Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

Mwanamke ni mwanamke tu hata umtreat vipi ataharibu tu vivyo hivyo kwa wanaume waliorithi tabia za mama zao.
Wote akili kumkichwa tukishindwa kuelewa jinsi yakuishi kama mwanaume wa mtu au mwanamke wa mtu kwakujiheshimu hata mwanamke atingishe wowowo liguse visigino hakuna kitakachobadilika.
Umejaribu the DP? ukimtreat vizuri sidhani kama kutakuwa na tatizo
 
1. Hakikisha unakuwa na good look

Tumia kioo chako kujiangalia ukoje , usijiache muda wote uko rafu, new haircut itasaidia pia kukuonyesha upo tofauti na jana, si mnajua wanaume wanapenda upya wa mambo kila siku? basi tumia kioo chako kujifanya mupya kila siku.huwezi kumfanya mume awe na wivu kama unajiacha na kuwa kama golila kila siku,add some hair colour, look young, clean and healthy kila siku.

2.Fanya shopping kidogo

Save pesa kidogo hata kama ulitaka kumnunulia kitu, hairisha, nenda kanunue lingerie and get something strappy kiasi, colour zisiwe kali sana, ila zile zenye mvuto kwa rangi mnazozipenda, ukifika home, fungua kiduchu hata lesi tu ionekane iache,usimwambie na usivae kabisa, hii itamfanya awe na shauku kwa nini ununue kitu ambacho hujaplan kukivaa hivi karibuni?

3. Nenda out...girls day out

Epuka kukaa ndani tu kila saa upo kwenye simu, ukwapi, na nani, unafanya nini, kuwa huru,kuwa na hobby to keep you occupied,tafuta marafiki ambao sio common kwake, weka plans for the evening na hao marafiki zako.unataka ajue kwamba wewe ni mwanamke wa 21 century.if he doesnt have time for you, your not sitting down waiting for him to come around forever.

4.Jiunge na gym

Hakikisha ni ya Unisex, ujifanye unaelezea names za member wa gym na how wanajitahidi na mazoezi, na pia huwa wanakusaidia mazoezi mengine coz wewe ni new member, usisahau kuelezea six pacs zao kwa chati.

5. Zawadi zenye maswali

Hakikisha umejipanga na marafiki zako kwenye sikukuu kama valentine kuleteana zawadi, hasa red roses ambazo hazina note yeyote, ikifika jifanye kumuuliza kama ni yeye kaleta, pika cakula vaa vizuri mle chakula, utashangaa anakwambia chakula ni kizuri hata kama ni maharage ya chumvi na ugai wenye mabuja

6.Mtumie jirani yako

kama una jirani kijana mwenye mvuto ambaye huwa anafix au kuzibua mabomba au chochote ambacho anaweza kukusaidia mwite mwombe msaada na uhakikishe wakati anarudi anamkuta anamalizia kazi yake.then mpe ahsante mkaribishe siku ingine

7.Muhakikishie Upendo na uimara wa penzi lenu

Kama unampenda kwa ukweli mwanaume wako huna haja ya kumuumiza kabisa,tunataka tu kuwaweka kwenye right drection, wakati mwingine maongezi yanasaidia, ongea nae mwambie yeye ni mapenzi wa maisha yako na hakuna kitu kinachoweza kuwa between you two,wanaume pia wanapenda kuona kwamba wanahitajika na wake zao, kama wewe uko emotionally strong,sexy, entertaining,loving woman lazima tu atataka kuwa around you muda wote


Tushee mawazo wapenzi



Gaga, mimi wala hiyo ya tatu usingefika!!!!!
ningekuwa tayari nimesha kukarabati saaaaaaaaaaaaaafi!!
 
Back to the topic, wanawake hatupendani hata iweje, wengine hapa waongooo huwa tunawavumilia, oooh mume wangu hivi, oooh mume wangu ana wivu, ooooh sijawahi chiti kumbe ndio wazinzi wakubwa , cha muhimu kama hakuna cha kuokota kasome zingine mwambie sikubaliani na wewe huna haja ya kumkomalia mtu, kuna limama humu lioongo tunalicheki tu tunaolijua, shukuru wanaosema ukweli unatujenga na sie tunaokua

Aiseeeeeeeeeeeeee!!!
 
Yote uliyoyasema nimeyapenda lakini namba sita ndio nimeipenda zaidi. kuna kitu kimoja nimejifunza mtaani kwangu, kuna vijana huwa nawaona wanakaa vijiweni na hawana kazi, siku ambayo siendi kazini huwa natafuta shughuli yoyote ya kufanya na ninawashirikisha kisha ninawaaachia kitu kidogo.............. sifanyi hivyo kila ninapokuwa nyumbani, bali ikitokea huwa nawaalika na kuwashirikisha.
Kuttkana na kufanya hivyo nimejijengea urafiki nao, kiasi kwamba kama ikitokea nimeibiwa wao ndio wanaoshughulika kumtafuta mwizi na kama kuna mtu wanamtuhumu anataka kuiba pale kwangu nitamkuta Polisi kwani watakuwa wameshafaya kazi yao. kwa kifupi wanalinda mali zangu.
 
Asante sana Gaga kwa Topic nzuri sana sana nimependa namba saba

Ila namba tatu kama huna mazoea ya kutoka unaanzaje ?
 
Hapo kwenye bold, AshaDii na Gaga wacheni fixi zenu za sexy lingerie, hayo ya kizungu mabibie. Vaa kanga yako moja ya kichina (zile laini na transparent ....... ndembendembe), imefukizwa udi kidogo, chumba umepanga vizuri ..... uone kama kama huyo mume ataondoka huko chumbani.

Kuna shepu za kuvalia kanga ndembendembe diarest, kuna zingine hata uvae kijimtandio bado huvutii wala nini so inatagemea na ntu na ntu ati
 
Gaga... I am sorry kama naenda off point... Nimependa post yako for imenifanya nicheke... Mwenzangu, wengine akikuta umefanya hio ya 6 yaani wewe mwenyewe utajibamba...lol... Usije sababisha tu huo fundi uchwara akapigwa bila sababu... BUT naona it is the one of the Best 'tingisha kiberit'... How he reacts speaks volumes kulikko hata atalo ongea... Asante... Nitaijaribu Gaga...


hahahahah mie pia nimecheka sana ila imenipatia mwangaza....Thanx Gaga...ila hapo kwenyekununua lingerie afu nisivae mmmmh!
 
1. Hakikisha unakuwa na good look

tumia kioo chako kujiangalia ukoje , usijiache muda wote uko rafu, new haircut itasaidia pia kukuonyesha upo tofauti na jana, si mnajua wanaume wanapenda upya wa mambo kila siku? Basi tumia kioo chako kujifanya mupya kila siku.huwezi kumfanya mume awe na wivu kama unajiacha na kuwa kama golila kila siku,add some hair colour, look young, clean and healthy kila siku.

2.fanya shopping kidogo

save pesa kidogo hata kama ulitaka kumnunulia kitu, hairisha, nenda kanunue lingerie and get something strappy kiasi, colour zisiwe kali sana, ila zile zenye mvuto kwa rangi mnazozipenda, ukifika home, fungua kiduchu hata lesi tu ionekane iache,usimwambie na usivae kabisa, hii itamfanya awe na shauku kwa nini ununue kitu ambacho hujaplan kukivaa hivi karibuni?

3. Nenda out...girls day out

epuka kukaa ndani tu kila saa upo kwenye simu, ukwapi, na nani, unafanya nini, kuwa huru,kuwa na hobby to keep you occupied,tafuta marafiki ambao sio common kwake, weka plans for the evening na hao marafiki zako.unataka ajue kwamba wewe ni mwanamke wa 21 century.if he doesnt have time for you, your not sitting down waiting for him to come around forever.

4.jiunge na gym

hakikisha ni ya unisex, ujifanye unaelezea names za member wa gym na how wanajitahidi na mazoezi, na pia huwa wanakusaidia mazoezi mengine coz wewe ni new member, usisahau kuelezea six pacs zao kwa chati.

5. Zawadi zenye maswali

hakikisha umejipanga na marafiki zako kwenye sikukuu kama valentine kuleteana zawadi, hasa red roses ambazo hazina note yeyote, ikifika jifanye kumuuliza kama ni yeye kaleta, pika cakula vaa vizuri mle chakula, utashangaa anakwambia chakula ni kizuri hata kama ni maharage ya chumvi na ugai wenye mabuja

6.mtumie jirani yako

kama una jirani kijana mwenye mvuto ambaye huwa anafix au kuzibua mabomba au chochote ambacho anaweza kukusaidia mwite mwombe msaada na uhakikishe wakati anarudi anamkuta anamalizia kazi yake.then mpe ahsante mkaribishe siku ingine

7.muhakikishie upendo na uimara wa penzi lenu

kama unampenda kwa ukweli mwanaume wako huna haja ya kumuumiza kabisa,tunataka tu kuwaweka kwenye right drection, wakati mwingine maongezi yanasaidia, ongea nae mwambie yeye ni mapenzi wa maisha yako na hakuna kitu kinachoweza kuwa between you two,wanaume pia wanapenda kuona kwamba wanahitajika na wake zao, kama wewe uko emotionally strong,sexy, entertaining,loving woman lazima tu atataka kuwa around you muda wote


tushee mawazo wapenzi
pamoja na hayo yote sidhani kama nitamuonea wivu.......labda uendeleee na point no 8.....
Hata hivyo nani alikuambia sisi wanaume tuna wivu?????
 
Back
Top Bottom