Wimbi la wanawake kwa wanaume kutafuta wenza kupitia Mitandao ya Kijamii

Wanaume wote wa JF tuna hela, tuna magarisiovi IST na Harrier tako la nyani hizo hapana tunamiliki Range Mercedes Benz na BMW, elimu zetu kuanzia degree first class, ma engineers, tunafanya kazi bank, tuna simu za maana sio vitecno takataka zingine..Wwe inakuaje unatufukuzia bahati?
Wengine tuleft basi
 
Wastaarab, wazuri, wenye hofu ya Mungu na wacha Mungu kweli kweli wapo humu inshu ni utajuaje?
Nshakutana na mmoja yupo humu. Mzuri wa kuvutia, mchaMungu, mpole kiasi, yupo natural, full package.

Mimi kama mimi, sijawahi kuamini kwenye kutafuta mpenzi mtandaoni!

Logic yangu ni kwamba, kama wewe ni binadamu wa kawaida, umezaliwa, umekua mpaka umefikia umri wa kuhitaji mpenzi, umeshakutana na MAMILIONI ya watu kuanzia shuleni, mitaani, kanisani, kwenye matukio mbalimbali, sokoni, kazini nk.

Huko kote hujaona anaekufaa?? Mpaka uje kutafuta huku kwa watu wasiojulikana..??? Kweli?? Wewe una matatizo gani? Yaani mpaka ukaamue kucheza pata potea mtandaoni aisee mi nahisi unakua na shida kubwa sana mahali. Huyo ni mimi lakini.
 
Wakati mwingine siyo kutafuta unakomaanisha wewe.
Unaweza kumpata mtu bila dhumuni la awali la kutafuta yaani bila tangazo la kusema unatafuta mtu.
Mnakutana tu ktk topic fulani then you decide to know each other more
 
My Friend wangu ameolewa na mchizi kutoka fb..kuna wifi yangu yeye alipatikana Twitter huko na wameoana na brotheri life linasonga
 
Mimi kama mimi, sijawahi kuamini kwenye kutafuta mpenzi mtandaoni!

Logic yangu ni kwamba, kama wewe ni binadamu wa kawaida, umezaliwa, umekua mpaka umefikia umri wa kuhitaji mpenzi, umeshakutana na MAMILIONI ya watu kuanzia shuleni, mitaani, kanisani, kwenye matukio mbalimbali, sokoni, kazini nk.

Huko kote hujaona anaekufaa?? Mpaka uje kutafuta huku kwa watu wasiojulikana..??? Kweli?? Wewe una matatizo gani? Yaani mpaka ukaamue kucheza pata potea mtandaoni aisee mi nahisi unakua na shida kubwa sana mahali. Huyo ni mimi lakini.
Ukweli mtupu. Mtandaoni tunatafuta kugegedana tuu
 
Back
Top Bottom