Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
hulimwani ni mke wako au nani.Sasa kwa taarifa yako dreva ndo ana gari lako, kwaheri.
hehehe mkuu Robweme unamwamini mke wako? Duh haya bana, mke wako haaminiki mwamini mzazi wako tu.
hulimwani ni mke wako au nani.Sasa kwa taarifa yako dreva ndo ana gari lako, kwaheri.
Mkuu pole sana.
Inatakiwa na huyo dereva akae ndani ili aisadie polisi.
Kama umekamata huyo dereva wako na shanta wake basi gari lako utalipata tu, ni hao tu wala usihangaike
Kweli kabisa, tafuta askari unayemuamini mpe kidogo kitu atawaminya kiasawasawa hadi watasema.....kumbe ufanyaje? wahi kabla gari haijachinjwa
mkuu nilitegemea kodi yangu leo ndio ningeona ikifanya kazi kumbe natakiwa nitoe tena kitu kidogo!!?
Shida ya wizi wa sikuhizi gari wanaenda kuzichinja ili wauze spea. Kuna haja ya hii biashara ya used spare parts ikawa properly regulated, as of now sijui nani hasa anawaregulate hawa wachuuzi wa used parts. Ndio wanafuga huu wizi.
nashukuru mkuu! ilikuwa ni third party
We MTU ulinitukana sana ujue?Rafiki yangu, pole sana.
Mazingira na jinsi gari lilivyoibiwa, akika hutalipata tena na tena.Mara nyingi magari yanayoibwa kutokana na uzembe wa madreva huwa hayapatikani kabisa,hivyo ondoa wazo la kulipata tena,hilo sahahu kabisa.
Kama unataka gari lako lipatikane, basi dreva wako pekee ndo wakukupatia gari lako, full stop.Unajua wewe umeleta mada hapa si kuitaji msaada, inaoneka hata gari hujaibiwa.Watu wanachangia kuwa mbane dreva wako wewe unasema ulimwamini mno,akili huna kabisa,tena wewe mjinga, hulimwani ni mke wako au nani.Sasa kwa taarifa yako dreva ndo ana gari lako, kwaheri.