Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

Gaijin you are so radical (sorry hio ni just my IMO) Na intelligent thus you know when you are riling a person or not... Gaga sio level yako kabisa katika anga hizo (sorry Gaga lakini ndio ukweli) hivo yeye kubishana na wewe whether right or not; She wouldn't get anywhere - The fact which i know deep down me that you know pia (and of course naweza kua bado i am wrong!)... Of course ulishatoa maoni kua the post was superficial (thou not the exact words)... And kept rubbing it in... On top of that there was NN ambae kama mwabishana or in disagreement at a personal level (thou via kyboard)... Man! waweza feel like kakutukana where as ukisoma upya post usione tusi... He is tough na though he has done that in this post, kidogo leo alikua linient..

Sio kwamba hatutaki hoja zetu zipingwe but kuna ways of presenting hicho ambacho hukubali tokana na topic ama member mhusika... in fact mimi na wewe Gaijini tukibahatika kua in a discussion (thou rare) ni kwamba mara nyingi tupo in disagreement... Which i always enjoy... ninapoona you are right nakubali... ninapoona kua sikubaliani na wewe... sikubaliani... Hivo I love when i get a member who is against what i believe in, for it is rarely that i get such challenges hasa from a person who knows what s/he is saying...

Na ofcoz najua uhusika na personal life yake...

Kwa hiyo unachotaka ni kuwa tuangalie mtoa mada kabla ya kuchangia? Hilo halitawezekana kamwe at least not to me.

Kwangu personality ya mtu haihusiki hata kidogo na wala siwezi kubadili hulka yangu kwa staarehe ya mtu mwengine.

Atakaeweka hoja yake ajifunze kuitetea hatutaacha kupinga hoja ya mtu kwa sababu tu akiwa kwa mumewe ni mkimya au hana uwezo wa kujenga hoja.
 
Kwa hiyo unachotaka ni kuwa tuangalie mtoa mada kabla ya kuchangia? Hilo halitawezekana kamwe at least not to me.

Kwangu personality ya mtu haihusiki hata kidogo na wala siwezi kubadili hulk yangu kwa staarehe ya mtu mwengine.

Atakaeweka hoja yake ajifunze kuitetea hatutaacha kupinga hoja ya mtu kwa sababu tu akiwa kwa mumewe ni mkimya au hana uwezo wa kujenga hoja.

Maneno uloongea hapa yapo very logical... Hivo siwezi pingana na logic.
 
Gaijin you are so radical (sorry hio ni just my IMO) Na intelligent thus you know when you are riling a person or not... Gaga sio level yako kabisa katika anga hizo (sorry Gaga lakini ndio ukweli) hivo yeye kubishana na wewe whether right or not; She wouldn't get anywhere

Now that is very insulting to Gaga's intelligence. What metric did you use quantify Gaijin and Gaga's intelligence to reach such a conclusion? If there is anything worth taking umbrage at then it's your above comment.

On top of that there was NN ambae kama mwabishana or in disagreement at a personal level (thou via kyboard)... Man! waweza feel like kakutukana where as ukisoma upya post usione tusi... He is tough na though he has done that in this post, kidogo leo alikua linient..

I don't know why Gaga flew off the handle when I said her advice wasn't worthwhile. You even agreed that most of it wasn't down-to-earth. So why she got upset with me, I really don't know. Maybe it was about who said it because some of us are anathema to others.

Na ofcoz najua uhusika na personal life yake...

I brought that up coz as far as I'm concerned if you put your personal life (whether true or not) here in public then it becomes fair game for others to use it when making references. So for that I make no apologies.
 
Tatizo ni kuwa kuna watu wanapenda kuwa supported always. Mimi napenda kupingwa ili mjadala uendelee. Ukichangia hoja ki urafiki au ki uadui ndio pale utaita red yellow; wakati even a blind can see kuwa ni red. Mimi nalipuka tu I don't care mtu atakasirika au atafurahi mradi situkani.
Wewe najua uko against me kwenye matunzo ya familia tu, hapo hua unakasirika ila hata siku moja sikwambii wewe unapotoka au hivi,sababu najua kabisa ni sawa kwa kila mtu alivojipangia maisha yake, kila mtu ana maoni yake na nikiwa hivo against huwa unakasirika, kwa hiyo speaking of kukasirika huwa unakasirika sana tu NK

Kwa mtazamo wako naomba unijibu, ungeambiwa kama NN alivosema mwanzoni usingekasirika?
 
Back to the topic, wanawake hatupendani hata iweje, wengine hapa waongooo huwa tunawavumilia, oooh mume wangu hivi, oooh mume wangu ana wivu, ooooh sijawahi chiti kumbe ndio wazinzi wakubwa , cha muhimu kama hakuna cha kuokota kasome zingine mwambie sikubaliani na wewe huna haja ya kumkomalia mtu, kuna limama humu lioongo tunalicheki tu tunaolijua, shukuru wanaosema ukweli unatujenga na sie tunaokua

Mweh! Li nani hilo limama?
 
Labda utoe definition ya wivu na kuchukuia kama dadako. Maana sioni uhusiano.

NK more than once ushawahi sema kua uko very possessive kwa mumeo... na hio husukumwa na sababu nyiingi, moja wapo naamini ni Wivu... thou huo wivu ni lazima uwe wa viwango vya kawaida sio kukithiri...

Niliposema kua kukuchukulia kama dada nilikua na maana kua yeye asijali kabisa kua kuna wanaume waweza kutamani pia na hata kukutongoza.. kua yeye asijali kama umependeza mno na unaenda outing bila yeye kuambatana nae... Kua yeye anapokua mbali asijali wala kuhofu kua aweza nyang'anywa... kwamba akizembea being a good man kwako basi wapo ambao wapo tayari kua good men... Hivo basi yoote hayo kwa mwanaume yeyote ambae anafanya (to mention but a few) ina maana kuna ki element cha wivu walau kidogo... Na kama yoote hayo ataona sawa pamoja na mengine mengi ambayo sijataja... inakua kama anakuchukulia wewe ni dadake... sio mpenzi wake

Na ndo maana nikasema huko nyuma napenda Mpenzi wangu awe na wivu walau kidogo lakini usikithiri...
 
Sijawahi kukasirika Gaga kwa sisi kutofautiana kwa mitazamo juu ya independence ya mwanamke. Sijuhi kwa nini unasema nakasirika. Kusimamia msimamo wangu si kukasirika. Mimi ni mgumu ku swing kufuata mtazamo wa watu wengine lakini haina maana kuwa nakasirika.

Na kama umeshanote napenda sana kuchangia hoja ambazo ziko tofauti na ninavyo fikiri kwa kuwa napenda ku argue. Hoja ikiwa straight forward mara nyingi nasoma tu wala sichangii maana nakuwa sina cha kuongeza.

Wewe najua uko against me kwenye matunzo ya familia tu, hapo hua unakasirika ila hata siku moja sikwambii wewe unapotoka au hivi,sababu najua kabisa ni sawa kwa kila mtu alivojipangia maisha yake, kila mtu ana maoni yake na nikiwa hivo against huwa unakasirika, kwa hiyo speaking of kukasirika huwa unakasirika sana tu NK

Kwa mtazamo wako naomba unijibu, ungeambiwa kama NN alivosema mwanzoni usingekasirika?
 
Now that is very insulting to Gaga's intelligence. What metric did you use quantify Gaijin and Gaga's intelligence to reach such a conclusion? If there is anything worth taking umbrage at then it's your above comment.

NN not insulting kabisa and you know it.... Unataka kuniambia kua wako at par with Gaijin... Please don't make a big issue of which is clear...

I don't know why Gaga flew off the handle when I said her advice wasn't worthwhile. You even agreed that most of it wasn't down-to-earth. So why she got upset with me, I really don't know. Maybe it was about who said it because some of are anathema to others. .

The way you said it ....

I brought that up coz as far as I'm concerned if you put your personal life (whether true or not) here in public then it becomes fair game for others to use it when making references. So for that I make no apologies.

That is true but there was no need ya mambo ya her cheating...
 
Hii sredi naona itakuwa salama zaidi tukiichakachua. Naomba idhini wakuu!

nakuhakikishieni nitachakachua bila kuvunja sheria za JF.

nataraji ombi langu litafikiriwa na kukubaliwa (source: mwalim wangu wa Insha)
 
Wee Gaga mchokozi wewe! ila sio gym tu aende kikweli kweli na apungue kidogo....itaongeza mambo meeengiii!
 
NN not insulting kabisa and you know it.... Unataka kuniambia kua wako at par with Gaijin... Please don't make a big issue of which is clear...

If you enumerate and delineate the metrics you used to reach that conclusion then I won't make a big deal out of it.

The way you said it ....

Well, political correctness is not in my vocabulary. I just tell it like it is.

That is true but there was no need ya mambo ya her cheating...

If it's fair game then it's fair game.
 
Back
Top Bottom