishwa wadau wengine hata kama mipango hiyo haina tija kwa wagonjwa na jamii ambao ndio wachangiaji na waajiri wa mfuko!
 
Zaidi sana ni Wivu ule wa Kiafrica
 
NHIF imefilisiwa na watawala, michango ya kila mwezi ya wafanyakazi nafikiri imeelekezwa kwenye matumizi mengine au makato hayapelekwi NHIF.
 
Kama vipi wasitishe makato mara moja, na pia waturudishie hela zetu zote walizotukata kwa miaka nenda, ili tuwe tunajigharamia wenyewe kwenye hospitali binafsi.

Maana haileti mantiki unamkata mtu hela kwenye mshahara wake, halafu unamletea vikwazo kwenye kupata huduma sahihi za matibabu.
 
Akili mbovu na ubinafsi wa kiongoz alie juuuu na viongozi wake wote wa AFYA NA NHIF maaana pesa za kuchezea zipo kwa nni usiweke kwenye huduma ya afya roho mbaya tu KIONGOZI Wa juuu mrafi kwa nn alitoa toto afya kisa pesa hizo achezeee kamali ya magoli ya mpira wa miguuu hovyo sana
 
Back
Top Bottom