Pensador
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 498
- 967
Wapendwa nawasalimu, sina hoja ndefu kuhusu Uzi tajwa.
Kumekuwa na wimbi kubwa kadri siku zinavozidi kusogea, ME na KE kutumia mitandao ya kijamii kutafuta wenza(wapenzi) wa kuishi nao maishani, ifahamike swala hili halijaanza leo.
Binafsi sioni ubaya katika jambo hili maana hakuna ajuae mwenza wake atampata wapi, lini au kwa namna gani.
Sababu ya kuleta uzi huu ni kujua hivi ni kweli bahati hiyo ipo au huwa inaishia kusiko julikana? Na kama watu kweli wanapata wapenzi wa ndoto zao mbona huwa hawatoi 'feedback'/rejesho ili kama kuna wanaosita wakidhani haiwezekani nao watumie njia hii kupata wenza wa maishani.
Nawasilisha, kama wewe ni mmoja wa waliopata bahati kwa kupitia mitandao ya kijamii hususani humu JF na zingine tupeane ushuhuda, karibuni!
The thinker Pensador .