"Zed mambo mengine ni facts of life kwamba hata wewe ukiwa waziri siamini kwamba utataka watoto wako wasome bongo, wakati unao uwezo wa kuwasomesha nje kwenye elimu bora zaidi".
William kauli kama hizo ndizo zinazonifanya nihoji kama wewe ni mzalendo ama ni mwendelezo Malicelalism. Unatetea hoja ya mawaziri kusomesha watoto wao nje wakati watoto wa kulima wanakaa chini, sishangai mfumo mzima wa elimu umeharibiwa kwa sababu wahusika waliopewa jukumu la kusimamia elimu hawajali watoto wanasoma nje wao watajali kitu gani?
Chama
Gongo la Mboto DSM