Wito kwa Baba Jesca: Watendee haki kina Jesca wote ili nao wapate bahati kama Jesca!

Baba Jesca ana maamuzi yanayofanana na Mfalme wa Latili moja katika kitabu cha Fasihi Sekondari.
Katika Kitabu hicho Mfalme huyo aliamuru kila bidhaa iuzwe latili moja, bila kujali utofauti wa aina ya bidhaa, ubora, kiasi, rangi, ukubwa, n.k. Yeye kwake kila kitu kiliamuliwa kiuzwe kwa latili moja. mwanzo wananchi walimpenda sana lakini baadae walimchukui baada ya Uchumi na hali ya mambo kwenda kombo.

kwa upande wa baba Jesca,
1. Kila kosa ni jipu na suluhisho ni kutumbua kienyeji, wakati ziko sheria za Utumishi.

2. Kila aendaye Chuo Kikuu anaenda kusoma degree wakati zipo kozi za certificate na diploma pia.

3. kila anayehifadhi sukari kwenye ghala anaficha..

4. kila anayelipwa vizuri Serikalini ni mwizi.

5. Kila kitu ni kubana matumizi hata pale inapohitajika fedha nyingi kufanikisha.

6. Kila kitu ni ubabe na ukali hata pale panapohitaji domokrasia, busara na upole.

Baba Jesca usiwe kama Mfalme wa latili moja.
Ingekuwa ni maamuzi yangu ningesema hii ndio thread ya mwaka.....asante sana sana umesema ukweli mtupu, japo kuna watu watakupinga
 
"We Jesca ulichobakiza ni kuolewa tu maana akili umenyimwa"

Ilisikika sauti ya baba huyo akimkemea mwanae mtukutu, kilaza aliyefeli shule.
 
Huyo jesca mnavyomuandama kama vile analipiwa na Bodi...
Maskini ,siajabu analipiwa na baba ake
Ila watu wabaya sana nime amino watu nia na madhumuni ni kuua elimu. Wale wanafunzi baadhi yao hawaku faa kuja kufundisha .
Kama namuona huko chuo anavojificha room kwa frustration na ukute ndo ana course work ya Changa au magoda ndogo ndo anajuta maana naskia kahamia polical science
Jamani issue ya jesca ni tofauti na hii ya hawa wengine .
Jesca mmoja hawezi kusababisha madhara ambayo yange sababishwa na wanafunzi 7000 ambao wangekuja kua walimu.
NB: pia kitendo cha kuitwa vilaza si cha kiiungwana.
 
Hiyo kauli ya no one is perfect 100% haina maana sana it depends with the matter n situation, jeshin hkn hbr ya excuse..you hv to be perfect 100% not that you r died! so it may apply in other things too..wapi alipokosea Rais..wala sisi hatuwezi mchagulia vile anapaswa kutoa ujumbe , wapo viongozi waliotoa hata machozi wakati wanahutubia, so inategemea..we differ in emotions, but what s important is not the emotions, it s the MESSAGE given, why r you payin much attention to the emotions, ther sufficient proof that the president cares much to all people, wajane, yatima, wazee, nk sidhani ni kipimo sahihi eti vile ameita watu vilaza, approach gn unayoitaka wewe..? wengine hyo approach aliyotumia ndio tunaona inafaa! kuandika speech au kutoandika ni utashi wake, amechagua hyo sasa ya free style ili ujumbe ufike sawa sawa..sidhan social media ipo kwa kujadili mada za upuuzi na kukoseana adabu, anaejua nchi hii ilipofikia hana muda wa kuconcentrate kwny itifaki, sijui kukosolewa nk, this country was in the pit! it needs this style to bring it to the line..and this is not Nyerere era, KNOW that pse! different people, different times even different challenges! hbr ya Nyere sijui alikuwa hivi au alifanya vile it is gone..! we look forward!
huko jeshini labda senior ncoz anaweza kuwa na approach kama hii ya kwako! au enzi za akinq Kyaro labda kama unaelewa namaanisha nini! huwezi ukqanza kuandika mpuuzi while hujilui unaongea na nani! ebo! Huku wengine wako kujifunza mambo through arguement wanapqta kitu sasa ukianza kuita watu wapuuzi! unakuwa umekosa weledi.

Besides baba j sio mwanajeshi, yeye ni mwalimu ambapo hujifunza approach, do you have a kid? hata wa kusingiziwa wewe? akifeli utamuita kilaza mtoto wako kijana mdogo? wa umli wa miaka 17-18? sijui kama unajua unachokiongea!

And languqge yako sio sifa watchout your steps!
 
Hivi ukilaza ndio ujesika? Just asking......
Yes, Ujesika = Ukilaza, U-kitwanga=Ulevi Kazini, Uchenge = Ufisadi, Kunape =Kudanganya hasa Bungeni, Umakonda=Kutaka sifa sana na cheap popularity, U-Tulia Kujipendekeza, U-Agnes = Kuongea Pumba Bungeni kwa kuliaaa, na Umagu = Kukurupuka. Hili Nimechomekea tu kama sense of humor.

Mwanzilizi wa U-Agnes Hongera mama!
 
huko jeshini labda senior ncoz anaweza kuwa na approach kama hii ya kwako! au enzi za akinq Kyaro labda kama unaelewa namaanisha nini! huwezi ukqanza kuandika mpuuzi while hujilui unaongea na nani! ebo! Huku wengine wako kujifunza mambo through arguement wanapqta kitu sasa ukianza kuita watu wapuuzi! unakuwa umekosa weledi.

Besides baba j sio mwanajeshi, yeye ni mwalimu ambapo hujifunza approach, do you have a kid? hata wa kusingiziwa wewe? akifeli utamuita kilaza mtoto wako kijana mdogo? wa umli wa miaka 17-18? sijui kama unajua unachokiongea!

And languqge yako sio sifa watchout your steps!
Kwa hiyo ww upo hapa kutisha wale wanaokumbusha watu kuheshimiana na kuheshimu viongozi wetu, reveal your id then if you think you r right, sijui kyaro sijui mwalimu, mara sijui mtoto wa kusingiziwa..hata hueleweki unachosema, and stop threatening me! l'm marking you too! dont know why you peak small things and capitalize as mistakes, whats wrong with language..learn to tell people the truth! zama za kubembelezana zimepita kitambo, hao wanaomkejeli kiongozi majukumu yake na hata kudhalilisha watu wa familia yake ndio weledi huo! you r the one destructing peoples mind, attitude and thinking ability of this nation kwa kutetea na kushabikia mambo ya hovyo, teach tanzanians to respect each other, respect individual's privacy, Jesca has done no wrong, kwa nini kum-attack personality yake na destiny yake! that's wrong, social media s no a place to humiliate others wth hidden id for pretext of dialogue like this..Yes, Ujesika = Ukilaza, U-kitwanga=Ulevi Kazini, Uchenge = Ufisadi, Kunape =Kudanganya hasa Bungeni, Umakonda=Kutaka sifa sana na cheap popularity, U-Tulia Kujipendekeza, U-Agnes = Kuongea Pumba Bungeni kwa kuliaaa, na Umagu = Kukurupuka. Hili Nimechomekea tu kama sense of humor...wala si vibaya kuitwa mpuuzi kama ninayosema hayampuuzi yeyote na hainiondolei kitu chochote.
 
nimekuonya kuwa hufai kwenye mijadara kasome novel nk! this is not your right podium na hujielewi hataa! nimekuelekeza vizuuriii naona huelewi but if i decide to step i promise you dont know!

Humu huwa tunabishana for different reasons and i cant disclose for you ila zingatia maonyo yangu, good night
 
mijadala gani ww..! mijadala ya kejeli na kutukana watu! zingatia ww kwanza kufahamu kipi cha kuongea kuhusu wengine, it doesn't matter even if you have made thousands of debates if it meant to humiliate others it s not proper! you have to hear this and stop debating that way..warn yourself first and your flock before warning me.
 
Back
Top Bottom