MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,439
Mkuu kutetea ni pamoja na kusema kauli tata ya katibu wa ccm sio issue bali mkulu! Hizi ni propaganda mkuu,ulipaswa kushangaa na kuuliza hilo gamba basi ni nini? Lakini hujakosoa huo mkanganyiko wazi bali ukaamua kuwaaminisha watu pale unapoamini! Je chama ni mwenyekiti? Kama sio what is going on there? Wewe ni kizazi tena damu yetu usifungwe na mbinu hizi zinazoshindwa za ccm.ukitaka ueleweke kuwa muwazi na mkweli tu.werevu wengi wanapita humu usipindishe mambo kwa personal benefit mkuu.- Mkuu sijawahi hata mara moja kutetea uozo iwe wa CCM chama changu, au Chadema msimamo wangu uko wazi sana kuanzia hapa na blogs zote ninazoshiriki, ukweli ni ukweli na uongo ni uongo, CCM wakifanya vyema ninasema na wakiharibu ninasema na kule Facebook ninasema wazi bila kuficha on ishus,
- HOWEVER: nisichotaka ni kuwa bendera fuata upepo, hapana shule nimejisomesha sana huku majuu kwa hela zangu mwenyewe, ili nisiwe mjinga wa kufikiriwa na wengine, I like CCM ambako mimi ni member sikatai kwamba kuna mambo mengi ndani ya CCM hayakubaliki, ndio maana ninataka mabadiliko kutokea from within na wengine muyalete form outside, waamuzi ni wananchi. I like Chadema as chama, lakini siwaamini sana baadhi ya viongozi wake! Otherwise wote tupo pamoja na TAIFA KWANZA!
William @ NYC, USA.