Wimbo wa SOGEA karibu wa JUWATA JAZZ

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
778
749
Kazi ya mziki wa dansi Hawa waheshimiwa waliutendea haki hasa kuishika hadhira na kupenyeza ujumbe na mafunzo kwa jamii.

1.Katika wimbo huu unakutana na mtunzi Kakere Belesa(nafikiri huyu alikuwa anatokea tanga)RIP.Alikuwa na bonge la idea na ujumbe ambao mpaka sasa unaishi Ni Mara nyingi sana tumeona mitafaruku ktk ndoa na hasa apa amegushwa mwanamke ambaye kwake alijua Ni mwema mwisho wa siku anabadilika na kuanza kutowaheshimu wakwe zake(wazazi wa mume).Naisi hii inaishi Hadi sasa kila Kona matatizo ya ndoa hayapoi.

2.Hassani Bitchuka.Huyu mheshimiwa ndiye Kama mhimbishaji katika wimbo huu na ametenda haki ,sauti nzuri na pia ujumbe umefika sawasawa.Husiposikiza vizuri mwishoni utaona sauti inafanana na ya mheshimiwa S.mbwembwe(RIP)katika uimbishaji

3.Waziri Ally.Huyu mheshimiwa sisemi mengi alipapasa kinanda Basi tu.

Mziki wa dansi ulitendewa haki
 
Weka basi angalau mashairi ya huo wimbo tujikumbushe
 
Nasikia wapiga saxophone walisusa ndipo waziri Ally akatamba na kinanda na wimbo ukawa mkubwa
 
Back
Top Bottom