Wikiendi hiyooo inaanza.

Bila samahani mkuu leo watu tuko kazini mpaka kieleweke,unamuonaje huyu anaye nibania jicho hapa kwenye PC yangu naona huyo atakufaa zaidi.

mashallah, swadakta!ngoja tujue ratiba yake jmosi!hebu mkuu popote utakapo mwona mkumbeshe hilo!kwa busara zako najua hatachomoa
 
mje 8 mkija ukija peke yako unaweza usionekane tena kwenye sayar ya 3!!!!!!!
 
basi unaona navyobana jicho?basi kila kitu nabana ivo ivo
ebu pten mbele uko...sina mkuki mie
apa stor tu malav dav kwenu!!!!!!!!!

kwa busara ulizonazo nimeona nibold na kupaka red kabisa kuonyesha msisistizo!Nadhani mkuu Paka mweusi huyu atanifaa Jmosi!hebu cheki nae tafadhali......................
 
KUA kdg bacha mi sifungi nep watoto......infakt sifany kaz CHEKECHEA.......!!!!!!!
 
Kwa maana hiyo unarudi kwa mkubwa mwenzio Paka Mweusi?
apana ntaenda kwa panya paka siwatak wana kelele sana na wasumbufu sina maziwa ya kuwapa wala samaki wa kuwalisha..
panya z beta for me cz anasaka chakula mwenyewe!!!!!!
 
Acha uchoyo dada mbona maziwa mimi nayaona unayo?Na samaki umemficha unataka kumnyima tu paka wa watu.
 
Thanks for making my day brighter than ever! kumbe kuna samaki, panya, paka, "maziwa" mmmh basi raha tuuuuppuu, nimefurahi hadi wife kaninyang'anya simu akajua sms imeingia mahali si pake, kucheki nae kaanza kucheka, kanimaliza kweli kweli kwani kaishia kunibusu, kanikumbusha enzi za ujana wetu, hatukua na cm but appointment zilikua za uhakika!!! hii nayo mada mpya. SLAAA HUYYOOOOOO HADI MAGOGONI
 
na wewe mbusu basi..ila muda hauruhusu so usifanye na shuguli nyingne!!
mwisho wa kulala kwenye nyumba za tembe siyo???
 
Back
Top Bottom