Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

One thing for certain is i was so glad you let go maana sio kawaida
yako to let go that easily.... Mtu yeyote aweza panick for ilikua kama
mmemvamia; and she is soo mild and peaciful katika hali ya kawaida...
Thus the inevitable escalation....

Kunani hapa???

Wakati mwingine huwa siilewe hii JF pamoja na kutumia muda mwingi nikifungua na kufunga kurasa za MMU!
 
1. Hakikisha unakuwa na good look

Tumia kioo chako kujiangalia ukoje , usijiache muda wote uko rafu, new haircut itasaidia pia kukuonyesha upo tofauti na jana, si mnajua wanaume wanapenda upya wa mambo kila siku? basi tumia kioo chako kujifanya mupya kila siku.huwezi kumfanya mume awe na wivu kama unajiacha na kuwa kama golila kila siku,add some hair colour, look young, clean and healthy kila siku.

7.Muhakikishie Upendo na uimara wa penzi lenu

Kama unampenda kwa ukweli mwanaume wako huna haja ya kumuumiza kabisa,tunataka tu kuwaweka kwenye right drection, wakati mwingine maongezi yanasaidia, ongea nae mwambie yeye ni mapenzi wa maisha yako na hakuna kitu kinachoweza kuwa between you two,wanaume pia wanapenda kuona kwamba wanahitajika na wake zao, kama wewe uko emotionally strong,sexy, entertaining,loving woman lazima tu atataka kuwa around you muda wote


Tushee mawazo wapenzi

Duuh! kinamama wa kizazi kipya shughuli mnayo. Ila nimeipenda hiyo namba moja nimebold kwa msisitizo. Na hii ya saba nayo imenikuna ila ukifanikiwa kumfanya awe around you inabidi uwe tayari kutoa kibox manyoya akihitaji. Haya mengine naona kama utakuwa unatumia nguvu nyiiingi bila sababu za mzingi. Hivi valentine maana yake nini vile?
 
Kunani hapa???

Wakati mwingine huwa siilewe hii JF pamoja na kutumia muda mwingi nifungua na kufunga kurasa za MMU!

Hahaha ndio wajijue wanakuza mambo bila msingi.

Siku hizi mkuu kupinga hoja ya mtu Kama alivyofanya Gaijin inaitwa kumvamia mtu.

Kweli JF inakwenda ikibadilika :]
 
Kavamiwa na nani?

Hivi hamtaki mpingwe hoja zenu ee?

Hayo ya mild and peaceful sisi hapa kwenye thread hii yametuhusu na kitu gani?

Ukiweka hoja mezani tarajia kupata upinzani kwa hoja zako, yeye ndio amegeuza personal.

Mimi sihusiki na personal life yake na nime judge kile kilichoandikwa hapa tu.
Imehusu personal sana na unajua, sina la kuficha yote yanajulikana kwa hiyo sitaweza kuanzisha thread bila wajuaji kama nyie kuniona sina haki, ukiuliza nimecheat, kama huusiki ulisapoti nini
 
Hahaha ndio wajijue wanakuza mambo bila msingi.

Siku hizi mkuu kupinga hoja ya mtu Kama alivyofanya Gaijin inaitwa kumvamia mtu.

Kweli JF inakwenda ikibadilika :]
Mnaibadilisha watu kama nyie mnaokurupuka tu
 
Imehusu personal sana na unajua, sina la kuficha yote yanajulikana kwa hiyo sitaweza kuanzisha thread bila wajuaji kama nyie kuniona sina haki, ukiuliza nimecheat, kama huusiki ulisapoti nini

Kanisome unielewe uzuri habari yako ya kucheat mie imenihusu nini na nimeitaja au kuirefer wapi? Nionyeshe pahala pamoja tu

Mimi point yangu was about 21 century woman na sikuhusisha na personal life yako hata kidogo.
 
Tatizo ni kuwa kuna watu wanapenda kuwa supported always. Mimi napenda kupingwa ili mjadala uendelee. Ukichangia hoja ki urafiki au ki uadui ndio pale utaita red yellow; wakati even a blind can see kuwa ni red. Mimi nalipuka tu I don't care mtu atakasirika au atafurahi mradi situkani.
 
Kavamiwa na nani?

Hivi hamtaki mpingwe hoja zenu ee?

Hayo ya mild and peaceful sisi hapa kwenye thread hii yametuhusu na kitu gani?

Ukiweka hoja mezani tarajia kupata upinzani kwa hoja zako, yeye ndio amegeuza personal.

Mimi sihusiki na personal life yake na nime judge kile kilichoandikwa hapa tu.


Gaijin you are so radical (sorry hio ni just my IMO) Na intelligent thus you know when you are riling a person or not... Gaga sio level yako kabisa katika anga hizo (sorry Gaga lakini ndio ukweli) hivo yeye kubishana na wewe whether right or not; She wouldn't get anywhere - The fact which i know deep down me that you know pia (and of course naweza kua bado i am wrong!)... Of course ulishatoa maoni kua the post was superficial (thou not the exact words)... And kept rubbing it in... On top of that there was NN ambae kama mwabishana or in disagreement at a personal level (thou via kyboard)... Man! waweza feel like kakutukana where as ukisoma upya post usione tusi... He is tough na though he has done that in this post, kidogo leo alikua linient..

Sio kwamba hatutaki hoja zetu zipingwe but kuna ways of presenting hicho ambacho hukubali tokana na topic ama member mhusika... in fact mimi na wewe Gaijini tukibahatika kua in a discussion (thou rare) ni kwamba mara nyingi tupo in disagreement... Which i always enjoy... ninapoona you are right nakubali... ninapoona kua sikubaliani na wewe... sikubaliani... Hivo I love when i get a member who is against what i believe in, for it is rarely that i get such challenges hasa from a person who knows what s/he is saying...

Na ofcoz najua uhusika na personal life yake...
 
Back to the topic, wanawake hatupendani hata iweje, wengine hapa waongooo huwa tunawavumilia, oooh mume wangu hivi, oooh mume wangu ana wivu, ooooh sijawahi chiti kumbe ndio wazinzi wakubwa , cha muhimu kama hakuna cha kuokota kasome zingine mwambie sikubaliani na wewe huna haja ya kumkomalia mtu, kuna limama humu lioongo tunalicheki tu tunaolijua, shukuru wanaosema ukweli unatujenga na sie tunaokua
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom