Wimbi la wanawake kwa wanaume kutafuta wenza kupitia Mitandao ya Kijamii

Pensador

JF-Expert Member
Mar 19, 2018
498
967
Wapendwa nawasalimu, sina hoja ndefu kuhusu Uzi tajwa.

Kumekuwa na wimbi kubwa kadri siku zinavozidi kusogea, ME na KE kutumia mitandao ya kijamii kutafuta wenza(wapenzi) wa kuishi nao maishani, ifahamike swala hili halijaanza leo.

Binafsi sioni ubaya katika jambo hili maana hakuna ajuae mwenza wake atampata wapi, lini au kwa namna gani.

Sababu ya kuleta uzi huu ni kujua hivi ni kweli bahati hiyo ipo au huwa inaishia kusiko julikana? Na kama watu kweli wanapata wapenzi wa ndoto zao mbona huwa hawatoi 'feedback'/rejesho ili kama kuna wanaosita wakidhani haiwezekani nao watumie njia hii kupata wenza wa maishani.

Nawasilisha, kama wewe ni mmoja wa waliopata bahati kwa kupitia mitandao ya kijamii hususani humu JF na zingine tupeane ushuhuda, karibuni!

The thinker Pensador .
 
Wapo walio serious.. kuna mtu aliwekaga bandiko mwaka jana, nikaenda mzingua PM…

Kijana alikuwa very serious 😂 Lenie yan yuko serious mpaka unahisi kabisa huyu mtu yuko serious.

Mwenyewe alikuwa ananishirikisha plans zake, akawaga analipia Plot Kisongo sijui vile.. akaniambia 😁
Ananiambia natunza hela mwaka kesho tupate usafiri.

Nikaona siko serious, natokaje hapa 🤣
Nilianzisha ukorofi,, mpole mwenyewe anasuluhisha.
Mwishooo nikamwambia tu nahisi sikufai, nikamlamba block 😂😂

Ningekuwa serious sahii ningekuwa natoa ushuhuda wa kuolewa na mwana jf 🤣🤣🤣
 
Kijana alikuwa very serious Lenie yan yuko serious mpaka unahisi kabisa huyu mtu yuko serious.

Mwenyewe alikuwa ananishirikisha plans zake, akawaga analipia Plot Kisongo sijui vile.. akaniambia
Ananiambia natunza hela mwaka kesho tupate usafiri.

Nikaona siko serious, natokaje hapa
Nilianzisha ukorofi,, mpole mwenyewe anasuluhisha.
Mwishooo nikamwambia tu nahisi sikufai, nikamlamba block

Ningekuwa serious sahii ningekuwa natoa ushuhuda wa kuolewa na mwana jf
Hangera sana mkuu, umeacha njiwa imepaa daah
 
Yaaan

Sikuwa serious kama ambavyo yeye alikuwa serious, alinipenda mwenyewe … nikaona kabla sijampotezea muda wake mwingi heri nisepe.

Msukuma yule dah, sijui sahii yuko wapi
Nakuelewa mkuu, akipatikana mwingine apewe nafasi kama ipo.
 
Wapo walio serious.. kuna mtu aliwekaga bandiko mwaka jana, nikaenda mzingua PM…

Kijana alikuwa very serious 😂 Lenie yan yuko serious mpaka unahisi kabisa huyu mtu yuko serious.

Mwenyewe alikuwa ananishirikisha plans zake, akawaga analipia Plot Kisongo sijui vile.. akaniambia 😁
Ananiambia natunza hela mwaka kesho tupate usafiri.

Nikaona siko serious, natokaje hapa 🤣
Nilianzisha ukorofi,, mpole mwenyewe anasuluhisha.
Mwishooo nikamwambia tu nahisi sikufai, nikamlamba block 😂😂

Ningekuwa serious sahii ningekuwa natoa ushuhuda wa kuolewa na mwana jf 🤣🤣🤣
Na ndio walionipitisha na mimi kwa namna hii daah, basi muachage kuja pm kama hauko seriously sio mtu unajituma kutoa taarifa zako ukidhani umepata mtu sahihi kumbe shida tu
 
Wapo walio serious.. kuna mtu aliwekaga bandiko mwaka jana, nikaenda mzingua PM…

Kijana alikuwa very serious 😂 Lenie yan yuko serious mpaka unahisi kabisa huyu mtu yuko serious.

Mwenyewe alikuwa ananishirikisha plans zake, akawaga analipia Plot Kisongo sijui vile.. akaniambia 😁
Ananiambia natunza hela mwaka kesho tupate usafiri.

Nikaona siko serious, natokaje hapa 🤣
Nilianzisha ukorofi,, mpole mwenyewe anasuluhisha.
Mwishooo nikamwambia tu nahisi sikufai, nikamlamba block 😂😂

Ningekuwa serious sahii ningekuwa natoa ushuhuda wa kuolewa na mwana jf 🤣🤣🤣
Nimechekaaaaaa

Kibungo unajua kuna sehemu hauko sawa wewe 🤣 🤣🤣
Maskini kijana wa watu ulimpotezea muda
 
Yaaan

Sikuwa serious kama ambavyo yeye alikuwa serious, alinipenda mwenyewe … nikaona kabla sijampotezea muda wake mwingi heri nisepe.

Msukuma yule dah, sijui sahii yuko wapi 😂
Weee tena ni wa nyumbani, nipee connection basi... I hope atakua hajawahiwa bado
 
Back
Top Bottom